The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Hahahaa🤣🤣 ila unakubali kuwa mirage inafanya meli zionekane zipo juu na sio kama unavyodai ww ??Ndiyo nakuambia mirage effect haiwezi kuwa to that extent,... hiyo picha ipo exaggarated.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa🤣🤣 ila unakubali kuwa mirage inafanya meli zionekane zipo juu na sio kama unavyodai ww ??Ndiyo nakuambia mirage effect haiwezi kuwa to that extent,... hiyo picha ipo exaggarated.
Rudi kwenye mada juu, ujibu maswali yote uliyoulizwa achana na hili tulio la picha ya fata morganaUna wasiwasi na mimi?
Mimi nimedai nini?Hahahaa🤣🤣 ila unakubali kuwa mirage inafanya meli zionekane zipo juu na sio kama unavyodai ww ??
hateeb10 etiiii 🤣🤣🤣🤣🤣 Usiseme tumeelewa sawa, kwahy unamaanisha nitakachokielezea ndio naww unamaanisha hivo hivo??
Sasa ww unaona upo sawa?? Huoni kama unakuwa unaharibu dfn, dfn imesema kwenye sphere surface ww unakuja kusema hata kwenye flat surface🤣🤣
Kwani Kuna ramani ambayo sio flat 🤣🤣🤣 au upo uwezekano wa kuchora ramani Moja na ikaonesha mabara yote na hiyo raman isiwe flat???
Sasa hii sio maana ya great circle, na ndio maana nikasema we hujui maana ya great circle, mfano nilikuuliza swali👇👇
Huo msitari mwekundu ndio great circle na huo yellow ni rhumb line Sasa je ni route gan kati ya hizo zinaonekana ndefu katika hiyo picha?? Hukujibu🤣
View attachment 3198682
Hii sio maana ya great circle, hujasoma geametry na ndio maana huelewi
Maswali yote nishamaliza,...Rudi kwenye mada juu, ujibu maswali yote uliyoulizwa achana na hili tulio la picha ya fata morgana
Umekubaliana na nani ?Maswali yote nishamaliza,...
Hakuna hata moja linalothibitisha Dunia ni tufe na inazunguka,
Gravity tumekubaliana haipo,
Mjadala umeisha,..its all over!
Sasa kama ramani unayotumia kuonyesha route husika ni flat,..kwanini unasema haiwezekani kwenye flat surface? just asking,🤣🤣🤣 Usiseme tumeelewa sawa, kwahy unamaanisha nitakachokielezea ndio naww unamaanisha hivo hivo??
Sasa ww unaona upo sawa?? Huoni kama unakuwa unaharibu dfn, dfn imesema kwenye sphere surface ww unakuja kusema hata kwenye flat surface🤣🤣
Kwani Kuna ramani ambayo sio flat 🤣🤣🤣 au upo uwezekano wa kuchora ramani Moja na ikaonesha mabara yote na hiyo raman isiwe flat???
Sasa hii sio maana ya great circle, na ndio maana nikasema we hujui maana ya great circle, mfano nilikuuliza swali👇👇
Huo msitari mwekundu ndio great circle na huo yellow ni rhumb line Sasa je ni route gan kati ya hizo zinaonekana ndefu katika hiyo picha?? Hukujibu🤣
View attachment 3198682
Hii sio maana ya great circle, hujasoma geametry na ndio maana huelewi
Nimekubaliana na wewe pamoja na The celebrity kwamba:Umekubaliana na nani ?
Oh okay,Nimekubaliana na wewe pamoja na The celebrity kwamba:
1. Hakuna uthibitisho wa kwamba Dunia ni tufe na inazunguka (Nilisema ulete video na u zoom,...umeshindwa)
2. Gravity haipo,.. mtaalamu wa gravity Professor The celebrity kasema kwenye tafiti zake za kina hajawahi kuhisi akivutwa na gravity tokea azaliwe,..(Yaani anaisikia tu na kuisoma kwenye vitabu).
🤣🤣🤣 Eti maswali yote umemalizaMaswali yote nishamaliza,...
Hakuna hata moja linalothibitisha Dunia ni tufe na inazunguka,
Gravity tumekubaliana haipo,
Mjadala umeisha,..its all over!
We umesema inaonekana chini si ndio?? Lakin uhalisia ni kwamba baharini inaonekana juuMimi nimedai nini?
mirage inafanya Meli ionekane either juu/chini zaidi kuliko uhalisia wake,..... au sijasema hivyo?
Ndo nikakuuliza swali na huwa hukujibu! Kuna ramani ambayo unaweza kuichora na isiwe kwenye flat surface?? Na ikaonesha mabara yote🤣Sasa kama ramani unayotumia kuonyesha route husika ni flat,..kwanini unasema haiwezekani kwenye flat surface? just asking,
Maneno yako hayoNimekubaliana na wewe pamoja na The celebrity kwamba:
1. Hakuna uthibitisho wa kwamba Dunia ni tufe na inazunguka (Nilisema ulete video na u zoom,...umeshindwa)
Siasa2. Gravity haipo,.. mtaalamu wa gravity Professor The celebrity kasema kwenye tafiti zake za kina hajawahi kuhisi akivutwa na gravity tokea azaliwe,..(Yaani anaisikia tu na kuisoma kwenye vitabu).
Hili swali hujibu kabisaa🤣🤣🤣🤣🤣 Usiseme tumeelewa sawa, kwahy unamaanisha nitakachokielezea ndio naww unamaanisha hivo hivo??
Sasa ww unaona upo sawa?? Huoni kama unakuwa unaharibu dfn, dfn imesema kwenye sphere surface ww unakuja kusema hata kwenye flat surface🤣🤣
Kwani Kuna ramani ambayo sio flat 🤣🤣🤣 au upo uwezekano wa kuchora ramani Moja na ikaonesha mabara yote na hiyo raman isiwe flat???
Sasa hii sio maana ya great circle, na ndio maana nikasema we hujui maana ya great circle, mfano nilikuuliza swali👇👇
Huo msitari mwekundu ndio great circle na huo yellow ni rhumb line Sasa je ni route gan kati ya hizo zinaonekana ndefu katika hiyo picha?? Hukujibu🤣
View attachment 3198682
Hii sio maana ya great circle, hujasoma geametry na ndio maana huelewi
hateeb10 Hapa napo umeruka🤣🤣We kilaza kweli, 👇👇 air condition/ temperature haibadiriki??? Hakuna bahari ambazo ni cold mpk kunakuwa na barafu?? Sasa unataka unidanganye vipi hapo??🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Mjadala umeisha,..its all over!
Swali langu ambalo hujajibu, kama ndivyo unavyodai, kwann hata kwenye bahari ambazo ni very cold Bado the same observation inaappear?? (Ship disappearing)Mimi nimedai nini?
mirage inafanya Meli ionekane either juu/chini zaidi kuliko uhalisia wake,..... au sijasema hivyo?
Ulishatoka ndukiNimekubaliana na wewe pamoja na The celebrity kwamba:
1. Hakuna uthibitisho wa kwamba Dunia ni tufe na inazunguka (Nilisema ulete video na u zoom,...umeshindwa)
2. Gravity haipo,.. mtaalamu wa gravity Professor The celebrity kasema kwenye tafiti zake za kina hajawahi kuhisi akivutwa na gravity tokea azaliwe,..(Yaani anaisikia tu na kuisoma kwenye vitabu).
Kitu pekee kinachoweza kuhitimisha mjadala huu ni uthibitisho,...sasa kama uthibitisho hakuna tutabishana mpaka lini?Ulishatoka nduki
Maswali yamekuzidi uwezo
Wewe uthibitisho wako uko wapi ?Kitu pekee kinachoweza kuhitimisha mjadala huu ni uthibitisho,...sasa kama uthibitisho hakuna tutabishana mpaka lini?