Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Wewe uthibitisho wako uko wapi ?
Dunia inaonekana kwa senses zetu kwamba ni flat na imetulia,...mtu ambae ata claim tofauti na hivyo ndiyo anatakiwa alete uthibitisho.

So kimsingi watu wa Dunia tufe inayozunguka ndiyo mnatakiwa mmalize huu mjadala kwa kuweka uthibitisho ambao mtu akiangalia anasema yes hii inafuta doubts zote.
 
Inaonekana ukiwa wapi ?
 
Kitu pekee kinachoweza kuhitimisha mjadala huu ni uthibitisho,...sasa kama uthibitisho hakuna tutabishana mpaka lini?
🤣🤣🤣🤣 Nipo nasubiri unambie ni kivipi line ya Kona (curved) inaweza kuwa fupi kuliko Ile straight(direct).
 
Dunia inaonekana kwa senses zetu kwamba ni flat na imetulia,...mtu ambae ata claim tofauti na hivyo ndiyo anatakiwa alete uthibitisho.

So kimsingi watu wa Dunia tufe inayozunguka ndiyo mnatakiwa mmalize huu mjadala kwa kuweka uthibitisho ambao mtu akiangalia anasema yes hii inafuta doubts zote.
Hujawahi kuiona Dunia as a whole Kwa macho yako na Hauna uwezo huo, umepewa picha na video zikionesha hicho kitu umezikataa🤣🤣, badala yake unakuja na hoja dhaifu ya Dunia tambarare ambayo huwezi hata kuitetea!!
 
🤣🤣🤣🤣 Nipo nasubiri unambie ni kivipi line ya Kona (curved) inaweza kuwa fupi kuliko Ile straight(direct).
Ndiyo kwenye uhalisia cornered path inaweza kuwa fupi kuliko direct one.......sasa hapa kuliko kukutafunia unaweza ukaenda kujifunza zaidi kisha utaleta majibu au tafakari mwenyewe hujawahi kukutana na scenario ambayo kunyoosha moja kwa moja ni mbali kuliko kupita njia ya mzunguko?,.

kama ukishindwa sema nikufafanulie,.
 
Hujawahi kuiona Dunia as a whole Kwa macho yako na Hauna uwezo huo, umepewa picha na video zikionesha hicho kitu umezikataa🤣🤣, badala yake unakuja na hoja dhaifu ya Dunia tambarare ambayo huwezi hata kuitetea!!
sio mimi tu,..hakuna ambae amewahi kuiona Dunia as a whole.

Hata waliokupa hizo picha na video za katuni pia hawajaweza kuiona Dunia as whole.,... badala yake wanakuambia Dunia ni tufe linalozunguka ila uthibitisho hawajakupa ni nadharia tu.
 
Halafu ni kama umeni ignore 🤣🤣🤣
Nilikua nafanya tafiti,..nithibitishe je dunia ni tufe kweli? Inazunguka kweli?

GhChSJVWAAA7dSW.jpeg
 
Naomba nikuulize,.. Wewe unavyofahamu Dunia ina mwisho au haina?
Dunia haina mwisho kwakua ni sphere,

Nyinyi mnaodai Dunia haipo spherical shaped huwa mnadai Dunia ina kingo zake

Mkafika mbali mkasema bara la antarctica ndipo zilipo kingo za Dunia 😅
 
sio mimi tu,..hakuna ambae amewahi kuiona Dunia as a whole.

Hata waliokupa hizo picha na video za katuni pia hawajaweza kuiona Dunia as whole.,... badala yake wanakuambia Dunia ni tufe linalozunguka ila uthibitisho hawajakupa ni nadharia tu.
Ikikupendeza utuelezee na GPS inavyofanya kazi kamanda ( Kwa theory ya Dunia ni tambarare )
 
Dunia haina mwisho kwakua ni sphere,

Nyinyi mnaodai Dunia haipo spherical shaped huwa mnadai Dunia ina kingo zake

Mkafika mbali mkasema bara la antarctica ndipo zilipo kingo za Dunia 😅
Kwahiyo kitu kikiwa sphere maana yake hakina mwisho.?

Unajua maana ya mwisho?

Mwisho ni nini?
 
Ndiyo kwenye uhalisia cornered path inaweza kuwa fupi kuliko direct one.......sasa hapa kuliko kukutafunia unaweza ukaenda kujifunza zaidi kisha utaleta majibu au tafakari mwenyewe hujawahi kukutana na scenario ambayo kunyoosha moja kwa moja ni mbali kuliko kupita njia ya mzunguko?,.

kama ukishindwa sema nikufafanulie,.
🤣🤣 Fafanua maana hiko kitu hakiwezekani.
 
sio mimi tu,..hakuna ambae amewahi kuiona Dunia as a whole.

Hata waliokupa hizo picha na video za katuni pia hawajaweza kuiona Dunia as whole.,... badala yake wanakuambia Dunia ni tufe linalozunguka ila uthibitisho hawajakupa ni nadharia tu.
Wewe unauhakika Gani na hayo unayoyasema??
 
Back
Top Bottom