kama dunia ni flat basi huo na jua ndo linaizunguzuka dunia basi jua mwanga wa jua ungefika kote dunia nzima maana wote ni flat na wote tungekuwa na majira ya mwaka ya aina moja yani km masika ni wote au vuli ni wote
kitu cha kutambua hapa kumbuka kila mwanasayansi hasa hao wenzetu wameumbwa na utashi wa ushindani yn kila mtu anataka atoe kitu au abishe na si kukubali cha mwenzake atafanya utafiti ambao utapelekea aje na majibu yake. brothers and sisters yupo MUNGU na si vyote tutakqvyovipatia ufumbuzi.
alivyotengeneza mwanadamu vyote vinachunguzika iwe roboti, silaha, na vifaa vyote na vinaajibu.
lakini alivyoumba MUNGU havalimalizi tafiti wala uchunguzi ni wanachunguza miaka na miaka toka elimu ziwepo iwe miti, bahari, anga, na vyote havinaga majibu kamili ya kuridhika
hii ndo tofauti ya MUNGU na wanadamu.