Francovic benard
Member
- Jul 13, 2015
- 81
- 36
ww ndo umecomment kitu kizur ambacho nimekifiria mimi safiiiiKitu kinachonifanya niendelee kuamini kuwa dunia ni duara ni usiku na mchana, yaani huku kukiwa usiku nchi zingine kunakuwa mchana........kama dunia ingekuwa flat au nusu duara, jua lingekuwa linafika katikati basi dunia nzima yaan nchi zote ingekuwa mchana lakini hiki ktu hakiwezekani lazima kwingine kuwe usiku kwingne mchana, halafu UN bendera yao waliitoa hivo ili mabara yote yaonekane vizuri (yaani picha imechukuliwa juu ya dunia na sio pembeni kama picha zingine zinavyoonesha)
Inawezekana haujaelewa dhana ya Jua kuizunguka dunia mpaka usiku na mchan kupatikana!kama dunia ni flat basi huo na jua ndo linaizunguzuka dunia basi jua mwanga wa jua ungefika kote dunia nzima maana wote ni flat na wote tungekuwa na majira ya mwaka ya aina moja yani km masika ni wote au vuli ni wote
kitu cha kutambua hapa kumbuka kila mwanasayansi hasa hao wenzetu wameumbwa na utashi wa ushindani yn kila mtu anataka atoe kitu au abishe na si kukubali cha mwenzake atafanya utafiti ambao utapelekea aje na majibu yake. brothers and sisters yupo MUNGU na si vyote tutakqvyovipatia ufumbuzi.
alivyotengeneza mwanadamu vyote vinachunguzika iwe roboti, silaha, na vifaa vyote na vinaajibu.
lakini alivyoumba MUNGU havalimalizi tafiti wala uchunguzi ni wanachunguza miaka na miaka toka elimu ziwepo iwe miti, bahari, anga, na vyote havinaga majibu kamili ya kuridhika
hii ndo tofauti ya MUNGU na wanadamu.
Vipi kuhusu picha za mwezi nazo sio za kweli, je mwezi nao ni flat?.... kama mwezi sio flat kwanin dunia iwe flat?
______________[emoji36][emoji2958]_______________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
Kwasababu umekuja na hoja ya flat earth, ninajaribu kupata ufahamu wako kwenye eneo hilo. Kwasababu jibu lako linaweza kujibu ulichoulizwa, sikuona haja ya kurudia kujibu ambacho kimeshatolewa majibu.Baada ya kujibu swali unaongeza swali , mwezi na dunia ni vitu viwili tofauti vinavyo fanya kazi pamoja ,,, yani ni kama unajaribu kusema kwa sababu keki ina ngano kwanini andazi lisiwe keki , think twice
Huo mfano wa nchi zenye baridi ni kwa sababu Jua linazunguka Dunia..Kila mtu akienda antactica anavotaka itakuwa vurugu , ni sawa wabongo wote mwende serengeti km mnavotaka wanyama watabaki? mambo mengine mleta mada ni ya kufikiri tu. mda huu JUNE ...LESOTHO, n/zealand,agentina nk NI BARIDI, why is kuliko Indonesia,tanzania, kenya fikiriage! umekunja midole kwenye Key board buure!
Ukiwa ISS unaiona dunia kabisaa wazi km mpira.Huo mfano wa nchi zenye baridi ni kwa sababu Jua linazunguka Dunia..
Hapo chini inasema: Umbo la Ulimwengu kwa Watu wa Kale
Sasa kwani Katoliki unafikiri ya jana unajua wajenzi huru walianzia ItalyHapo chini inasema: Umbo la Ulimwengu kwa Watu wa Kale
Nini maana ya "Jua kuzunguka Dunia? "Huo mfano wa nchi zenye baridi ni kwa sababu Jua linazunguka Dunia..
kama dunia ni flat basi huo na jua ndo linaizunguzuka dunia basi jua mwanga wa jua ungefika kote dunia nzima maana wote ni flat na wote tungekuwa na majira ya mwaka ya aina moja yani km masika ni wote au vuli ni wote
kitu cha kutambua hapa kumbuka kila mwanasayansi hasa hao wenzetu wameumbwa na utashi wa ushindani yn kila mtu anataka atoe kitu au abishe na si kukubali cha mwenzake atafanya utafiti ambao utapelekea aje na majibu yake. brothers and sisters yupo MUNGU na si vyote tutakqvyovipatia ufumbuzi.
alivyotengeneza mwanadamu vyote vinachunguzika iwe roboti, silaha, na vifaa vyote na vinaajibu.
lakini alivyoumba MUNGU havalimalizi tafiti wala uchunguzi ni wanachunguza miaka na miaka toka elimu ziwepo iwe miti, bahari, anga, na vyote havinaga majibu kamili ya kuridhika
hii ndo tofauti ya MUNGU na wanadamu.
Inawezekana haujaelewa dhana ya Jua kuizunguka dunia mpaka usiku na mchan kupatikana!
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTOngea vitu kwa fact braza huo uflat unakuja vp ikiwa usiku na mchana unapishana sehem mbali mbali uache ujuaji siku nyngn
Utaijuaje na wewe upo ndani yake... yaani ni sawa umfunike kwa bakuli mtu aliyesimama kwenye sahani halafu akuambie hiyo thickness.. hatowezakujua maisha mpaka atoke nje ya bakuli.Dunia ni flat nusu kipenyo cha hiyo sahani ni kama maili 3965 na thickness yake ni maili ngapi? Tuanzie hapo kwanza.
Kama radius imepatikana hiyo thickness inashindikanaje?maana kama uko ndani unapataje radius?,hata hivyo binadamu leo anaweza kutoka duniani na kwenda nje ya dunia maili nyingi tu anashindwa vipi kuiona dunia ikiwa sahani au kopo? Kimsingi hizi za sahani ni porojo tu.habari ya dunia tufe ishakuwa proved enzi za merikebu mwanzo waliogopa kuwa watafika mwisho halafu wanguke lkn watu wakasafiri kuelekea upande wa magharibi hadi walipo rejea walipo toka.Utaijuaje na wewe upo ndani yake... yaani ni sawa umfunike kwa bakuli mtu aliyesimama kwenye sahani halafu akuambie hiyo thickness.. hatowezakujua maisha mpaka atoke nje ya bakuli.
Na sisi kuijua thickness ni issue cozhatuwezi kutoka nje ya firmament uzio ulioifunika dunia. Tulimalizie hapa!
Kama radius imepatikana hiyo thickness inashindikanaje?maana kama uko ndani unapataje radius?,hata hivyo binadamu leo anaweza kutoka duniani na kwenda nje ya dunia maili nyingi tu anashindwa vipi kuiona dunia ikiwa sahani au kopo? Kimsingi hizi za sahani ni porojo tu.habari ya dunia tufe ishakuwa proved enzi za merikebu mwanzo waliogopa kuwa watafika mwisho halafu wanguke lkn watu wakasafiri kuelekea upande wa magharibi hadi walipo rejea walipo toka.