Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Na anaonekana ni muumini wa hizi dini za kuletwa na wao...hapo ndipo utakapojua waafrika tu watu wa ajabu sana.
Anyway....nampongeza kwa
don't judge a book by it's cover.... it will only prove ignorance
 
nadhani wewe ndo umekurupuka hujafanya research unatuambia mambo ya google earth shame on you ,,, kwa taarifa y7ako google earth imetegenezwa kwa picha nyingi zinazopigwa na ndege maalumu... fanya research ...
 
brother naomba unitafutie picha ya dunia from spece ya nasa ambayo sio cgi ambayo imepigwa live kutoka mwezini au sayari nyingine as simple as that ,,kabla hatujaingia kwenye vitu deep zaidi ,,,,,fanya utafiti kwanza
Hili suala halihitaji NASA hata NASA walichelewa kulijua. Jibu hoja nyepesi tu ambazo hazihitaji picha.
Hapa sio NASA tu kwanza kabla hoja dhaifu ya kuwa Ile picha yao ni doctored.hujawahi hata kujiuliza kwa nini space crafts zinapaa vertically na planes horizontal? Without knowledge of universes and space utawarudisha watu zama za mawe mkuu. Leta wewe picha iliyopigwa na FLAT earth society japo sina uhakika kama wamewahi kuvuka hata critical velocity kunyesha dunia ni flat.
 
Ingekuwa tambarare tusingepata usiku na mchana, kuhusu uduara wa dunia vipi picha live zinazopigwa ISS na zile za voyager 1 na 2 na bado satellite kibao zinaonyesha uduara wa dunia
jaribu kumtafuta mtaalamu wa graphics na media alafu umwoneshe picha za iss na nyingine za settelite za nasa alafu muulize kama ni za ukweli au zimetengenezwa photoshop ,,,,tafuta maana ya cgi na fanya reserch kidogo kuhusu multimedia na nyanja zake ndo utaelewa vizuri hili swala na ni weke wazi hili swala linaitaji utulize kichwa uelewe,,,,,
 
nadhani wewe ndo umekurupuka hujafanya research unatuambia mambo ya google earth shame on you ,,, kwa taarifa y7ako google earth imetegenezwa kwa picha nyingi zinazopigwa na ndege maalumu... fanya research ...
i guec ata ndege hujawahi panda ww at least ungekua na experience kidogo....... usingekua unaongea huu upuuzi etii picha maalum[emoji23] [emoji23]
 
i guec ata ndege hujawahi panda ww at least ungekua na experience kidogo....... usingekua unaongea huu upuuzi etii picha maalum[emoji23] [emoji23]
prove to me the earth is round now we ndo umepanda ndege na kuizuguka dunia ,,,au prove to me the earth's movement me naweza kuprove dunia ni flat kwasababu kwazanza kabisa sehemu zangu za fahamu zinatambua hilo yani nikiangalia kwa macho na ona kabisa dunia ni tambarare ssa sjui wewe unaonaonaje pia me naweza kutumia macho yangu kuona jinsi jua na mwezi pamoja na nyota zinavyo zunguka angani lakin sisi tumesimama 2 ,,,,,sasa dunua ingekua inazunguka ndege zingewezaje kupaa jamani tumienni akili wanasayansi watasema ni GRAVITY lakin sidhani kuna mtu anaeweza kunipa difinition ya gravity humu ndani kwasabbu niliangalia kipindi kimoja cha nasa ambapo proffesor alishidwa kudefine gravity ,,,,ni sumaku gani hii ya maajabu inayo vuta kila kitu na kutufanya tuone dunia imetulia tuli japokua tunazunguka kwa spidi kubwa kuliko hata ya ndege,,,,jaribu kutafakari kwa kina
 
kweli ndugu, hii inamaana kuwa mmoja anaweza kurudi magharibi na mwingine mashariki. wote watakutana Moscow ...
 
 
w
 
w
 
Nilikuwa koko beach, nikaona meli inaibuka kanakwamba inatoka bondeni wewe mleta mada unaweza kuniambia iliibuka kutokea ndani ya maji au kuna nadharia gani pale.

Dunia ingekuwa kama meza tungeviona visiwa vya zanzibar kwa maana vingekuwa altitude/level moja na Dar es salaam.

Kwa uongo unavyokukondesha huwezi kuweka mchoro unaoonyesha ni vipi jua hutiwa giza mchana kweupe (kupatwa kwa jua)

Mito yote humwaga maji baharini/ziwani, pana utambarale gani sasa hapo?
 
Kwa wataalamu waliosoma dini vizuri huwa hawakubaliani na theory za wazungu tatizo sisi wenyewe tumewapo mgongo na kuwaaamini wazungu
Acha watunge kamba maana watu wanaojua ukweli kupitia vitabu vya mungu tumewapuuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…