Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Nina vitu vingi vya kujibu humu ndani. Kesho niko free nitakujibu, nimesave reply usiwe na wasiwasi. Muda sio rafiki mambo ni mengi.
 
Reactions: Lax
Yani kaka unacheka wakati jana umetuuliza kwanini maji yanatoka uganda yanapanda juu kwenda misri,
Nikakuuliza altitude structure ya kutoka uganda mpaka misti unafahamu hukujibu,
Kwamba wewe unadhani north ni mlimani south ni bondeni mkuu?
Kutoka Uganda mpaka Egypt sio globe tena. Unarudi kwenye Flat πŸ˜‚
 
Wenzenu toka 1897 wanajua ukweli kuhusu the Flat Earth. NASA ndo wamekuja kushika kushika akili za watu subconsciously.View attachment 2856895
Ndioo, zamani watu walijua Dunia ni flat, lakini gunduzi zinakuwa updated Kila siku na ndio maana baada ya hapo wakaja wakasema Dunia ni sphere, lakin mambo yamechange zaidi wakagundua Dunia sio exactly sphere Bali ni ellipsoid, kwahy tafiti Bado zinaendelea zaidi ila huko kwenye flat wameshatoka zamani sana sijui ww umeshikishwa nn?,
Kwanza jibu uongo wako wa hiyo hotuba ya HillaryπŸ˜„.
 
Nina vitu vingi vya kujibu humu ndani. Kesho niko free nitakujibu, nimesave reply usiwe na wasiwasi. Muda sio rafiki mambo ni mengi.
Alafu vingne unavirukaaπŸ˜„πŸ˜„ umetutumia clip ya Hillary nimekuonesha hiyo hotuba alikuwa anaongelea nn lkn umejikalisha kimya na uongo wako, pili niambie how eclipses zinatokea.

Ni Bora ungekuja na hoja ya kuwa Dunia sio Duara, lakin ww hoja yako ni kuwa Dunia ni flat alafu hoja unazotoa kutetea ni weakness na uelewa wako mdogo kuhusu dhana ya Dunia kuwa DuaraπŸ˜„, njoo na hoja za kutetea Dunia ni flat kwanza.
 
2023 flat earth wanatoa wapi ujasiri hawa[emoji1787]


Mkuu salama? Nakujibu kuhusu video zako za post No. 1001 & 1005 kwanza utambue hatuko hapa kubishana ila kupeana ukweli wa hii Dunia tunayoishi.

Video ulizonitumia niangalie nimeelezea sana lakini naona bado huelewi, sawa ngoja nirudie tena kwa mara nyingine. Acha tuanze na video ya No. 1003 then tumalizie No.1005

[emoji1314] Mkuu nina swali kwako, ni nini maana ya straight line? Hii ni straight line au curved line?.
Unajua maana ya straight line?



[emoji1314] Hii ndo strait line na ndege zote za Alaska kutoka Asia lazima zipite Anga la Russia. Kuzunguka na ndege kama video inavyoonesha ilibidi apitie Antarctica na kitu ambacho hakiwezekani[emoji23], katumia janjajanja tu kwenye kuelezea kairuka antartica maana anajua watu wangehoji, fatilia hata comments za wadau humo wamemkatalia.




[emoji1312] Hio juu ndo ramani ya Flat earth ambayo Rubani wote wa ndege wanaitumia kwasababu ndo uhalisia wa hii Dunia yetu.

Good news kuna comment ya Elon hapo, actually he knows the truth angalia reply yake hapo chini amekuwa surprised maana wanajua ukweli wa hii Dunia[emoji23][emoji23]. Amka ndugu tunadanganywa sana.

β€œWhoa”[emoji23][emoji23][emoji23]

οΏΌοΏΌ


Nyingine hio [emoji116]

οΏΌ

οΏΌ

(2)
Video ya Pili maelezo yake hayana utofauti na juu, Why planes fly on a curve?

Kwanza tambua hakuna Curve na Dunia ni flat, hizo ni janja zao katika kuendelea kuwaaminisha kwamba kweli Dunia ni globe, kwanini nasema sio? Ok twende taratibu[emoji116]

[emoji1314] Dunia ingekuwa ina curve kusingekuwa na Auto piloting, kumbuka ndege inanjia yake na ni straight. Autopilot haifanyi kazi kwenye curve.

Maelezo yote aliyotoa anaficha kusema ukweli kwamba the "curved" line is actually a straight path in reality. Ndomana Pilots wote Duniani wanatumia β€œFlat Earth Map” na sio globe Map, na hii ndo reality japo mnakuwa wagumu sana kuelewa.

Kitu kingine cha kukumbuka β€œMagnetic North” inafanyaje kazi kwenye globe? ni totally impossible amkeni fanyeni research. Kabla ya yote inatakiwa ujue kwanza sababu ya kukudanganya kuhusu ukweli wa Dunia, hapa utapata mwanga wa kudig deep zaidi.
 
Dunia ni flat. Siri kubwa wanayo nasa, ndo maana maswala ya anga ni mataifa matano tu ndo yanaruhusiwa kusomea. Dunia ina kingo, ingekuwa duara ndege ya kutoka australia ingepitia upande wa pili hadi marekani ila ndege zote zinapita bara la afrika kwenda marekani.
Kwa kuwa watu wengi tuna elimu ya geography tuliyofundishwa darasani hata sababu za kutetea sphericity huwa tunatoa huko.
Mfano
Kuna ishu ya the earth curve horizon na ship visibility inayofanya hivyo ni shape ya lense ya jicho la binadamu mtu anaweza akaprove mwenye bila hata kwenda angani


Pia picha za angani nyingi ni za kutengeneza

Dunia haizunguki, ukitaka kuamini angalia anga kila siku nyota zinakuwa katika shape na position ile ile. Shape of the earth nilitumia kujibia maswali tu darasani lakini ukweli nimeisha ujua.
 

Mkuu nina swali kwako, ni nini maana ya straight line? Hii ni straight line au curved line?.
Unajua maana ya straight line
Basi hata hiyo clip hujaelewa
 
Hapo umemtumia elon musk kwamba anafahamu dunia ni flat, vipi mission zake za rocket nazo unakubaliana nae? Au msimamo uko wapi
 
Naww ni NASA maana Siri wanayo NASA
 
Nakupa task,
Nielezee jinsi Gani eclipses zinatokea, nielezee jinsi lunar phases zinatokea,

 
Unaaonekana kilaza Sana ..maelezo ya huyo jamaa yamejitosheleza Kama hata physics ya form two unayo
Simply. Gravity inavuta vitu vyote kuelekeza kwenye kiini Cha tufe dunia kwa hiyo kadiri unavyotoka usawa was bahari unazidi kupanda mwinuko Sasa ukimwaga maji kwenye mwinuko lazima yatavutwa kuelekea usawa was bahari
Na ndiyo maana Tanki laa maji likipandishwa juu huhitaji mashine kuyatoa maji tankini. Unadhani Nini kinayavuta Yale maji?
 
Kazi sana kumuelewesha huyu jamaa, kwanza hajajibu uongo wake kuhusu hotuba ya Hillary πŸ˜„

Nini kinamfanya mtu awe na sifa za kushiriki katika udanganyifu huu?

1. Kutokuwa na elimu ya msingi ya sayansi na maarifa ya ulimwengu asilia.

2. Kuamini moja au zaidi ya nadharia za njama maarufu (kama vile chemtrails au udanganyifu wa kutua kwa mwezi).

3. Hamu ya kuwa sehemu ya kundi lenye utata ambalo "linajua mambo."Kutokuwa na imani kubwa na serikali (au mamlaka yoyote, kwa kweli).

4. Tabia ya kuwa na urahisi kuaminishwa, au kushawishika kwa madai ya kipumbavu (kuangukia kwenye madai ya wachawi).

5. Kuamini katika ukweli wa Biblia na uumbaji wa dunia kwa kufuata maandiko kwa ufasaha.

5. Kukataa kuchunguza ushahidi wowote unaoweza kwenda kinyume na imani zao imara.

6. Ubunifu wa kutunga madai ya kichekesho yanayojaribu kuelezea mapungufu ya mfano wa dunia kuwa tambarare.Baadhi ya wanaodai dunia ni tambarare, wanapoona ongezeko la umaarufu wa nadharia hiyo, wanachochewa kutafuta faida kwa kuanzisha vituo vya YouTube vinavyoleta mapato kupitia matangazo.Asilimia fulani ya wanaodai dunia ni tambarare hawaamini kwa kweli wanayoyachimba, lakini ikiwa inaweka dola kadhaa mfukoni mwao, kwa kutojali wanajaribu kuwashawishi wote wanaosikiliza kwamba tumedanganywa na mamlaka kwa mamia ya miaka. Kwa kujifanya hivyo, ni kwa dhihaka kwamba wanaodai dunia ni tambarare ndio wenye udanganyifu.
 
Kama hizo nyota ulikua unaziona mda fulani usiku, ungejaribu kuamka masaa 3-5 mbele uangalie kama hizo nyota utaziona tena zikiwa pale pale
 
Wapi waliprove scientifically kuwa juu Kuna molten glass firmament? Au unatupiga kamba
N.B usituletee link uchwara za YouTube tupe link ikiwezekana tupate na vitabu na hizo experiments walizofanya
 
Nyota haziwi kwenye position ile ile, Hilo nmechunguza mimi mwenyewe..
Na hata wewe unaweza kuchunguza ukabaini hilo.
 
Kama hizo nyota ulikua unaziona mda fulani usiku, ungejaribu kuamka masaa 3-5 mbele uangalie kama hizo nyota utaziona tena zikiwa pale pale
Tabu kweli kweliπŸ˜„, mbona hajawahi kujiuliza kwann Kila saa 2 asubuh Jua linakuwa pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…