Mkuu salama? Nakujibu kuhusu video zako za post No. 1001 & 1005 kwanza utambue hatuko hapa kubishana ila kupeana ukweli wa hii Dunia tunayoishi.
Video ulizonitumia niangalie nimeelezea sana lakini naona bado huelewi, sawa ngoja nirudie tena kwa mara nyingine. Acha tuanze na video ya No. 1003 then tumalizie No.1005
Mkuu nina swali kwako, ni nini maana ya straight line? Hii ni straight line au curved line?.
Unajua maana ya straight line?
View attachment 2859359View attachment 2859360
Hii ndo strait line na ndege zote za Alaska kutoka Asia lazima zipite Anga la Russia. Kuzunguka na ndege kama video inavyoonesha ilibidi apitie Antarctica na kitu ambacho hakiwezekani
, katumia janjajanja tu kwenye kuelezea kairuka antartica maana anajua watu wangehoji, fatilia hata comments za wadau humo wamemkatalia.
View attachment 2859361View attachment 2859362
Hio juu ndo ramani ya Flat earth ambayo Rubani wote wa ndege wanaitumia kwasababu ndo uhalisia wa hii Dunia yetu.
Good news kuna comment ya Elon hapo, actually he knows the truth angalia reply yake hapo chini amekuwa surprised maana wanajua ukweli wa hii Dunia
. Amka ndugu tunadanganywa sana.
“Whoa”

Nyingine hio


(2)
Video ya Pili maelezo yake hayana utofauti na juu, Why planes fly on a curve?
Kwanza tambua hakuna Curve na Dunia ni flat, hizo ni janja zao katika kuendelea kuwaaminisha kwamba kweli Dunia ni globe, kwanini nasema sio? Ok twende taratibu
Dunia ingekuwa ina curve kusingekuwa na Auto piloting, kumbuka ndege inanjia yake na ni straight. Autopilot haifanyi kazi kwenye curve.
Maelezo yote aliyotoa anaficha kusema ukweli kwamba the "curved" line is actually a straight path in reality. Ndomana Pilots wote Duniani wanatumia “Flat Earth Map” na sio globe Map, na hii ndo reality japo mnakuwa wagumu sana kuelewa.
Kitu kingine cha kukumbuka “Magnetic North” inafanyaje kazi kwenye globe? ni totally impossible amkeni fanyeni research. Kabla ya yote inatakiwa ujue kwanza sababu ya kukudanganya kuhusu ukweli wa Dunia, hapa utapata mwanga wa kudig deep zaidi.