Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Wapi waliprove scientifically kuwa juu Kuna molten glass firmament? Au unatupiga kamba
N.B usituletee link uchwara za YouTube tupe link ikiwezekana tupate na vitabu na hizo experiments walizofanya


Fatilia vizuri hapa hizo organization zote utapata majibu.
 

Hata uliangalia hizo picha za sunrise, unaona ni wazi kabisa Dunia ni Duara, mwanga wa Jua unamulika mawingu Kwa chini while Jua halionekani,
 

Waambie ukweli mkuu maana vijana wameshikwa Akili hawataki kufuatilia ukweli.
 



Tweet ya Elon hii, ila aliifuta.
 
Hapo umemtumia elon musk kwamba anafahamu dunia ni flat, vipi mission zake za rocket nazo unakubaliana nae? Au msimamo uko wapi

Unaijua Bermuda Triangle? Bhasi rocket zote zinaangukia hapa na ni siri kubwa sana.
 

Gravity ni Hoax, amkeni asee mtaendelea kudanganywa mpaka lini?.
 

Wewe unaamini sayansi mimk naamini katika bible. Naomba niambie Dunia ilitokea wapi?
 
Nilikuuliza swali mpaka leo hujajibu, unajua sababu ya kulindwa kwa Antartica?
Sijui hata kama inalindwa, na haitakuwa sehem ya kwanza kulindwa Kuna Area 51 pia nasikia. Kwahy haiwezi kuwa sabab ya Dunia kuwa Duara. Haya jibu swali langu
 
Bro, vipi kuhusu uongo wako wa Ile hotuba ya Hillary [emoji1], nimekwambia niambie jinsi lunar phases zinatokea na lunar eclipses naona kimyaa[emoji1][emoji1]

Ni vile akili yako imeshikwa na Matrix huwez elewa. Niliweka mpaka cartoon ya simpson lakini hamuelewi, kama wewe unaamini Dunia ni mpira ni sawa ila ukweli Dunia ni flat. Ndomana Pilots wote wa ndege wanatumia flat earth mapa na wengi wameprove Dunia ni flat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…