The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Kwahy unakataa kuwa Ile hotuba hukutupiga kamba😄😄? Au uliingizwa chaka na flat earthers bila kufuatilia?Ni vile akili yako imeshikwa na Matrix huwez elewa. Niliweka mpaka cartoon ya simpson lakini hamuelewi, kama wewe unaamini Dunia ni mpira ni sawa ila ukweli Dunia ni flat. Ndomana Pilots wote wa ndege wanatumia flat earth mapa na wengi wameprove Dunia ni flat.
Reuters debunked this claim
Sijui Dunia imetokea wapi lakini ninauhakika Dunia ni Duara.
Siku izi rocket zinarudi kambini mkuu
Majibu ya hii kitu yapo, na najua utakataa Kwa sababu ya kuwa tunadanganywa😄.
Yaani Bado umewaweka na NASA wakati umesema ndo wanatuficha?
Alafu hizo zote uliziweka zipo wazi kabisa zilikuwa na lengo Gani ambalo ni tofauti naww unavyosema( conspiracy)
Biblia haijaelezea Dunia imetokea wapi( how process) Bali imesemd tu iliumbwa na Mungu, kwani hakuna uwezekano Mungu akaiumba hii Dunia Kwa kufanya hio Bing bang? Kama Kuna sehem biblia imeeleza jinsi Dunia ilivyotokea nijuze ndugu.Kama hujui Dunia ilitokea wapi lakini Bible imelezea namna Dunia ilivyotokea na kila kilichoandikwa ni kweli.
Sijui hata kama inalindwa, na haitakuwa sehem ya kwanza kulindwa Kuna Area 51 pia nasikia. Kwahy haiwezi kuwa sabab ya Dunia kuwa Duara. Haya jibu swali langu
Sa nifanye research zipi? There are too many conspiracies kwenye mambo yanayoendelea hapa duniani
Shida yako hujibu hoja, mpk Sasa hujajibu duku duku zangu, hapa hakuna aliewahi kutoka nje ya Dunia akaona hii Dunia Kwa uhalisia kama ni Duara au tambarare ila tunaangalia facts kwahy ukijibu duku duku zangu maybe naweza kukuelewa, na usitumie viclip zifupi vya uongo.Soma upate Elimu kijana na sio kubishana. Ukianza na Organization ya kwanza na ya2 ndo utajua sababu ya kuanzishwa kwa NASA. Nilikwambia before NASA maana yake ni Kupinga fuatilieni mambo msiwe mnabisha vitu msivyovijua.
Kwahy unakataa kuwa Ile hotuba hukutupiga kamba[emoji1][emoji1]? Au uliingizwa chaka na flat earthers bila kufuatilia?
Hiyo hotuba uliisikiliza lakini bro?Hakuna cha kamba pale mwenye uelewa alielewa clinton alimaanisha nini, na aliongea vile sababu anajua watu hamuelewi. Ukisoma deep hio operation fishbowl ukaja ku link na clinton utapata mwanzo mzuri, sio clinton tu hata Elon anaongea sana.
Majibu ya hii kitu yapo, na najua utakataa Kwa sababu ya kuwa tunadanganywa[emoji1].
Soma kuhusu sundog, sun hola, na sun
Pillar.
mimi acha niishie hapa mkuuNilijua utaenda kugoogle na kuleta hii claim, wenzako waliifuta sababu ilikuwa inasema ukweli na ilifutwa haraka sana. Unajua reason ya kutweet hivo? Kwa faiida yako soma “Operation fishbowl” ya 1962 utapata mwanga mzuri, sasa hii operation inaendelea mpaka sasa lakini haina mafanikio na hakuna kiumbe yoyote wa kutoka na kuingia kwenye hii Dunia.
Vipi na hii tweet yakeView attachment 2860256
Soma hapa pia
Najitahidi kujibu hoja zako, ila zangu hujibu unauliza zako tu.
Biblia haijaelezea Dunia imetokea wapi( how process) Bali imesemd tu iliumbwa na Mungu, kwani hakuna uwezekano Mungu akaiumba hii Dunia Kwa kufanya hio Bing bang? Kama Kuna sehem biblia imeeleza jinsi Dunia ilivyotokea nijuze ndugu.
Jiulize tu ni kwann hii kitu (sundog and halo) zinatokea mara Moja Moja, kama ingekuwa ni hiyo sababu yako ya firmament kwann isitokee muda wote since firmament is still there?
Duuuh hapo ndo umenielezea?Kazi kwako kujua uumbaji halisi wa Mungu.View attachment 2860265