Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Ni vile akili yako imeshikwa na Matrix huwez elewa. Niliweka mpaka cartoon ya simpson lakini hamuelewi, kama wewe unaamini Dunia ni mpira ni sawa ila ukweli Dunia ni flat. Ndomana Pilots wote wa ndege wanatumia flat earth mapa na wengi wameprove Dunia ni flat.
Kwahy unakataa kuwa Ile hotuba hukutupiga kamba😄😄? Au uliingizwa chaka na flat earthers bila kufuatilia?
 
Yaani Bado umewaweka na NASA wakati umesema ndo wanatuficha?
Alafu hizo zote uliziweka zipo wazi kabisa zilikuwa na lengo Gani ambalo ni tofauti naww unavyosema( conspiracy)

Soma upate Elimu kijana na sio kubishana. Ukianza na Organization ya kwanza na ya2 ndo utajua sababu ya kuanzishwa kwa NASA. Nilikwambia before NASA maana yake ni Kupinga fuatilieni mambo msiwe mnabisha vitu msivyovijua.
 
Kama hujui Dunia ilitokea wapi lakini Bible imelezea namna Dunia ilivyotokea na kila kilichoandikwa ni kweli.
Biblia haijaelezea Dunia imetokea wapi( how process) Bali imesemd tu iliumbwa na Mungu, kwani hakuna uwezekano Mungu akaiumba hii Dunia Kwa kufanya hio Bing bang? Kama Kuna sehem biblia imeeleza jinsi Dunia ilivyotokea nijuze ndugu.
 
Sijui hata kama inalindwa, na haitakuwa sehem ya kwanza kulindwa Kuna Area 51 pia nasikia. Kwahy haiwezi kuwa sabab ya Dunia kuwa Duara. Haya jibu swali langu

Kama hujui haya yote unabisha nini? Unafikiri wenzako wanalinda nini ? Huo mzunguko wa Duara ni Ice walls ndo zinalindwa angle zote tena kwa Ulinzi mkali sana. Nenda kafuatilie ni nini wanacho hide kwa kuweka ulinzi mkali.
IMG_4764.jpg
 
Soma upate Elimu kijana na sio kubishana. Ukianza na Organization ya kwanza na ya2 ndo utajua sababu ya kuanzishwa kwa NASA. Nilikwambia before NASA maana yake ni Kupinga fuatilieni mambo msiwe mnabisha vitu msivyovijua.
Shida yako hujibu hoja, mpk Sasa hujajibu duku duku zangu, hapa hakuna aliewahi kutoka nje ya Dunia akaona hii Dunia Kwa uhalisia kama ni Duara au tambarare ila tunaangalia facts kwahy ukijibu duku duku zangu maybe naweza kukuelewa, na usitumie viclip zifupi vya uongo.
 
Kwahy unakataa kuwa Ile hotuba hukutupiga kamba[emoji1][emoji1]? Au uliingizwa chaka na flat earthers bila kufuatilia?

Hakuna cha kamba pale mwenye uelewa alielewa clinton alimaanisha nini, na aliongea vile sababu anajua watu hamuelewi. Ukisoma deep hio operation fishbowl ukaja ku link na clinton utapata mwanzo mzuri, sio clinton tu hata Elon anaongea sana.
 
Hiyo hotuba uliisikiliza lakini bro?
 
Nilijua utaenda kugoogle na kuleta hii claim, wenzako waliifuta sababu ilikuwa inasema ukweli na ilifutwa haraka sana. Unajua reason ya kutweet hivo? Kwa faiida yako soma “Operation fishbowl” ya 1962 utapata mwanga mzuri, sasa hii operation inaendelea mpaka sasa lakini haina mafanikio na hakuna kiumbe yoyote wa kutoka na kuingia kwenye hii Dunia.

Vipi na hii tweet yake
IMG_4866.jpg
 
Vipi na hii tweet yakeView attachment 2860256
mimi acha niishie hapa mkuu
 
Biblia haijaelezea Dunia imetokea wapi( how process) Bali imesemd tu iliumbwa na Mungu, kwani hakuna uwezekano Mungu akaiumba hii Dunia Kwa kufanya hio Bing bang? Kama Kuna sehem biblia imeeleza jinsi Dunia ilivyotokea nijuze ndugu.

Kazi kwako kujua uumbaji halisi wa Mungu.
IMG_4418.jpg
 
Back
Top Bottom