Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Umejaribu kutetea hoja yako, Lakini naona umekuja kukubaliana na hoja yangu, Hivyo vyote vinatokea kwasababu Dunia ni Tufe.
(Ondoa tu neno Illusion)
 
Umesema ni scientifically proven, Science ya wapi imebadili kuwa sio sababu ya curvature ?
 
Angalia kwa umakini hizi picha
 
Una hoja ya msingi kweny hilo la image ya Dunia ..ni kwel picha nyingi photolab .....ni kama zimekuwa edited...kwel hila mwez hata kwa muonekano tu ni duara sasa ndo kutaka kusema kuwa Dunia IPO juu ya plain duara?
 
Umejaribu kutetea hoja yako, Lakini naona umekuja kukubaliana na hoja yangu, Hivyo vyote vinatokea kwasababu Dunia ni Tufe.
(Ondoa tu neno Illusion)
Duh! Kwenye hilo andiko langu,...wapi nimeonyesha kukubaliana na wewe kwamba Dunia ni tufe?
 
Umesema ni scientifically proven, Science ya wapi imebadili kuwa sio sababu ya curvature ?
Kwanza hoja ya ukomo wa upeo wa macho inaingia akilini,...kisha kuhusu kuwa scientifically proven nenda kasome sources zipo nyingi Tu,.ukishindwa kabisa tumia hata artificial intelligence itakusaidia.
 
Unauhakika eclipse Haina uhusiano wowote na Dunia kuwa kama tufe? Lakin pia nilikuuliza Hilo swali Kwa sabab ya model iliyotolewa ya flat earth inayoonyesha Jua na mwezi vipo kwenye circle Moja sa Kwa akili ya kawaida tu eclipse itatokeaje? Kuhusu uhusiano wa lunar phases na Dunia kuwa Duara ni kwamba, unapoona Dunia ipo nusu kipenyo it means Ile dark part ya mwezi ni shadow ya Dunia.👇👇
 
Sasa hapa eclipses inatokeaje?👇👇

 
Hawa wote muanzilishi ni Nicholaus Copernicus.
 
Kwa hiyo hapo ndiyo unaona Meli inatumbukia au?

Sijaelewa.
Sawa ngoja nifanye kama nataka nkuelewe wewe kuwa dunia ni flat,

Ila nataka nkuulize maswali uyajibu kwa ufasaha bila chenga chenga, Upo tayari ?
 


Picha ya dunia (earth) hako kanyota angani kutokea Mars kama ilivyonyakuliwa na ‘curiosity rover’.
 
NDG ZANGUNI WOTE MLIOSOMA HILI ANDIKO NIMA SWALI.


HIVI KAMA DUNIA NI TAMBARARE MWISHO WAKE KUNA NINI MAANA TUNAFAHU GROUND YOYOTE INA TERRITORY ZAKE, JE KWA DUNIA MIPAKA YAKE IMEKAAJE NA KUNA NINI HUKO KWENYE MIPAKA?


Swali la 2. Na huko kwenye mipaka ukifika ukaivuka hiyo mipaka kuna nini huko. Sababu territory yoyote unapoifikia nakuivuka kuna kitu kinaendelea huko
 
Yes,.. Eclipse haina uhusiano na Dunia kuwa kama tufe,.kwa sababu Dunia ambayo ipo flat-rounded pia inaweza kuonyesha the same effect sio lazima iwe tufe kama hivi ➡️🌍....maana kumbuka hata Theory sometimes hazisemi kwamba Dunia ni completely TUFE...mfano wanasema➡️The Earth is approximately an oblate spheroid, meaning it is mostly spherical but slightly flattened at the poles and bulging at the equator. This shape is often described as an ellipsoid or ellipsoidal shape.

Lakini pia tujiulize:-
1. Theories zinasema,... Jua ni kubwa sana compared to dunia, kwamba if we assume Sun as an empty jar, then it would take about 1.3 million Earths to fill the Sun's volume.
Naomba nikuulize kwamba Kwa ukubwa huo wa Jua,.. Inawezekana vipi Dunia izuie(Block) mwanga wa Jua kufika kwenye mwezi( Lunar eclipse)?

2. Kwenye solar eclipse, theories zinasema kwamba Mwezi una block mwanga wa Jua Kwa inavyoonekana kutoka duniani(as observed from the earth) ndiyo tunapata Solar eclipse....
•Swali la Kujiuliza, Theory zinasema kwamba Mwezi ni mdogo sana kuliko Jua, tena ni mdogo sana Kwa Dunia,...Sasa inakuaje Mwezi unaweza Ku block completely Mwanga wa Jua?
Kumbuka kuna full solar eclipse na Partial solar eclipse..... inakuaje Mwezi na udogo wake huo ufanye complete blocking of sunlight?
 
Sasa hapa eclipses inatokeaje?👇👇

View attachment 2866819
Kwenye hiyo Model ambayo inatumiwa na Flat earthers,...
1. kuelezea Solar eclipse inawezekana
2. Kuelezea Lunar eclipse,..inakua ngumu kidogo..... kwenye hiyo Model, labda tuchukulie kwamba kuna celestial body nyingine ambayo inahusikia kwenye lunar eclipse.

Mtazamo wangu ni kwamba,... Model ya Tufe na Model ya Flat earthers zote zina changamoto,.. Kwasababu hata description kutoka kwenye model ya Tufe, Inasemekana kwamba Jua ni kubwa mno, kiasi ambacho tukisema Dunia inaweza ku block mwanga wa Jua usifike kwenye mwezi., Inakua ngumu kuamini.

Labda niulize Kwa upande wako Mkuu,. inawezeka vipi Dunia Kuzuia mwanga wa Jua usifike kwenye mwezi? As Dunia kwa Jua ni a very tiny object kama inavyoelezewa kwenye nadharia.
 
Sawa ngoja nifanye kama nataka nkuelewe wewe kuwa dunia ni flat,

Ila nataka nkuulize maswali uyajibu kwa ufasaha bila chenga chenga, Upo tayari ?
Yap nipo tayari,.... Endapo yatakua ndani ya uwezo wangu.
 
Nijibu hoja yako ya pili, mwezi uko karibu sana na dunia , na jua lilo mbali na vyote mwezi na dunia ndo maana mwezi unaweza block jua kutokea duniani.

Hata wewe hapo ulipo unaweza jaribu kwa kitu chochote ku block.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…