Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Illusion inatokea pale ambapo unaona kitu/situation tofauti na uhalisia wake ulivyo.

1.Ndiyo, ukomo wa kuona ndio unaosababisha meli kuonekana kama inazama baharini. Meli kiuhalisia haizami kabisa(kushuka as unavyosema ukiamini eneo hilo ndiyo kuna curve), lakini inaonekana hivyo kutokana tu na namna mwanga unavyovunjika angani.... Inashangaza kuona unacheka kuhusu hili mbona ipo scientifically proven kabisa?!

2. Mkuu ipo hivi,... Meli huonekana kama inapotea Kwa kuzama baharini kwa sababu Tu ya refraction ya mwanga. Refraction ni jambo la mwanga kubadilisha mwelekeo wake unapopita kupitia njia mbili tofauti. Katika kesi hii, mwanga unapopita kupitia hewa na maji, mwanga huinama. Hii inasababisha meli kuonekana kama inazama baharini,lakini sivyo.

Ebu jaribu kuchukua kipande cha mti kisha kiweke kwenye ndoo yenye maji,,.Je, Tukio utakaloona kwenye hiyo ndoo ni uhalisia au just illusion mwanga umeyahadaa macho yako?

3. Ndege angani hutokea kufifia kwa sababu ya umbali mrefu na hewa inayosababisha athari ya "blur." So, Meli haiwezi kupotea Kwa kufifia kama Ndege ni situations zinazotofautiana.
a. Kupotea Kwa Meli, kunahusisha vitu vinne umbali mrefu, mwanga, hewa na maji.
b. Kupotea Kwa Ndege kunahusisha vitu vitatu umbali mrefu, mwanga na hewa ambayo inapelekea athari ya Blur"......

4. Yap, nimewahi kushuhudia tukio la namna hiyo.
Umejaribu kutetea hoja yako, Lakini naona umekuja kukubaliana na hoja yangu, Hivyo vyote vinatokea kwasababu Dunia ni Tufe.
(Ondoa tu neno Illusion)
 
Umesema ni scientifically proven, Science ya wapi imebadili kuwa sio sababu ya curvature ?
 
Angalia kwa umakini hizi picha
OGsz0.jpg
 
Kwanza kabisa napenda kuwa shukuru kwa mapokeo mazuri
REMEMBER THAT YOU WILL DIE

NO ONE KNOWS EVERYTHING

LIVE AND LET LIVE

THINK AND ASK QUESTIONS

TRY NEW IDEAS

BE VALUABLE TO OTHERS

KNOW YOURSELF

PURSUE KNOWLEDGE, FRIENDSHIP, AND MEANING INSTEAD OF FAME, WEALTH, AND POWER

NEVER MIX BEER AND WINE

SHARE AND ENJOY

Kabla sjayajibu maswali ya watu kwa ujumla kiundani kidogo hili swala linaitaji utilize akili kwelikweli

Alaf just to be clear hili swala haliingiliii maswala dini wala halijabase kwene dini yoyote .this is whats happening right now catch up on reality ,,kuna tofauti kubwa kati ya dini na imani karne moja tu iliopita sisi tulikua hatuna dini yoyote lakin tulikua tunaongozwa na imani zetu na nadhani wote hapa tunatambua kwamba missionaries walikua agents of colonialism nadhani hapo utakua umenielewa kidogo ndo maana spendi kuongelea dini maana zina wagawanya watu kwasababu nadhani wote humu dini tulizikuta na hakuna aliechagua dini yake kwahiyo tunafata tu dini kwasababu mkoloni alisema usipokua na dini unakua hupati huduma kama watu wengine kwahiyo huu ni ufikiraji tofauti kidogo nje ya box so don’t ever judge others na dini zao dini tunarithi hatuchagui we unajuaje ungefundishwa uislamu na ukristo kwa pamoja ungeamua kua na dii gani mwishoni kwahiyo haya ya dini tuweke pembeni imani yako ndo itakuponya kwasababu kila dini inajiona yenyewe ndo inaukweli…kuna sheria moja inasema ''treat your neihboughr as your self'' tukizingatia hii nadhani hapo tutakua sana kiimani….cha msingi kikubwa hapa ni imani… …tafakari alafu pia hili swala la dunia kua tambarare lilibadilishwa zaidi ya miaka 500 jiulizeni kwanini hizi secreatsociety zina mizizi na historia ndefu na dunia hiii.

Na naomba nieleweke kuhusu hizi secreat society ..huu ni mwaka 2016 jamani sio mpaka uwaone live ndo uamini wapo the fact is indeed hizi organization zipo na they have agendas which they have to fulfill kuna mawe ya kumbukumbu yako huko mjini georgia na hayo mawe yana sheria zote za dunia mpya (amri kuu za dunia mpya)wanayo itaka wao na mawe hayo yameandikwa kwa luhga kuu nane za dunia ikiwemo Kiswahili mwaka 1980 hii inaonesha kua hii Dunia ina mambo mengi yenye siri kubwa swali kubwa la kujiuliza kwa pamoja ni kwanini tunafichwa kuhusu hayo mambo????

Na kumbuka hawa watu who ever they are 9elites ,,secreqat societies) wameiteka dunia nzimakuanzia ngazi za chini sana… makampuni ya televisheni redio masuper market kote wana mkono wao na wanaanika alama zao bila kuficha lakini sisi hatujitambui bado kwamfano mrahisi kabisa super market ya game iliopo mlimani city makao makuu yapo south Africa lakin ukifatilia zaidi unagundua kwamba ni kampuni ndogo ya walmart ya marekani na ukiantgalia logo yake huto amini kabisa skuzote tunaiona lakin mpaka ukae utulie ndo utaona kua kuan 666 katika hiyo logo yao sudhani hii ni concidance wao kuandika game kwa font yenye 666 nadhani mnaziona vizuri izo 666 zimegeuzwa tu lakin 6 zipo tatu
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.gif
nahii je tunafundishwa kua dunia inatilt 23.4 degrees on a right angle to the sun 90-23.4=66.6 hii nayo coincidence au fatilieni mambo sio kujudge na kusema ni conspiracy tu .

Naomba hii ya game isiwe mada ni mfano tu … na naomba niwe wazi kuwa sipingani na sayansi wala dini huu ni uchambuzi

Kwa uwelewa wangu mdogo naweza kusema kuwa sisi binadamu ni viumbe teule sana ( we are so special)

unaweza kujiuliza haya mawe ya Georgia yana maana gani kumbuka duniani ssa hvi tupo watu takribani billion saba na woao wana taka watu wasio zidi million mia tano

The English text is:

Maintain humanity under 500,000,000 in perpetual balance with nature.

Guide reproduction wisely — improving fitness and diversity.

Unite humanity with a living new language.

Rule passion — faith — tradition — and all things with tempered reason.

Protect people and nations with fair laws and just courts.

Let all nations rule internally resolving external disputes in a world court.

Avoid petty laws and useless officials.

Balance personal rights with social duties.

Prize truth — beauty — love — seeking harmony with the infinite.

Be not a cancer on the earth — Leave room for nature — Leave room for nature.

Ilikukamilisha malengo yao lengo namba moja inabidi asilimia 90% ya watu walio hai waondolewe duniani, so probably not a good idea.

Goal 2 is contradictory in the English version. The whole point of selective breeding is to reduce diversity by favoring some traits over others.Language fascinates me because it is the only way one mind can know another.

hivi kwa kweli mnashidwa kuelwewa ndugu zangu watu million mia tano na watu biilioni saba watatupunguzaje na haya mambo mii siyatungi yapo na ukifatilia utajua tu usishangae kuskia kunavita zinachochewa hii ni kupunguza watu duniani magonjwa pia yanatengenezwa kama zika virus its proved kabisa ilitengenezwa lab na wazungu ssa hvi hawa watu wana fanya mpaka wether modification duniani lakini watu bado tumelalal inaskitisha sana( google chemtrails uone

wanavyoweka sumu angani kupunguza life expectancy) lakin system walio iweka ndo inasababisha watu wawe gizani na ndo wanataka hivyo ..haya mambo yameongelewa vizuri zaidi kwen physichilogy na mass control of people..so haya mambo yapo,,, na yanaumiza kichwa ukiwqa unayafuatilia …….usinichukie mimijaribu kufanya utafiti na naomba niseme sibishani na mtu ukiwa mvivu wakufatilia mambo nakusoma vitabu tofauti utaishia kubisha tu na hapa tunajifunza kwa facts …nliwaambia kuhusu picha za CGI maranyingi watu wanaosema dunia ni duara ukiwaambia wauoneshe picha halisi ya dunia kutoka kwen setteliite fatilieni kuhusu van allen belt mtajua nasa hawajawai hata kwenada space find it van allen belt nuthhing can pass throuht it …sasa sisi tupo busy na system hatuna mda wa kuyapitia haya maswala kiundani na wenyewe wanataka watuy wawe ivoivo walewqe katika mambo wanayo yafanaya …haya mambo yanasikitisha sana na yanatia hasira unapokutana na watu wavivu kufatilia mambo mbalimbali…. Catch up to reality….l

Okay turudi kwene swala letu mojor la umbo la dunia ngoja nitoe tofauti kidogo ngoja nielezee jinsi dunia tambarare inavyo function

Kwa kawaida tulivyo fundishwa darasani solar syetem ni kwamba Dunia ina mizunguko miwili ule wa usiku na mchana na ule wa revolution au mzunguko wa dunia kulizunguka jua na mzunguko huu ndio inasababisha misimu tofauti ndani ya mwaka kuzingatia umbali wa dunia na jua kwamfano jua likiwa umbali wa mile 91,400,000 katika mwezi ya january ni wakati wa baridi na umbali ukiwa mile 94,500,000 mwezi wa saba joto linaongezeka au tunasema summer au kiangazi karibu dunia nzima na wanasema due to the ball-Earth’s tilt, different places receive different amounts of direct sunlight and that is what produces the seasonal and temperature changes. This makes little sense, however, because if the Sun’s heat travels over ninety million miles to reach the ball-Earth, how could a slight tilt, a mere few thousand miles maximum, negate the Sun’s ninety million mile journey, giving us simultaneous tropical summers and Antarctic winters?

Na tukija kwene mfumo tambarare iakuaje misimu inatokeaje na dunia inapataje usiku na mchana ?

katika mfumo tambarare ni dhahiri kwamba jua na mwezi ni nuru zinazoizunguka dunia kuleta misimu na usiku na mchana duniani na ndo mqaana ukiangalia polaris au nyota ya kaskazizi huwa haichange position jna constilation zote zinaizinguka polaris ambayo ni true north.. na kuhusu swala la ndetge kupaa ndege hupaa kwa njia ilionyooka kwahiyo kama dunia ingekua duara ingebidi kila baada ya mile nane pilot ashushe ndege kidogo ili ikae sawa maaana ukenda straight tu utajikuta unaelea space lakin kwa kua dunia ipo flat ndo maana kuna vitu kama auto pilot kwenye ndege alaf fatilieni kama kuna route ya ndege ambayo inapita juu ya antartica au ndege yoyote inayotoka bara la south america kuelekea australia au south africa direct bila connection yoyote jua na mwezi pia vipo karibu sana zaidi tunavoambiwa jaribu kuangalia mwezi vizuri usiku kwa wale mliobaatika kuwa na telescope au camera zenye nguvu unawezakuzoom mwezi na kuona kwamba kuna baadhi ya nyota zinaonekana nyuma ya mwezi yani mwezi unakua kama transparent ndomaana watu wazamani walkua wansema wanaona kama mwezi umetiboka hii nikwasababu mwezi sio something physical its like a projection and it produces its own light kwasababu kunatafauti ya kureflect lihgt na kuglow nadhani mwezi kwangu mimi na watu wengine walio tazama kwa macho yao mwezi una glow na nature ya mwanga wa mwezi ni tofauti na jua kabisa so the moon gives its own light as well...

pia wanasayansi wanavyosema jua lipo kilometer milioni 90 na ushee embu nielewesheni nduguzangu,
dah najaribu kutafakari kidogo niliaminije huu uongo wa dunia kua duara swali kubwa la kujiuliza ni kwamba kwanini hakuna picha halisi ya dunia from space;... wazee wa round earth naomba mnijibu hili swala with evidance na unambie walipitaje kwene Van Allen Belt kwenda mwezini au space ..inasikitisha na kufurahisha watu wanapojaribu kutetea mambo wasio yafuatilia kiundani

The earth is a stretched-out structure, which diverges from the central north in all directions towards the south. The equator, being midway between the north center and the southern circumference, divides the course of the sun into north and south declination. The longest circle round the world which the sun makes, is when it has reached its greatest southern declination. Gradually going northwards the circle is contracted. In about three months after the southern extremity of its path has been reached, the sun makes a circle round the equator. Still pursuing a northerly course as it goes round and above the world, in another three months the greatest northern declination is reached, when the sun again begins to go towards the south. In north latitudes, when the sun is going north, it rises earlier each day, is higher at noon and sets later; while in southern latitudes at the same time, the sun as a matter of course rises later, reaches a lesser altitude at noon and sets earlier. In northern latitudes during the southern summer, say from September to December, the sun rises later each day, is lower at noon and sets earlier; while in the south he rises earlier, reaches a higher altitude at noon, and sets later each day. This movement round the earth daily is the cause of the alternations of day and night; while his northerly and southerly courses produce the seasons. When the sun is south of the equator it is summer in the south and winter in the north; and vice versa. The fact of the alternation of the seasons flatly contradicts the Newtonian delusion that the earth revolves in an orbit round the sun. It is said that summer is caused by the earth being nearest the sun, and winter by its being farthest from the sun. But if the reader will follow the argument in any text book he will see that according to the theory, when the earth is nearest the sun there must be summer in both northern and southern latitudes; and in like manner when it is farthest from the sun, it must be winter all over the earth at the same time, because the whole of the globe-earth would then be farthest from the sun!!! In short, it is impossible to account for the recurrence of the seasons on the assumption that the earth is globular and that it revolves in an orbit around the sun.” -Thomas Winship, “Zetetic Cosmogeny” (124-125)

“The seasons are caused by the Sun’s circuit round the Earth in a spiral ecliptic. In the Winter Solstice (December 21st), the Sun is vertical over the Tropic of Capricorn. Looking South from London, he appears to make a small circuit in the Southern sky, during the same period he is seen to cross the sky at almost overhead in Cape Town, thus causing Summer in the Southern Hemisphere. In the Summer Solstice (June 21st), the Sun is vertical over the Tropic of Cancer, (nearly overhead in London), while looking North from Cape Town, he appears to make a small circuit in the Northern sky, causing Winter in the Southern and Summer in the Northern Hemisphere.” -E. Eschini, “Foundations of Many Generations” (7)

tusiishie hapa jamani
NO ONE KNOWS EVERYTHING

LIVE AND LET LIVE

THINK AND ASK QUESTIONS

TRY NEW IDEAS

BE VALUABLE TO OTHERS

KNOW YOURSELF
Una hoja ya msingi kweny hilo la image ya Dunia ..ni kwel picha nyingi photolab .....ni kama zimekuwa edited...kwel hila mwez hata kwa muonekano tu ni duara sasa ndo kutaka kusema kuwa Dunia IPO juu ya plain duara?
 
Umejaribu kutetea hoja yako, Lakini naona umekuja kukubaliana na hoja yangu, Hivyo vyote vinatokea kwasababu Dunia ni Tufe.
(Ondoa tu neno Illusion)
Duh! Kwenye hilo andiko langu,...wapi nimeonyesha kukubaliana na wewe kwamba Dunia ni tufe?
 
Umesema ni scientifically proven, Science ya wapi imebadili kuwa sio sababu ya curvature ?
Kwanza hoja ya ukomo wa upeo wa macho inaingia akilini,...kisha kuhusu kuwa scientifically proven nenda kasome sources zipo nyingi Tu,.ukishindwa kabisa tumia hata artificial intelligence itakusaidia.
 
Mkuu,..
1. Shida ni kwamba Hakuna proof kwamba maji yanaweza kustick kwenye round-ball kama hii ➡️🌍....au wewe kipi kinafanya uamini hivyo?

2. Hapo ishu ni uoni Tu,... ndiyo maana ukifika physically sehemu ambayo unahisi ndiyo kuna curve au mteremko hutoona curve au mteremko wowote zaidi ya tambarare.....
3. Mimi naona theory of gravity imetumika kujaribu kuelezea jinsi laws of nature zinavyofanya kazi....so,kwa kuwa ni theory haituzuii kuijadili ukweli wake...mfano tunapaswa Kujiuliza namna gravity inavyopelekea maji yatastick kwenye round-ball.
4. Mkuu, kama umenielewa nilisema kwamba eclipse haina uhusiano wowote of whether Dunia ni flattened round-plate au ni round-ball....au ngoja nikuulize, Shape ya dunia inahusiana vipi na eclipse?
Kuhusu hiyo picha kwamba Jua linaakisi kwenye mawingu Kwa chini(at the bottom of the clouds)....., Mkuu, Jua haliwezi kuakisi mawingu Kwa chini. ipo hivi,.... Mwangaza wa jua huwa unavuka mawingu na kupenya kutokea kwa juu., ndiyo maana unaweza kuona mawingu yakionekana kuwa na rangi au kuangaza chini wakati wa jua kutokana na mwanga wa jua kupenya kwenye mawingu na sio kwamba mwanga huo unatokea kupitia chini.....
Unauhakika eclipse Haina uhusiano wowote na Dunia kuwa kama tufe? Lakin pia nilikuuliza Hilo swali Kwa sabab ya model iliyotolewa ya flat earth inayoonyesha Jua na mwezi vipo kwenye circle Moja sa Kwa akili ya kawaida tu eclipse itatokeaje? Kuhusu uhusiano wa lunar phases na Dunia kuwa Duara ni kwamba, unapoona Dunia ipo nusu kipenyo it means Ile dark part ya mwezi ni shadow ya Dunia.👇👇
moon-phases.en.gif
 
Mkuu,..
1. Shida ni kwamba Hakuna proof kwamba maji yanaweza kustick kwenye round-ball kama hii ➡️🌍....au wewe kipi kinafanya uamini hivyo?

2. Hapo ishu ni uoni Tu,... ndiyo maana ukifika physically sehemu ambayo unahisi ndiyo kuna curve au mteremko hutoona curve au mteremko wowote zaidi ya tambarare.....
3. Mimi naona theory of gravity imetumika kujaribu kuelezea jinsi laws of nature zinavyofanya kazi....so,kwa kuwa ni theory haituzuii kuijadili ukweli wake...mfano tunapaswa Kujiuliza namna gravity inavyopelekea maji yatastick kwenye round-ball.
4. Mkuu, kama umenielewa nilisema kwamba eclipse haina uhusiano wowote of whether Dunia ni flattened round-plate au ni round-ball....au ngoja nikuulize, Shape ya dunia inahusiana vipi na eclipse?
Kuhusu hiyo picha kwamba Jua linaakisi kwenye mawingu Kwa chini(at the bottom of the clouds)....., Mkuu, Jua haliwezi kuakisi mawingu Kwa chini. ipo hivi,.... Mwangaza wa jua huwa unavuka mawingu na kupenya kutokea kwa juu., ndiyo maana unaweza kuona mawingu yakionekana kuwa na rangi au kuangaza chini wakati wa jua kutokana na mwanga wa jua kupenya kwenye mawingu na sio kwamba mwanga huo unatokea kupitia chini.....
Sasa hapa eclipses inatokeaje?👇👇

1_HjraaEHvXQ02F-eeqBuJHA.png
 
2: Kusema Dunia ni flat sio elimu mpya Bali imekuwepo miaka mingi na Dunia inamshukuru Galileo kwa kutambua Hilo na kuwaangusha Wagiriki walioamini uzushi wa Aristotle na hizo dini uliyotaja zilizokuwa zinafundisha Dunia ni tambarare iliyobebwa na tembo kobe Mara nyoka.
Hawa wote muanzilishi ni Nicholaus Copernicus.
 
Kwa hiyo hapo ndiyo unaona Meli inatumbukia au?

Sijaelewa.
Sawa ngoja nifanye kama nataka nkuelewe wewe kuwa dunia ni flat,

Ila nataka nkuulize maswali uyajibu kwa ufasaha bila chenga chenga, Upo tayari ?
 
B0033A59-FB9B-4233-B152-EE96C1D43C43.jpeg

Picha ya dunia (earth) hako kanyota angani kutokea Mars kama ilivyonyakuliwa na ‘curiosity rover’.
 
NDG ZANGUNI WOTE MLIOSOMA HILI ANDIKO NIMA SWALI.

HIVI KAMA DUNIA NI TAMBARARE MWISHO WAKE KUNA NINI MAANA TUNAFAHU GROUND YOYOTE INA TERRITORY ZAKE, JE KWA DUNIA MIPAKA YAKE IMEKAAJE NA KUNA NINI HUKO KWENYE MIPAKA?

Swali la 2. Na huko kwenye mipaka ukifika ukaivuka hiyo mipaka kuna nini huko. Sababu territory yoyote unapoifikia nakuivuka kuna kitu kinaendelea huko
 
Unauhakika eclipse Haina uhusiano wowote na Dunia kuwa kama tufe? Lakin pia nilikuuliza Hilo swali Kwa sabab ya model iliyotolewa ya flat earth inayoonyesha Jua na mwezi vipo kwenye circle Moja sa Kwa akili ya kawaida tu eclipse itatokeaje? Kuhusu uhusiano wa lunar phases na Dunia kuwa Duara ni kwamba, unapoona Dunia ipo nusu kipenyo it means Ile dark part ya mwezi ni shadow ya Dunia.👇👇View attachment 2866811
Yes,.. Eclipse haina uhusiano na Dunia kuwa kama tufe,.kwa sababu Dunia ambayo ipo flat-rounded pia inaweza kuonyesha the same effect sio lazima iwe tufe kama hivi ➡️🌍....maana kumbuka hata Theory sometimes hazisemi kwamba Dunia ni completely TUFE...mfano wanasema➡️The Earth is approximately an oblate spheroid, meaning it is mostly spherical but slightly flattened at the poles and bulging at the equator. This shape is often described as an ellipsoid or ellipsoidal shape.

Lakini pia tujiulize:-
1. Theories zinasema,... Jua ni kubwa sana compared to dunia, kwamba if we assume Sun as an empty jar, then it would take about 1.3 million Earths to fill the Sun's volume.
Naomba nikuulize kwamba Kwa ukubwa huo wa Jua,.. Inawezekana vipi Dunia izuie(Block) mwanga wa Jua kufika kwenye mwezi( Lunar eclipse)?

2. Kwenye solar eclipse, theories zinasema kwamba Mwezi una block mwanga wa Jua Kwa inavyoonekana kutoka duniani(as observed from the earth) ndiyo tunapata Solar eclipse....
•Swali la Kujiuliza, Theory zinasema kwamba Mwezi ni mdogo sana kuliko Jua, tena ni mdogo sana Kwa Dunia,...Sasa inakuaje Mwezi unaweza Ku block completely Mwanga wa Jua?
Kumbuka kuna full solar eclipse na Partial solar eclipse..... inakuaje Mwezi na udogo wake huo ufanye complete blocking of sunlight?
 
Sasa hapa eclipses inatokeaje?👇👇

View attachment 2866819
Kwenye hiyo Model ambayo inatumiwa na Flat earthers,...
1. kuelezea Solar eclipse inawezekana
2. Kuelezea Lunar eclipse,..inakua ngumu kidogo..... kwenye hiyo Model, labda tuchukulie kwamba kuna celestial body nyingine ambayo inahusikia kwenye lunar eclipse.

Mtazamo wangu ni kwamba,... Model ya Tufe na Model ya Flat earthers zote zina changamoto,.. Kwasababu hata description kutoka kwenye model ya Tufe, Inasemekana kwamba Jua ni kubwa mno, kiasi ambacho tukisema Dunia inaweza ku block mwanga wa Jua usifike kwenye mwezi., Inakua ngumu kuamini.

Labda niulize Kwa upande wako Mkuu,. inawezeka vipi Dunia Kuzuia mwanga wa Jua usifike kwenye mwezi? As Dunia kwa Jua ni a very tiny object kama inavyoelezewa kwenye nadharia.
 
Sawa ngoja nifanye kama nataka nkuelewe wewe kuwa dunia ni flat,

Ila nataka nkuulize maswali uyajibu kwa ufasaha bila chenga chenga, Upo tayari ?
Yap nipo tayari,.... Endapo yatakua ndani ya uwezo wangu.
 
2. Kwenye solar eclipse, theories zinasema kwamba Mwezi una block mwanga wa Jua Kwa inavyoonekana kutoka duniani(as observed from the earth) ndiyo tunapata Solar eclipse....
•Swali la Kujiuliza, Theory zinasema kwamba Mwezi ni mdogo sana kuliko Jua, tena ni mdogo sana Kwa Dunia,...Sasa inakuaje Mwezi unaweza Ku block completely Mwanga wa Jua?
Kumbuka kuna full solar eclipse na Partial solar eclipse..... inakuaje Mwezi na udogo wake huo ufanye complete blocking of sunlight?
Nijibu hoja yako ya pili, mwezi uko karibu sana na dunia , na jua lilo mbali na vyote mwezi na dunia ndo maana mwezi unaweza block jua kutokea duniani.

Hata wewe hapo ulipo unaweza jaribu kwa kitu chochote ku block.
 
Back
Top Bottom