Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Angalia Kwa umakini huu mchoro hapa chini👇👇



Note: mchoro upo katika top view:

Sasa twende taraibu,
Hapo kwenye mchoro Kuna Jua(kama nilivyoonesha) na Kuna Dunia.
Ukitazama Kwa umakini utaona Kuna mizunguko miwili, 1) ni revolution( ambayo kwenye mchoro nimeandika rotation kimakosa) yaani Dunia kuzunguka Dunia Kwa siku 365 na 2) rotation ambayo ni spinning Dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.
Zingatia zaidi kwenye Dunia, Kuna points nimeziweka ambazo ni A,B,C,D na O. Zaidi zingatia point O as Dunia ina-spin kupata usiku na mchana almost point hiyo point O Bado utapata mwanga japo ni partial, sijui unapata picha ya Dunia nilivyoichora hapo? Nimekwambia hiyo ni top view ya Dunia tufe. Zaidi angalia hapa 👇👇



Najua utapata maswali kwanini kusiwe na midnight sun the whole year maeneo hayo? Majibu ya hiyo kasome zaidi na earth tilting.


Sijui umeipata concept yangu?
Sasa, naimani utakuwa umepata mwanga kidogo lakini kasome zaidi naimani utaelewa tu. Naomba naww ulete maelezo ya Alaska kwenye Dunia tambarare.
 
Point yako ya 3, tayari umeshakubalia na Mimi kuwa Kuna nguvu ambayo ina-oppose hiyo nguvu uliyotumia kurusha kitu juu, Kwa maana umesema kitu kinarudi chini Kwa sababu nguvu uliyotumia kurusha kitu ni ndogo😄, Sasa unaweza vipi kusema nguvu hiyo ni ndogo bila kuwa na reference ya nguvu nyingine? Yaani siwezi nikasema wewe ni mdogo ikiwa hapa Dunia hapajawahi kuwa na mtu mwingne zaidi yako tangu Dunia iumbwe, it means mpk unasema nguvu ulitumia kurusha ni ndogo ndo maana kitu kinarudi chini Kwa maana nguvu uliyotumia haijazidi nguvu inayooppose nguvu hiyo.

Labda nawewe nikuulize, ukiwa juu ya mti umeshika jiwe ukaliachia bila kutumia force yoyote Ile kwanini litarudi chini? Kwanini lisikae hapo hapo hewani ikiwa hakuna nguvu inayovuta kwenda chini?

Swali lingine, Kwa mfano ukirusha kitu juu hata kama ni Kwa force kiasi Gani, kikifikia point ya mwisho kikianza kurudi kinarurudi na constant velocity regardless ya uzito wake?

Kitu kingine, japo kama huamini unaweza kujaribu, ni kwanini ukichukua vitu viwili vyenye uzito tofauti say, maybe 1kg na kingne 10kg, positioned at the same height from the ground say 50m above ukaviachia Kwa pamoja at the same time vita-hit the ground at the same time?

Maswali yangu yote hayo ni katika kukuonesha uwepo wa nguvu/ kani mvutano ambayo inaitwa gravity.
 
Na kingine sijajua kama utapata picha nayotaka uipate,
1. Kwanza nataka nijue unakubaliana na Dunia tambarare yenye mfumo wa Jua kama huu👇👇



Kama siyo utanipa mfumo wako wewe, na kama ndio Nina swali, kwanini hatu-observe Jua likiwa linachomoza mpaka linazama in curved manner ( yaani Jua lisipite katikati Bali lipite pembeni, sijui kama unanielewa?) Lakin hukatiza linakatiza katikati?
Jaribu kuangalia mchoro wangu kama unaweza ku-capture concept yangu👇👇



Lastly,
Kwa wale wanaosema utumie macho yako jinsi unavyoona je, Dunia ni duara au tambarare, seriously? Jaribu kuangalia hizi picha hapa chini alafu tafakari mwenyewe.


☝️☝️Hapo ukiangalia unaweza kuona curvature ya huo mpira, Kwa sababu ya umbali uliopigiwa picha.
Sasa angalia picha chini hapa


Hapa unaona nini? Nadhani kama ni muelewa utakuwa umeshapata picha.

Picha zaidi kuhusu curvature ya dunia👇



Unaweza kugoogle picha tofauti tofauti za hii transmission line ukaona zaidi.



Hiyo picha ya mwisho ni sunrise, ukitazama utaona mwanga wa Jua umemulika juu kabisa(top) ya maghorofa marefu kabila ya bottom. Tumia akili yako tu kutafakari.
 
Kwanini unaamini kwenye hii Dunia yetu Duara hicho kitu kishindikane?
 
Kwanini unaamini kwenye hii Dunia yetu Duara hicho kitu kishindikane?
 
Kwa maelezo hayo mpaka sasa ni wazi kuwa ameshaelewa kuwa Dunia ni Duara, Asipoelewa hapa itakua kuna tatizo sehemu.
Kama nilivyosema awali, Kuna wengine ni uelewa mdogo kuhusu elimu ya anga. Sasa kama hapo juu anakwambia eti Dunia unazunguka Jua Kwa siku 24.
 
Kwa maelezo hayo mpaka sasa ni wazi kuwa ameshaelewa kuwa Dunia ni Duara, Asipoelewa hapa itakua kuna tatizo sehemu.
Maelezo yapi? Dunia sio Tufe,... Mfano tu gravity haiwezi kushikilia maji yastick kwenye Tufe.....

Unaelezeaje kuhusu hilo?
 
Maelezo yapi? Dunia sio Tufe,... Mfano tu gravity haiwezi kushikilia maji yastick kwenye Tufe.....

Unaelezeaje kuhusu hilo?
Huna hoja, jibu hoja soma elewa panapotatiza uliza sio kukaza tu Dunia sio tufe Kwa fact Gani? Nimekupa maelezo mengi hata hujibu kipi hujaelewa, Kwaheri.
 
Mkuu, kumbuka macho ndiyo hufanya tuone kwamba Jua linachomoza na kuzama(Illusionary)....kumbe kiuhalisia haipo hivyo.
Kumbe ukweli mnaujua kuwa jua linazungukwa na dunia [emoji23][emoji23]
 
Huna hoja, jibu hoja soma elewa panapotatiza uliza sio kukaza tu Dunia sio tufe Kwa fact Gani? Nimekupa maelezo mengi hata hujibu kipi hujaelewa, Kwaheri.
Maelezo yako ni mengi sana,.. nikitulia nitayajibu na kwenye swali nitauliza,..ondoa shaka.
 
Mbona simple,... Ni illusion Kwasababu Meli haitoweki wala kupotea taratibu Bali macho yako ndiyo yamefikia ukomo wa kuona... Macho yangekua na uwezo wala usingeona Meli ikipotea,.tena ungekua na uwezo wa kuiona Meli mpaka inapofika destination yake.

Mkuu kuna vifaa vya kuona mbali kuliko upeo wa macho ya binadamu..... na vyote huonesha kama meli inatumbukia the same unavyoona kwa macho bila hizo darubini

Yaani kwa macho ukiiona meli imepotea na kubaki mnara wake tu ndivyo utakavyoona kwa darubini inayoona mara 1000 ya upeo wako wa kuona
 
kwamba Dunia inatumia saa 24 kukamilisha mzunguko wake mmoja(kulizunguka Jua)..

Haya maelezo ya nani?
Simply ni kwamba,..Kwa mujibu wa theorists wa Tufe,...Dunia inatumia saa24 kujizungusha( Mzunguko huo ambao unalielekea&kutolielekea Jua ndiyo unatupa approximately 12 hours za mchana na 12 hours za Usiku) sasa kipi Hujaelewa?...maana Mimi sikuzungumzia ishu ya dunia kujizungusha kwenye orbit yake wala sikuzungumzia hizo siku 365 za kulizunguka Jua,...

Hoja yangu ni kwamba situation ya Alaska inawezekana vipi kutokea, huku ikiwa wote tunaambiwa kwamba Dunia kwa siku inakadiriwa kuwa na mzunguko unaotupa saa 24, kwenye hizo saa24 tunapata saa12 za Mchana na saa 12 za Giza(usiku),...?

The Earth facing toward the sun gives us daylight, while the side facing away from the sun experiences darkness. Na hii inatokea constantly kila siku,.. umeelezea lakini hujasema exactly how Alaska kuna kipindi ina experience midnight sun, ukizingatia na huo mzunguko wa Dunia(au, tuseme kuna muda huo mzunguko unakua haupo constant tena? Kunakua na mabadiliko fulani?)
 
Yap, ni Kwasababu hata hivyo vifaa vina ukomo wake wa kuona pia.

Au hukubali kwamba na vifaa vina ukomo wa kuona?
 
Unajichanganya mkuu,...sasa mbona hapo kwenye video uliyoweka unaonyesha kwamba Dunia ipo fixed na Jua ndiyo linazunguka Dunia



Au hujaliona hilo? Experience now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…