Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
We ni mpumbavu kumbe

Hizo satellite zipo wapi Kama sio nje ya dunia ,, nje ya dunia mvutano Ni kidogo sana ndo Mana inahitajika ma rocket yenye fuel ya kutosha kutoka nje ya dunia ila ukishatoka unahitaji solar panel tu kutembea ..nguvu kidogo sana

Matusi hayatakiwi kwenye mijadala kama hii, satellite zipo ila hazipo kwa space kama unavyoambiwa na zimeshikiliwa na Balloons, mpaka ushahidi upo na nyingi zinaanguka zikiwa na maballons.
 
Unaamini hizo video ni kweli ndugu? [emoji23]

Umedanganywa kuhusu CoVid
Umedanganywa kuhusu evolution of man
Umedanganywa kuhusu moon landing

Bado unaawaamini hawa watu kuhusu globe??
 
Kwa akili zako kabisa unaona hiki ni sawa? Wake up.
 
Pole sana, Flatearthers wanazidi kuongezeka day after day. We under the Gods firmament
 
Wewe ukiwa ndani ya gari hauwi ndani ya atmosphere ya gari?

Em panda kwenye gari kubwa alafu ruka uone

Tafuta gari kubwa zile Scania ndefu zenye kichanja, ikiwa kwenye spidi kali wewe jaribu kuruka juu ukitua chini utaona umesogea mbele, huwezi baki palepale na hii nimeiprove mwenyewe hata wewe unaweza kufanya hili.
 
Hilo najua pia hausogei mbele unasogea nyuma maana gari linaenda linakuacha , swali je kwanini nzi haachwi na gari
 
Earth revolve and rotates on its own axis plus everything on it Yani na atmosphere yake

Kutoka nje ya dunia Ni zaidi ya 700km then mawingu ya mvua hayako hata 6km
 
Hilo najua pia hausogei mbele unasogea nyuma maana gari linaenda linakuacha , swali je kwanini nzi haachwi na gari

Hapo unakubali kwamba kama dunia inaspin niki hang kwenye balloon au helicopter bhasi point ya land haiwezi baki point ileile hivyo itaniletea point nyingine.

Unatakiwa pia ujiulize kama dunia ina spin vipi kuhusu ndege zinazokuwa angani??. Ndomana wakawaambia Dunia inazunguka na vitu vyote kwenye space, huu uongo ni grade A.

Dunia inazunguka jua kwa spidi ya 66,700 miles per hour, bado ina spin on its axis kwa speed ya 1000 mph, utaona “Earth is SPINNING SO fast that everything is MOTIONLESS” [emoji23][emoji23]

Amkeni asee, fanya utafiti wako kupata ukweli

Unaweza kujiuliza,

1. Maji yanawezaje kukaa kwenye mpira?
2. Compass inafanyaje kazi kwenye ball?
3. Ruti za ndege zote zinatumia flat earth map
4. Logo ya UN ina flat earth map
5. Jua liko distance ya 93million? Vipi kuhsu mwezi?
 
Unaamini hizo video ni kweli ndugu? [emoji23]

Umedanganywa kuhusu CoVid
Umedanganywa kuhusu evolution of man
Umedanganywa kuhusu moon landing

Bado unaawaamini hawa watu kuhusu globe??
Wale watu waliokuwa wanakufa Italy ilikuwa uongo right?
 
Wewe hali uliofikia unatakiwa uombewe kwanza
 
Huo ukuta ni mrefu kiasi gani na ndege inapita usawa gani
 
Hilo najua pia hausogei mbele unasogea nyuma maana gari linaenda linakuacha , swali je kwanini nzi haachwi na gari
Mkuu, mbona Una maswali ya kitoto Sana?

Eti kwanini Nzi haachwi na Gari...🙌🏼

Kwa maswali hayo sikushangai ukishikiwa akili na wenzako wa Dunia Tufe 🌍.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…