Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Sawa,... Kwa kuwa unaijua vizuri Physics tafadhali tuambie,....
1. Physics inasema nini kuhusu curvature of the earth,.. where is it then?

2. Unaweza kuthibitisha pasina shaka yoyote kwamba Dunia ina rotate,...
Kwanza niambie level yako ya Physics ni ipi bro?
Soma Heliocentric theories
Soma Relativity theories
 
Na sisi tuko ndani ya Dunia au nje ya Dunia? Ndege inakimbia speed ipi?, ukiwa ndani ya ndege ile movement unaifeel vzr kabisa na ukiangalia kwa kioo unaona mvt ya ndge mbona tofauti kwa Dunia inayozunguka kwa speed ya 66,700mph?
Yan umepinga na kujijibu...
Mwili ukishapanda kitu kilicho chenye mwendo hapo hapo huanza ku-adopt hiyo kasi ya mwendo na kuwa at rest...
Baada ya hapo hauwezi sense ile movement,,
Ili u-sense hiyo movement ni pale ukiangalia nje tu,au kuwe na external force yenye kuleta mtikisiko.
Sasa tupo upo on earth, ili uweze sense hiyo motion inabidi reference point yako uchukulie kwenye sayari au celestial bodies za nje, na ili uweze ona nje ndiyo utumie telescope at night mkuu
 
Maana ya NASA ni kupinga, na ndo waanzilishi wa the big bang theory hawa wako nyuma ya kila kitu hata hizo unazoona Apollo ni project zao za kuendelea kutudanganya na kuficha uumbaji wa Mungu.
Actually muanzilishi wa nadhalia hiyo ni Padre wa Kiroma...
Sasa kama hata haujui kazi za NASA,hapa si kupoteza mda tu.
 
Kwanza niambie level yako ya Physics ni ipi bro?
Soma Heliocentric theories
Soma Relativity theories
Nataka nikuokoe na ugonjwa wa kukariri theories,..Kwa bahati mbaya still unaamini kwenye theories ndiyo kuna absolute facts 100%.

NB: Theories are not merely a facts 100%., ukishafahamu hilo then you are good to go with a clear and unburdened mind.
 
Satellite zipo but sio kama mnavyoambiwa ziko wa orbit na internet zaidi ya 90% inatumia undersea cable. Ukishajua ukweli wa hii Dunia mambo mengine hata hayawezi kukupa shida,
Hebu nyie wana arts mbaki kwenye arts basi,,,
Sasa kwani haijulikani kama kuna under sea cables,,
hapo ni matter ya gharama na connectivity na security.
ambapo kadri siku zinavyoenda satellites zinazidi kuwa nyingi cables zaanza kupotezewa.
 
Nataka nikuokoe na ugonjwa wa kukariri theories,..Kwa bahati mbaya still unaamini kwenye theories ndiyo kuna absolute facts 100%.

NB: Theories are not merely a facts 100%., ukishafahamu hilo then you are good to go with a clear and unburdened mind.
Check ukibananishwa, unaona leta philosophy,
Nijibu kwanza level yako ya physics ni ipi ?
Mana mpaka sasa umesha pinga theories of motion by Newton,Ushapinga Theories of Relativity by Einstein na hata za nicolaus copernicus...
Tena hizo theories zinakuwa applied katika mashine za kila siku.


Kwanz mpaka zimepewa heshima ya kuwa theories ni proofed by 90%,Hiyo hubaki ili kuruhusu kama kuna atakayepinga aje na theories zake,aweke ushahidi wake na mahesabu yake.
So,far non of you guys have done,full kujikanyaga.
 
Umenibananisha na nini sasa?!,..na hizo nadharia au?

Most of theories can simply be debunked through logical questions.

Hivi unajua kwamba hata Einstein alikua hana uhakika kama Dunia ipo kwenye motion or not?!
 
Hebu nyie wana arts mbaki kwenye arts basi,,,
So,.wewe ni Mwanasayansi?

Kukariri nadharia hakukufanyi uwe Mwanasayansi,... atleast Mtu ambae anafanya his own observations akijiita Mwanasayansi tunaweza kumuelewa.

1. Hujawahi kuona/kuhisi kwamba Dunia ina move, unaamini Tu,. kisha unajiita Mwanasayansi?

2. Hujawahi kuona umbo la Dunia Tufe zaidi ya CGI, unaamini Tu,. kisha unajiita Mwanasayansi?

3. You know nothing about the curvature of the earth and it's whereabouts, unaamini Tu ipo...kisha unajiita Mwanasayansi?

_______
 

Kama wewe unajua physics unaona suala la maji kujikunja kwenye mpira inawezekana,?
 

Hakuna video kutoka angani inayoonesha Dunia ina spin. Wanatuonesha picha ambazo ni CGI photoshop. Kama unayo naomba nitumie na mimi niione.
 
Narudia tena....Nitajie level yako ya elimu ya physics kwanza, ili watu waone level ya evidence ya kukupa.

Nimekwambia kasome hizo theories, halafu ukimaliza uje uniambie kipengele kipi wamekosea au unaona hakipo sawa.
Zisome kwanza, siyo kupinga hata haujajua zinasemaje na proof zake ni zipi...

Kama kuna sehemu utakwama kwenye kuelewa uje ueleweshwe,,,

Ukimaliza zoezi la pili uje utuoneshe hizo picha za flat and infinity earth...
 
Narudia tena....Nitajie level yako ya elimu ya physics kwanza, ili watu waone level ya evidence ya kukupa.

Nimekwambia kasome hizo theories, halafu ukimaliza uje uniambie kipengele kipi wamekosea au unaona hakipo sawa.
Zisome kwanza, siyo kupinga hata haujajua zinasemaje na proof zake ni zipi...

Kama kuna sehemu utakwama kwenye kuelewa uje ueleweshwe,,,

Ukimaliza zoezi la pili uje utuoneshe hizo picha za flat and infinity earth...
 

Mbona hakuna video yoyote kama ushahidi inayoonesha dunia ina spin?
 
Hakuna video kutoka angani inayoonesha Dunia ina spin. Wanatuonesha picha ambazo ni CGI photoshop
Duh...hebu tupe picha za Flat earths basi.
Okay,tufanye dunia ni flat,Kwahiyo Marekani na Russia hazijapakana...check ramani kwanza halafu uelewa hili swali.
 
Duh...hebu tupe picha za Flat earths basi.
Okay,tufanye dunia ni flat,Kwahiyo Marekani na Russia hazijapakana...check ramani kwanza halafu uelewa hili swali.

Logo za UN ni jibu tosha, Pilots wanatumia flat earth map. Sasa bado huamini nini?

Uzuri wa hawa watu always watakuonesha ukweli ila ndo hivyo akili zetu zisharuhusu kutawaliwa we cant judge au kufanya research.

Na huo weupe unaoona ni Ice walls wao wakakwambia Antartica[emoji23]
 
Hujajibu swali kuhusu Curvature ya Dunia, na hapa na mimi nasubiri majibu yako.
Hilo swali ni lipi ....
Soma hizo theories utapata maelezo na mahesabu ya curvature ya dunia, kama kuna sehemu ina utata, uje useme....

Nawe kama kuna scientific theories za kusema earth ni flat, ziseme mkuu, mi nitazipitia na mahesabu yake....
Nikiona Kuna vipengele havipo sawa, nakurejea.
 
Hujajibu swali kuhusu Curvature ya Dunia, na hapa na mimi nasubiri majibu yako.
Nimemuuliza juu ya level ya elimu ya physics, kwasababu kapinga hadi laws za Newton za motion...ambazo ndizo hutumika kusaidia kutenengeneza vyombo vya usafiri.
 
Bro,hiyo ni azimuthal equidistant projection ni mojawapo ya projection ya dunia(tufe) kwenye flat surface,
Kuna projections zaidi ya
ishirini za dunia kwenye flat surface...
Projection maarufu ni ya mercator....
Na ndiyo inayotumika na pilots and captains kusafiria...
Hakuna projection iliyokamili coz ni impossible ku-represent umbo tufe kwenye flat surface, ndiyo kuna ramani utaona Greenland kubwa inakaribia Afrika lakini haipo hivyo...
Check video about earth map projections mkuu,,,
Plz,check video zake kwanza.

Leta out of space flat earth pictures mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…