Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Yes,, hayawezi kukaa kwenye round-ball [emoji288]....

Kwasababu maji yanahitaji kuwa contained...sasa kwenye round-ball yanakua contained vipi?
Hili neno "Ball" limenata sana kwenye ubongo wako.

Dunia sio ball
 
Kwenye dunia maji yapo contained na Ocean Basin na yanakufanyiwa Holding na Gravitational force.

Una swali
Yes swali lipo.,.. kama Dunia ni Tufe na maji yapo contained kwenye Ocean basin as you've said,....ni kitu gani kinafanya maji ya bahari yaonekane yapo level although Dunia ni Tufe?
 
So ikiwa hivyo ni ball ?
Ndiyo ni ball 100%
Screenshot_20240218-232056.png
....
 
Ooh vizuri,..so Dunia haipo hivi [emoji1371][emoji288]?
Na jambo linalonishangaza kuhusu ninyi,, Kuna mambo mnaona hayawezekani na mnayashangaa.

lakini kwenye nadharia yenu hiyo hiyo kwa ufikiri wenu huo mkiutumia kuna mambo ingepasa mseme hayawezekani pia ( Maana kwa upande wenu mambo ambayo yapo nje ya uwezo wenu wa kufikiri mnaita hayawezekani )

Mfano ni huu; Mnasema jua ndio inazunguka Dunia..Nguvu inayoendesha jua kuzunguka kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri huoni kama ilipasa mshangae na hilo pia ?
 
Sema hili swali umenichekesha Mzee [emoji1787][emoji1373]..... kwamba unauliza kama hili NI ball au la [emoji1371][emoji288]
Mdau hapo juu aliuliza level yako ya elimu kuhusu physics,
Mimi naongeza swali; level yako ya elimu kuhusu geography ni ipi mkuu ?

Tangu lini Dunia ni mpira ?
 
Na jambo linalonishangaza kuhusu ninyi,, Kuna mambo mnaona hayawezekani na mnayashangaa.

lakini kwenye nadharia yenu hiyo hiyo kwa ufikiri wenu huo mkiutumia kuna mambo ingepasa mseme hayawezekani pia ( Maana kwa upande wenu mambo ambayo yapo nje ya uwezo wenu wa kufikiri mnaita hayawezekani )

Mfano ni huu; Mnasema jua ndio inazunguka Dunia..Nguvu inayoendesha jua kuzunguka kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri huoni kama ilipasa mshangae na hilo pia ?
Hata hii nguvu inayofanya Dunia iwe stationary tunaishangaa pia,...kama tunavyoshangaa Kwa nguvu ambayo inalifanya Jua,Mwezi na kadhalika viwe kwenye motion.

The universe works in a mysterious way!
 
Yes swali lipo.,.. kama Dunia ni Tufe na maji yapo contained kwenye Ocean basin as you've said,....ni kitu gani kinafanya maji ya bahari yaonekane yapo level although Dunia ni Tufe?
Level ukimaanisha yapo sawa bila kukosana kimo au level ukimaanisha yapo total flat kwamba hakuna circle
 
Hata hii nguvu inayofanya Dunia iwe stationary tunaishangaa pia,...kama tunavyoshangaa Kwa nguvu ambayo inalifanya Jua,Mwezi na kadhalika viwe kwenye motion.

The universe works in a mysterious way!
Hahaha unajifunga sana.
 
Mdau hapo juu aliuliza level yako ya elimu kuhusu physics,
Mimi naongeza swali; level yako ya elimu kuhusu geography ni ipi mkuu ?

Tangu lini Dunia ni mpira ?
Sawa nakubali mimi ni Chekechea wa elimu zote naomba nikuulize wewe PhD Holder....... Is not this ball-shaped👉🏼🌍?

Jibu Tu,..Kwa Yes or No,.. maelezo 🚫
 
Sawa nakubali mimi ni Chekechea wa elimu zote naomba nikuulize wewe PhD Holder....... Is not this ball-shaped[emoji1371][emoji288]?

Jibu Tu,..Kwa Yes or No,.. maelezo [emoji724]
Answer: The Earth is Round
 
Level ukimaanisha yapo sawa bila kukosana kimo au level ukimaanisha yapo total flat kwamba hakuna circle
Yes,.. namaanisha kwanini hakuna point of sight ambayo maji yanaonyesha kwenda down through the curve of the earth,..ili kufuata umbo Tufe la Dunia?
 
Umekaa wapi na ukayaangalia uelekeo gani kuthibitisha hiki??

Unamaanisha ukikaa feli unaiona Pemba
 
Hata hii nguvu inayofanya Dunia iwe stationary tunaishangaa pia,...kama tunavyoshangaa Kwa nguvu ambayo inalifanya Jua,Mwezi na kadhalika viwe kwenye motion.

The universe works in a mysterious way!
Absolutely true, The universe works in a mysterious way, Just see the Earth is round and gravitational works to hold everything into it
 
Back
Top Bottom