Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Hili neno "Ball" limenata sana kwenye ubongo wako.Yes,, hayawezi kukaa kwenye round-ball [emoji288]....
Kwasababu maji yanahitaji kuwa contained...sasa kwenye round-ball yanakua contained vipi?
Dunia sio ball