Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Umekaa wapi na ukayaangalia uelekeo gani kuthibitisha hiki??
Nadhani wewe unaeamini kuna point of sight ambayo maji yanaonyesha Ku bend down the earth's curvature ungetuambia if there's something like that and can simply be observed.

Kwasababu Kwa upande wangu sijawahi kushuhudia maji ya bahari yakifanya hivyo na ndiyo maana nasema haipo,..vipi kuhusu wewe?
 
Point yangu ilikua kukubadilisha mtazamo wako wewe,

The way unavyoichukulia Dunia tena kwa ukubwa wake kucompare na mpira sio sawa.
Sasa mkuu mbona Mimi mtazamo wangu sio Dunia Tufe 👉🏼 🌍....huu ni mtazamo wako wewe tokea mwanzo, labda ujaribu kubadilisha mtazamo wako.

Tukirudi kwenye posts zilizopita kuna sehemu unasema kabisa kwamba Dunia ni Tufe.
 
Hakuna point hapa mkuu ya kunishawishi, kumbuka maji hayapandi mlima, kwahiyo hapo umekiri maji yanatitirika kutoka sehem ya juu kwenda ya chini. So kwa hii point unataka kusema Tanzania iko kwenye mwinuko na Egypt iko bondeni
Ziko sehemu maji yanapanda mrima, ili nalo tumedanywa?
 
Nadhani wewe unaeamini kuna point of sight ambayo maji yanaonyesha Ku bend down the earth's curvature ungetuambia if there's something like that and can simply be observed.
Na hapo ndipo nilitaka ujipeleke mwenyewe na sis kukupeleka mimi, ukweli sikuzote haulazimishwi una ji releasing.

Simply l, hio cave ndio cave ya duara la dunia means ukitoka pont of sight ukaenda kwenye point unayoona cave utaona cave tena mbele ukienda tena utaona tena mpaka utarudi palepale point yako A kukamilisha mzunguuko mzina cave kama hizo utaziona zaidi ya million to assume.

Kutokana na Ukubwa wa dunia Cave yake uta experience kwa macho tu point A to B ila ukichukua mpira wa gozi size ndogo utapogusa na kidore cave ipo kila sehemu.

Suala ni Mindset yako na psychology imezoea small round inapokuja ukubwa wa round ya Dunia mindset inakataa.
Kwasababu Kwa upande wangu sijawahi kushuhudia maji ya bahari yakifanya hivyo na ndiyo maana nasema haipo,..vipi kuhusu wewe?
Ujawahi kushuhufia maji yakifanyaje kilasiku naona bahari Job ipo hivyo
 
So,.wewe ni kama Mimi hujawahi kushuhudia Maji yaki bend down to the earth's curve? Yes/No?

Maana ni maelezo tu hayo,.au imekaaje..
 
So,.wewe ni kama Mimi hujawahi kushuhudia Maji yaki bend down to the earth's curve? Yes/No?

Maana ni maelezo tu hayo,.au imekaaje..
Sijakuelewa sijawahibshuhudia nawakati mimi nipo feli hapa kilasiku mpaka navyoandika hapa nisishuhudie kiaje.
 
Sijakuelewa sijawahibshuhudia nawakati mimi nipo feli hapa kilasiku mpaka navyoandika hapa nisishuhudie kiaje.
Vizuri..,Tubariki japo picha/video basi ili tuondoe utata kumbe mambo ni rahisi kabisa.🤝🏼

At last this debate comes to an end..
 
Vizuri..,Tubariki japo picha/video basi ili tuondoe utata kumbe mambo ni rahisi kabisa.🤝🏼

At last this debate comes to an end..
Camera yangu haipo vizuri hata jana nilishindwa kupiga satellite za starlink
 
Camera yangu haipo vizuri hata jana nilishindwa kupiga satellite za starlink
Sawa,.. ukipata camera nzuri fanya hivyo mkuu hata ikiwezekana unaweza ukamuazima mtu ili tupate Video/Picha inayoonyesha bending of the water towards the earth's curvature,.....itakua safi sana.
 
gravity inashikilia maji zaidi ya tani trillion 10 nilitegemea ndege wa usito wa gram 500 aziweze kuruka anganii
 
Sasa wewe unawezaje kuamini dunia ina spin na maji yanastick kwenye ball? Hata pysics tu inakataa[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…