Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Sasa si maji yamekaa kwenye Ocean basin yanashikiliwa na Gravity
Gravity ni hoax, nilishaandika kuhsu gravity nitarudia tena kwa faida yako.

Kwanza kabisa nataka nikwambie kuwa GRAVITY HAIPO! na haijawahi kuwepo hapa duniani toka kuumbwa Kwa hii dunia. TUNAPANGWA SANA! Yes najua inasound crazy! Twende taratibu 👇


GRAVITY sio force halisi, ni kitu cha kufikirika tulichoingiziwa kwenye akili zetu tu! Concept ya Gravity ililetwa ili kujustify uongo wa BIG BANG THEORY, kuwa Dunia ni a spinning ball inayosafiri na madude mengine mengi kwenye space bila vitu vyote hivi kuanguka!

Na bila huu uongo wa GRAVITY tungehoji kwanini Dunia inasafiri kwenye space Kwa speed ya 66000 miles per hour na bado hatuanguki? Wangekosa jibu! Tungehoji kwanini maji yanajikunja kwenye lile limpira? Wangekosa jibu! Tungehoji kwanini maji yanahitaji container na siku zote yanatafuta level yake huo ndio uhalisia kitu ambacho kwenye lile li sphere la Globe hakiezekani? Wangekosa jibu! Mwisho wa siku BIG BANG ingekua fake! So wakaamua wainstall theory inaitwa GRAVITY kwenye akili zetu na wakafanikiwa.

Ukweli ni kwamba GRAVITY ni illusion iliojadiliwa na kupangwa tu na akachaguliwa mtu mmoja kujifanya ndio mgunduzi then akapresent GRAVITY, CALCULUS NA TRIGONOMETRY. Masonic master alietumiwa kuigiza kama mtu wa kwanza kugundua theory ya gravity (NEWTON) hata yeye hakuwahi kuweza kuelezea vizuri theory yake wala kuiprove na haijawahi kuwa proved wala haitawahi maana hakuna hicho kitu.

Gravity kwenye MATH MODEL haiapply kabisa na imeumbuliwa mara nyingi tu na kuonekana ni ya UONGO na watu wenye akili na hekima

Hata general theory ya relativity by Einstein, ilipojaribiwa kutumika kupresent GRAVITY FORMULA geometrically, iligeuka kuwa 4 dimension space time. Inaonesha vitu haviendeshwi na force ya GRAVITY, ila ni sababu viko hewani kwenye curved region around space time inayofanya viwe kama an illusion ya attraction force! (Ona hata wao tu wanapingana)

Tangu watoto tunafundishwa kuhusu GRAVITY, hiyo ni moja ya installations ya system ya MATRIX kwenye ubongo wa mtoto wakijua anachoshika mtoto mara ya kwanza ndio ataishi nacho, hiyo system anakua nayo mpaka anakua mzee na ni ngumu sana kuiuninstall kuingiza kitu kingine ambacho ndio TRUTH!

Hakuna Gravity means hakuna BIG BANG, Kuna FLAT ROUND SURFACED EARTH WITH A DOME na vitu vinavyosaidia Kila kitu kina operate ni vitatu tu; DENSITY, BUOYANCY NA ELECTROSTATIC! Na hivi vyote vitatu vimekua proved a million times unlikely GRAVITY!

The thing is, Kama kitu ni kizito kuliko hewa lazima kitadondoka chini (DENSITY), na kama kitu ni chepesi kuliko hewa lazima kitaelea (BUOYANCY).

Lakini pia kitu chenye negative charges na kitu chenye positive charges lazima vinavutana kukutana pamoja Right? Ok Ground ya Dunia ina Neutral negative charges all around na kitu chochote above the ground kina positive charges na inaatract each Kila kitu kinachotuzuguka ni electric hata mwili wa binadamu. So Kila kitu kina seak equilibrium kwenye ground level based to the ELECTROSTATIC.

Sasa hivi vyote: Density, Buoyancy na Electrostatic! Nenda katafute hata kwenye page za hao hao watu unaowaamini vimekua proved scientifically, practically na theoretically mara mamilioni. Lakini Cha kushangaza hakuna sehemu nimewahi ona GRAVITY imekuaje proved tofauti na theoretically kwenye makaratasi tu! SHTUKA!

Wanafahamu na wanajua ila wameficha ukweli. Kukuingizia mitazamo ya kukuweka mbali na MUNGU wa kweli MUUMBAJI wako subconsciously!

HAKUNA GRAVITY, HAKUNA BIG BANG, DUNIA NI FLAT, HAITEMBEI IKO STATIC TUKO NDANI YA GOD'S FIRMAMENT!
 
Haya umefanya research wapi, ulitumia chombo gani na bajeti yako kihasi gani na tuoneshe pepa zako
 
Haya umefanya research wapi, ulitumia chombo gani na bajeti yako kihasi gani na tuoneshe pepa zako
Mkuu unashindwa kurusha jiwe hapo nje? Hio ni density au gravity?

Rusha balloon hewani, litaelea sababu jepesi kuliko hewa.

Weka maji kwenye glass, ndoo, pool nknk utaona yanafata level.

Kuna vitu kwa akili yako unaweza kuprove vzr kabisa na ndo uhalisia.

Labda nirudi kwko nioneshe ni wapi gravity imekuwa proved. Na vipi maji yakakaa kwenye ball?
 
Hii inamaanisha maelezo yote haya unayoandika kwa kupinga watu wenye bajeti za pesa, vyombo na those scientific and technological stuffs ambazo mpaka leo tunazitumia hapa....kumbe wewe just a randomly guy anayetumia made na glass za kunywea chai kufanya so called tafiti zako na kupinga hawa watu.

Be serious unavyopinga Scientific Stuffs jitahidi uweke bajeti ya kutosha kuja na Scientific data zako sisi sio watoto kujadiri hisia hisia hapa.
 
Kwahiyo unakubaliana na hizo scientific staffs sababu ya bajeti? So unakubali kudanganywa sababu ya bajeti? Aisee unaonesha jinsi ulivyo mjinga??

So unakubali ujinga unaolishwa sababu ya bajeti? 🚮🚮

How about Einstein alivyoipinga gravity mbona huongelei hili?
 
Wernher von Braun alikuwa ni moja ya Director na mtu muhimu sana NASA hasa kwenye mambo ya space exploration.

Huyu mwamba alikufa mwaka 1977 lakini cha ajabu kwenye kaburi lake alisema waandike PSALM 19:1

19 The heavens declare the glory of God; and the firmament sheweth his handywork.

2 Day unto day uttereth speech, and night unto night sheweth knowledge.

3 There is no speech nor language, where their voice is not heard.

4 Their line is gone out through all the earth, and their words to the end of the world. In them hath he set a tabernacle for the sun,

5 Which is as a bridegroom coming out of his chamber, and rejoiceth as a strong man to run a race.

6 His going forth is from the end of the heaven, and his circuit unto the ends of it: and there is nothing hid from the heat thereof.

They know the truth about this world lakini wanawaficha na sisi akili zetu zinawaza tiktoc, insta nknk hatuna hata muda wa kufikiria mambo.

The truth will set you free
 
Sawa nakubali mimi ni Chekechea wa elimu zote naomba nikuulize wewe PhD Holder....... Is not this ball-shaped👉🏼🌍?

Jibu Tu,..Kwa Yes or No,.. maelezo 🚫
Bro,Unakumbuka form 4 kulikuwa na topic ya hesabu inaitwa circle and sphere?
Earth ina shape ya an ellipsoid or spheriod ,yan an imperfect sphere.
Chukua hiyo globe na upime circumference yake kutoka North point kwenda South kurudi tena North halafu pima circumference kutoka 0⁰Latitude ya Ikweta zunguka mstari huo kwenda Longitude ya 180⁰East kisha urudi pale kwenye 0⁰latiude, utaona jinsi vipimo havifanani.


Ila ukipima Circumference ya mpira kutoka point yoyote ile, jibu litakuja moja.

Ndiyo mana mjamaa anakwambia dunia siyo mpira (perfect sphere) ila ni Globe (spheriod/imperfect sphere)...
 
Sawa., kitu kizuri ni kwamba sio Mimi ninaedai Dunia ni ball-shaped kama hivi 👉🏼🌍.....

Walio propose na Ku indoctrinate hii idea ya ball-shaped Earth kwenye vichwa vya watu nadhani unawafahamu....

Na kwenye taasisi mbalimbali za elimu utakuta Sanamu yenye umbo la Dunia ambalo ukilitizama ni ball-shaped 100%....Labda useme imekuaje picha za round-ball zimekaa vichwani mwa watu wakati Dunia haina umbo hilo?

NB:- Hujawahi kukutana na kitu hiki kwenye taasisi yoyote ya elimu,. Tazama kisha sema is this not a perfect sphere?👇🏼
 
Najiuliza tena mkuu,,elimu yako ya physics mwisho wapi...?

Einstein hajawahi kupinga gravity mkuu,
Sema ipo hivi (Soma kwa umakini)
Kitu/Kadri kinavyozidi kupungua size, ndivyo ambavyo nguvu ya gravity kwenye hiko kitu inavyopungua,
Nadhani unajua juu ya Molecules na Atom, hizo ni element ndogo zinazounda maada katika udongo wa vile vitu, Gravity haifanyi kazi kwasababu havina uzito (Kumbuka F=GMa).
Sasa kama katika sub-atomic level gravity haifanyi kazi basi hata sheria nyingine nyingi za physics hazifanyi kazi. Na ndipo akaja na Theories za Relativity na ukawa mwanzo wa Quantum Physics.
 
Mkuu hiyo siyo ball shaped ila spheriod...
Unaona hapo kwenye Tanzania, chukua tape pima kuzunguka kwenda Japan mpaka utokee tena Tanzania kisha andika jibu pembeni,Kisha hapo hapo pima kwenda Antartica zunguka mpaka ufike arctic kisha urudi tena tanzania weka jibu pembeni....

Majibu yako lazima yatofautiana

Ila mpira hata upike kwenda wapi majibu yatafanana.
 
Theories za Flat Earth angalau mbili,,ambazo zimefanyiwa tafiti watu wazipitie tuone na hesabu zake.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…