Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Wala hakuna sehemu nmesema ni real.Hii ni CGI iangalie vizuri
Nmemtumia hiyo kuna point nataka tuelewane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hakuna sehemu nmesema ni real.Hii ni CGI iangalie vizuri
Kuyazuia kumwagika kivipi, inachozuia maji ya bahari kumwagika ni Ocean Floor au Basin ukiiondo ghafra yatamwagika kwenda chini.Elezea how gravitational.Force iweze kuyazuia maji ya Bahari yasimwagike..
Ukigeuza ndoo iliyokuwa na maji lazima yamwagike kwasababu utakuwa umeondoa kizuizi chini ya maji ambapo ipo Gravity, so Gravity itayavuta ndio utapata kitu kinaitwa kumwgaika.Ila ishindwe kuzuia Maji kwenye Basin yasiondoke au maji kwenye Ndoo ninapoigeuza yasimwagike..
Kwenye post zilizopita nilikuambia hiyo ni CGI ukabisha... hopefully umesahau.Wala hakuna sehemu nmesema ni real.
Nmemtumia hiyo kuna point nataka tuelewane.
Mimi nlibisha ? Hamna kitu nachoweka bila kujua nachokiweka hapa,Kwenye post zilizopita nilikuambia hiyo ni CGI ukabisha... hopefully umesahau.
Hivi ndivyo Dunia ilivyo kwa nadharia yenu ?Kwenye post zilizopita nilikuambia hiyo ni CGI ukabisha... hopefully umesahau.
Kwa bahati mbaya sikumbuki ni post # ngapi,... sio kesi kitu cha msingi ni kwamba unafahamu kama hiyo ni CGI,.. That's good 💯🤝🏼Mimi nlibisha ? Hamna kitu nachoweka bila kujua nachokiweka hapa,
Acha kubumba mambo, Kama kuna sehemu nlibisha ebu niquote nione hapa.
Ipo wazi kuwa hii sio real video,Kwa bahati mbaya sikumbuki ni post # ngapi,... sio kesi kitu cha msingi ni kwamba unafahamu kama hiyo ni CGI,.. That's good [emoji817][emoji1755]
Hiyo ni picha Tu,..hata wewe unaweza ukakaa na Laptop yako uka edit,...so it's not necessary kwamba Dunia ipo hivyo & that doesn't mean kwamba Dunia ni Tufe.,..Tupo pamoja?Hivi ndivyo Dunia ilivyo kwa nadharia yenu ? View attachment 2919175
Video ambayo ni real hii hapa.Kwa bahati mbaya sikumbuki ni post # ngapi,... sio kesi kitu cha msingi ni kwamba unafahamu kama hiyo ni CGI,.. That's good [emoji817][emoji1755]
So ipoje ? Kwa nadharia yako na unavyotafsiri ? Unaweza hata ukatuchoreaHiyo ni picha Tu,..hata wewe unaweza ukakaa na Laptop yako uka edit,...so it's not necessary kwamba Dunia ipo hivyo & that doesn't mean kwamba Dunia ni Tufe.,..Tupo pamoja?
Daah,.sasa hii video ina tofauti gani na uliyotoka kusema ni CGI?Video ambayo ni real hii hapa.
Na kwenye hii clip focus kuangalia surface ya Dunia, usifocus na umbo utapata jibu la masali yenu kuwa why maji ( hayamwagiki ) View attachment 2919177
Dunia ipo flat kama vile unavyoiona...sio lazima uone picha ndiyo ujue kama dunia ni flat.So ipoje ? Kwa nadharia yako na unavyotafsiri ? Unaweza hata ukatuchorea
Maana tangu uanze kuzungumza kuhusu nadharia yako hakuna mfano wa picha yoyote uliyoweka hapa kumaanisha hujui hata unachokitetea
Real video mkuu, sio CGIDaah,.sasa hii video ina tofauti gani na uliyotoka kusema ni CGI?
Hiyo video pia sio real &it's the same video...
Kwanini ukikaa na both katikati ya Antlantic Ocean huioni Africa wala America is it flat inabidi nione pande zote kwa macho??Dunia ipo flat kama vile unavyoiona...sio lazima uone picha ndiyo ujue kama dunia ni flat.
Napinga idea ya Tufe linalozunguka 🌍... Kwasababu mpaka sasa hakuna ushahidi wowote usio na shaka kuthibitisha kama ni Dunia ni Tufe.... observation ya macho inaonyesha Dunia ni flat,.apart from observation ya macho currently hakuna uthibitisho mwingine ambao unaenda against kile ambacho macho yanaona.
NB:- ukiachana na macho +plus technology tuliyonayo.,hata logic pia inakataa idea ya Dunia Tufe.
Hapa huwa nawaona nyinyi ni wababaishaji fulani ambao hamuelewi hata mnachokiteteaDunia ipo flat kama vile unavyoiona...sio lazima uone picha ndiyo ujue kama dunia ni flat.
Napinga idea ya Tufe linalozunguka [emoji288]... Kwasababu mpaka sasa hakuna ushahidi wowote usio na shaka kuthibitisha kama ni Dunia ni Tufe.... observation ya macho inaonyesha Dunia ni flat,.apart from observation ya macho currently hakuna uthibitisho mwingine ambao unaenda against kile ambacho macho yanaona.
NB:- ukiachana na macho +plus technology tuliyonayo.,hata logic pia inakataa idea ya Dunia Tufe.
Vizuri,...nitajibu Kwa kuuliza swali ili tuendelee...Kwanini ukikaa na both katikati ya Antlantic Ocean huioni Africa wala America is it flat inabidi nione pande zote kwa macho??
Kwanini Jua silicone 24 hours kama flat??
Video hiyo hiyo moja ulisema ni CGI,.then sasa hivi unasema ni Real.Real video mkuu, sio CGI
Naamini kupitia Shule hii tunayokupatia kupitia Jamii Forum,...basi nati za ignorance kwenye ubongo wako zishaanza kulegea.Hapa huwa nawaona nyinyi ni wababaishaji fulani ambao hamuelewi hata mnachokitetea
Duh! Kwahiyo hii na ile nliyotuma mwanzo ni video moja ?Video hiyo hiyo moja ulisema ni CGI,.then sasa hivi unasema ni Real.
So,.tushike lipi hapo
Upeo wangu wa kufikiri nmeruhusu kufikiri mambo kwa ukubwa, si sawa na wa kwako,Naamini kupitia Shule hii tunayokupatia kupitia Jamii Forum,...basi nati za ignorance kwenye ubongo wako zishaanza kulegea.
Naaamini ushaanza Kujiuliza maswali yanayo contradict Imani yako ya dunia Tufe linalozunguka na gravity inayoshikilia maji kwenye Tufe.