Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Kwanza inabidi ujue
1)nini maana ya kumwagika kwa maji
2)nini kina influence
3)Maji yawekwe vipi hili ya mwagike

Nakuelezea sehemu zote tatu

1)Kumwagika kwa maji ni maji kuvutwa na Gravitational Force, hutokea endapo maji yatakuwa kwenye Mid Air hakuna kitu kimezuia hayo maji upande iliyopo gravity.

2)Gravity ndio ina influence maji kumwagika yaani Gravity inayavuta maji ndio unaona mmwagiko

3)Hili maji yamwagike unahitaji kuondoa kizuizi upande wa maji iliyopo Gravity (tunaita chini) Mfano maji kwenye kikombe ukakata kikombe chini, ukakigruza.

Twende kwenye maswali yako sasa.
Elezea how gravitational.Force iweze kuyazuia maji ya Bahari yasimwagike..
Kuyazuia kumwagika kivipi, inachozuia maji ya bahari kumwagika ni Ocean Floor au Basin ukiiondo ghafra yatamwagika kwenda chini.

Hapa najua umemaanisha kumwagika kuelekea nje ya dunia, hii sio maana ya kumwagika na haiwezekani maji humwagika kuelekea agsidt Gravity (yaani kumwagika kwa maji ni maji kuvutwa na gravity) kama nili define juu, sasa maji yamwagike kuelelea Space YANAVUTWA NA NINI KUELEKEA HUKO???
Ila ishindwe kuzuia Maji kwenye Basin yasiondoke au maji kwenye Ndoo ninapoigeuza yasimwagike..
Ukigeuza ndoo iliyokuwa na maji lazima yamwagike kwasababu utakuwa umeondoa kizuizi chini ya maji ambapo ipo Gravity, so Gravity itayavuta ndio utapata kitu kinaitwa kumwgaika.

Simply Equation

H²O Droping = H²O toward Gravity Pull
 
Kwenye post zilizopita nilikuambia hiyo ni CGI ukabisha... hopefully umesahau.
Mimi nlibisha ? Hamna kitu nachoweka bila kujua nachokiweka hapa,

Acha kubumba mambo, Kama kuna sehemu nlibisha ebu niquote nione hapa.
 
Mimi nlibisha ? Hamna kitu nachoweka bila kujua nachokiweka hapa,

Acha kubumba mambo, Kama kuna sehemu nlibisha ebu niquote nione hapa.
Kwa bahati mbaya sikumbuki ni post # ngapi,... sio kesi kitu cha msingi ni kwamba unafahamu kama hiyo ni CGI,.. That's good 💯🤝🏼
 
Kwa bahati mbaya sikumbuki ni post # ngapi,... sio kesi kitu cha msingi ni kwamba unafahamu kama hiyo ni CGI,.. That's good [emoji817][emoji1755]
Video ambayo ni real hii hapa.


Na kwenye hii clip focus kuangalia surface ya Dunia, usifocus na umbo utapata jibu la maswali yenu kuwa why maji ( hayamwagiki )
Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo ni picha Tu,..hata wewe unaweza ukakaa na Laptop yako uka edit,...so it's not necessary kwamba Dunia ipo hivyo & that doesn't mean kwamba Dunia ni Tufe.,..Tupo pamoja?
So ipoje ? Kwa nadharia yako na unavyotafsiri ? Unaweza hata ukatuchorea

Maana tangu uanze kuzungumza kuhusu nadharia yako hakuna mfano wa picha yoyote uliyoweka hapa kumaanisha hujui hata unachokitetea
 
So ipoje ? Kwa nadharia yako na unavyotafsiri ? Unaweza hata ukatuchorea

Maana tangu uanze kuzungumza kuhusu nadharia yako hakuna mfano wa picha yoyote uliyoweka hapa kumaanisha hujui hata unachokitetea
Dunia ipo flat kama vile unavyoiona...sio lazima uone picha ndiyo ujue kama dunia ni flat.

Napinga idea ya Tufe linalozunguka 🌍... Kwasababu mpaka sasa hakuna ushahidi wowote usio na shaka kuthibitisha kama ni Dunia ni Tufe.... observation ya macho inaonyesha Dunia ni flat,.apart from observation ya macho currently hakuna uthibitisho mwingine ambao unaenda against kile ambacho macho yanaona.

NB:- ukiachana na macho +plus technology tuliyonayo.,hata logic pia inakataa idea ya Dunia Tufe.
 
Kwanini ukikaa na both katikati ya Antlantic Ocean huioni Africa wala America is it flat inabidi nione pande zote kwa macho??

Kwanini Jua silicone 24 hours kama flat??
 
Hapa huwa nawaona nyinyi ni wababaishaji fulani ambao hamuelewi hata mnachokitetea
 
Kwanini ukikaa na both katikati ya Antlantic Ocean huioni Africa wala America is it flat inabidi nione pande zote kwa macho??

Kwanini Jua silicone 24 hours kama flat??
Vizuri,...nitajibu Kwa kuuliza swali ili tuendelee...
Je,.una fahamu kama macho yana ukomo wa kuona kadri distance inavyoongezeka? under ceteris paribus...
 
Hapa huwa nawaona nyinyi ni wababaishaji fulani ambao hamuelewi hata mnachokitetea
Naamini kupitia Shule hii tunayokupatia kupitia Jamii Forum,...basi nati za ignorance kwenye ubongo wako zishaanza kulegea.

Naaamini ushaanza Kujiuliza maswali yanayo contradict Imani yako ya dunia Tufe linalozunguka na gravity inayoshikilia maji kwenye Tufe.
 
Upeo wangu wa kufikiri nmeruhusu kufikiri mambo kwa ukubwa, si sawa na wa kwako,


Futa kabisa kauli ya kwamba ntaanza kutafakari na kujiuliza kuhusu mitazamo yenu ambayo haina mantiki hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…