kaka nadhani hujaelewa kabisa ramani ya dunia tambarare ,,,na maswali yako yote yamejibiwa ,,,jaribu kusoma kwa kina uzi wangu
this is how the sun revolve around the earth flat plane
ngoja kwanza nkutoe ujinga kidogo ,,,hizi sayari nyingine ulizo zitaja zamani zilijulikana kama woundering stars unajua kwasababu gani ??? kwanza kabisa naomba utambue kwamba picha zote za plannet nyingine unazoziona internet ni computer generated images(cgi) sio real images kwahiyo naweza kusema zile zenyewe ni fake images ,,,,me swali langu ni dogo sana kwanini na technologia ambayo tunayo leo hatuna picha halisi ya dunia lakin tunauwezo wa kwenda mars ,,,,maswali mengine mjiulize tu wenyewe sifa moja ya plannet kua plannet ni kwamba inatakiwa isiblink inabidi ing'ae tu through out lakin huo ni uongo ukiangalia venus ambayo inajulikana kama eavining star utagundua kwamba kuna mda ina blink embu nielezee kwanini,,,,,somethings we can observe with our own eyes ....alafu unanambia dunia ni kubwa sana siwezi kuona duara lake okay nmekubali na ni kweli dunia ni kubwa sana ,,haya vipi na ndege zinazo paa kila siku mbna hawaoni duara kumbuka the horizon always rise to the eye level ,,,,alafu huu uongo mataifa yote yanashirikiana kuificha ...ndo maana tunaiita global deception tangu dunia ianzishwe hatujawahi kuona planet yoyote inapita mbele ya jua kwa mocho yetu mawili,,,,na haiwezekani in real sance haiwezekani circles zote za planets zisi loops sehemu
this is how the sun revolve around the earth flat plane
alafu hili swala halihusiani na dini kwani we unajua dini yangu au unaongea tu kujifraisha..,.,.,.,
kama ungekuja na hoja za maana na point kunipinga ningekuelewa ....,unanidhihirishia kua umefikia mwisho wa kutafakari na unavojinadi unaelimu its a shame..
hoja gani nmeshidwa kujibu,,,,,alafu usitegemee utapata majibu yote hapa,,,im just opening your mind to creatical thinking ndo maaana nliwaambia mtu anaetetea round earth aje na picha halisi ya dunia ya duara,,,,,najua hata ukishinda google hupati,,,lkn mimi i can prove the earth is flat na hamna sehemu kuna curveture na hata kama curvetureingekua baharini mbona nchi kavu hatuini kitu ,,,alafu try to explain to me jinsi maji yote ya bahari yanavyo weza kushikiliwa if the earth was round kumbuka water finds its ownlevel alafu water always maji yanafuata mkondo wake ,,,au nambie ndege inapaaje na kwenda accurate navyo sema nmefanya research nna maanisha
think about the diferences between falt earth and ball round earth
ulicho andika hapo huwezi kukiprove kwa njia yoyote hata ukilalal unasali kwasababu amna kitu kama icho..,.,the earth is stationary and everything above is revoving around us sema hatufundishwi darasani kama unajuan nyota inaitwa polaris i fatilia au nijibu inawezekanaje constilation zote ziwe zina izunguka polaris najua ufahamu kuhusu hili kwahiyo kajifunze kwanza ,,,,dunia haizunguki wala hain'gooki,,,its a flat plane
think about the word planet the source ni plane ...now do you knw the meaning of the word plane??????
usiseme ivo wewe me naweza kusema watu wanashidwa kuelewa kwasabbu bongo zimelala bado,,,,,, mpaka leo unaamini dunia ni kama kipira kipo angani na kunazungushwa na nguvu inaitwa gravity alafu kila siku tunaona jua llinatuzunguka vizuri tu ,,,,wewe ulishawai kuona wapi dunia inaizunguka jua au kila siku unaona jua ndo linapita ,,alafu kwanza nyota na anga ni lile lile akibadiliki kitu ,,alafu fikiria kupatwa kwa jua kungewezekanaje wakati jua ni kubwa sana kuliko mwezi '''''''
Scientists estimate that around 64.3 million moons would fit inside the sun. Earth's moon has a radius of around 1,080 miles and the sun has a radius close to 432,687 miles,,,,,, sasa how can this be possible....