Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wenyewe wanakwambia hizo picha ni feki eti ni za kutengeneza na hamna mtu alieenda outer space.. Na hata hizo satellite wanazosema zipo juu huko ni uwongo... So mzee jiandae kuambiwa hata hizi live events zinazurushwa live kwa satellites kutoka sehem moja kwenda ingine kama mpira ni feki.. Wanakataa kama kuna kitu kinaweza kuleta picha ya dunia kutoka angani, hao waliopiga hizo tunaambiwa tunadanganywa.. Nasa waongo, wajapani waongo warusi waongo wahindi wakorea waongo. Wahindi waongo na woote wanaosema wamerusha satellites angani ni waongo ingawa hizo satellites zinavyokuwa zinaondoka duniani hapa huwa watu wanaona live kutoka lunch pad na live coverage zinakuwepo pia ila hivyo vyote ni feki according to flat earth community ... So unafanya kazi bure tu kuweka picha..View attachment 439435
Kushoto hapo ni picha ya dunia na mwezi imepigwa kutoka mars( zoom in ili uone vzr) kulia ni picha ya mars imepigwa hapa duniani. Mars na earth zimefanana umbo ila hakuna anaesema mars ni flat
Cha ajabu kuhusu hawa watu hata kutengeneza baskeli hawawezi ila ukiwaambia nasa wamepeleka chombo mars wanakataa. Sasa unabisha vp kitu ambacho huna uelewa nacho? Ingekua Russia ndio wamesema nasa ni waongo hapo kweli ningeamini...halafu mbona ISS inaonekana vizuri tu bila hata darubini unaweza kuiona inapita juu sema hawa watu ni wabishi sana Hata ukiwaonesha watasema ni ndege.Mzee wenyewe wanakwambia hizo picha ni feki eti ni za kutengeneza na hamna mtu alieenda outer space.. Na hata hizo satellite wanazosema zipo juu huko ni uwongo... So mzee jiandae kuambiwa hata hizi live events zinazurushwa live kwa satellites kutoka sehem moja kwenda ingine kama mpira ni feki.. Wanakataa kama kuna kitu kinaweza kuleta picha ya dunia kutoka angani, hao waliopiga hizo tunaambiwa tunadanganywa.. Nasa waongo, wajapani waongo warusi waongo wahindi wakorea waongo. Wahindi waongo na woote wanaosema wamerusha satellites angani ni waongo ingawa hizo satellites zinavyokuwa zinaondoka duniani hapa huwa watu wanaona live kutoka lunch pad na live coverage zinakuwepo pia ila hivyo vyote ni feki according to flat earth community ... So unafanya kazi bure tu kuweka picha..
ISS ipo kabisa hata mimi kila baada ya siku mbili naiona, nina application kwenye simu yangu inaitwa iss detector kila wakati iss ikipita nyakati za usiku inanipa taarifa,kama kuna mtu anaitaka anaenda playstore kwa simu zinazotumia android OS inaitwa ISS detector, uki download una set longitude na latitude za mahali ulipo nimei screenshot hapaCha ajabu kuhusu hawa watu hata kutengeneza baskeli hawawezi ila ukiwaambia nasa wamepeleka chombo mars wanakataa. Sasa unabisha vp kitu ambacho huna uelewa nacho? Ingekua Russia ndio wamesema nasa ni waongo hapo kweli ningeamini...halafu mbona ISS inaonekana vizuri tu bila hata darubini unaweza kuiona inapita juu sema hawa watu ni wabishi sana Hata ukiwaonesha watasema ni ndege.
Yeah hii application ipo vizuri hata kwenye website ya nasa pia unaweza kuona inapita mda gani sehemu ulipo.ISS ipo kabisa hata mimi kila baada ya siku mbili naiona, nina application kwenye simu yangu inaitwa iss detector kila wakati iss ikipita nyakati za usiku inanipa taarifa,kama kuna mtu anaitaka anaenda playstore kwa simu zinazotumia android OS inaitwa ISS detector, uki download una set longitude na latitude za mahali ulipo nimei screenshot hapa
View attachment 439514
Picha za iss zinaonyesha kabisa dunia ni duara sasa hawa wanaosema tambarare sijui wanatoa wapi data zaoYeah hii application ipo vizuri hata kwenye website ya nasa pia unaweza kuona inapita mda gani sehemu ulipo.
Mkuu kama picha za satelite zinaweza kuonyesha mabara yote, iweje jua lishindwe kumulika mabara yote!? Pia jamaa alisema kwamba dunia imetulia na haina movment yeyote bali jua na vingine ndo vinazunguka dunia na akahoji pia kama dunia inazunguka kwa kasi mbona hatuhisi huo mzunguko?Kitu kinachonifanya niendelee kuamini kuwa dunia ni duara ni usiku na mchana,yaan huku kukiwa usiku nchi zingine kunakuwa mchana........kama dunia ingekuwa flat au nusu duara,jua lingekuwa linafika katikati basi dunia nzima yaan nchi zote ingekuwa mchana lakin hiki ktu hakiwezekan lazma kwingne kuwe usku kwingne mchana,afu UN bendera yao waliitoa hvo ili mabara yote yaonekane vizuri(yaan picha imechukuliwa juu ya dunia na sio pembeni kama picha zingine zinavyoonesha)
Lini inaweza kupita tena anga la dar mkuu? Na ikipita unaitambuaje yaani inaonekana vipi?ISS ipo kabisa hata mimi kila baada ya siku mbili naiona, nina application kwenye simu yangu inaitwa iss detector kila wakati iss ikipita nyakati za usiku inanipa taarifa,kama kuna mtu anaitaka anaenda playstore kwa simu zinazotumia android OS inaitwa ISS detector, uki download una set longitude na latitude za mahali ulipo nimei screenshot hapa
View attachment 439514
itapita Sunday November 27 saa 1925,huwa inaonekana kama nyota inayotembea ukiangalia angani utazani ka nyota kadogo ila tofauti yake hii inatembeaLini inaweza kupita tena anga la dar mkuu? Na ikipita unaitambuaje yaani inaonekana vipi?
Mara nyingi naziona satelllie(kama vinyota vinatembea) kama hizo zikikatiza angani usiku . kumbe muonekano ni kama satellite nyingine tuitapita Sunday November 27 saa 1925,huwa inaonekana kama nyota inayotembea ukiangalia angani utazani ka nyota kadogo ila tofauti yake hii inatembea
Ndio muonekano wake kama satellite nyingine tu ila yenyewe ni kubwa kiasiMara nyingi naziona satelllie(kama vinyota vinatembea) kama hizo zikikatiza angani usiku . kumbe muonekano ni kama satellite nyingine tu
Mkuu kama picha za satelite zinaweza kuonyesha mabara yote, iweje jua lishindwe kumulika mabara yote!? Pia jamaa alisema kwamba dunia imetulia na haina movment yeyote bali jua na vingine ndo vinazunguka dunia na akahoji pia kama dunia inazunguka kwa kasi mbona hatuhisi huo mzunguko?
Kuna nyakati hasa za usiku sana ukitoka nje pametuliaaa...! Hakuna hata upepo, huo mzunguko ni wa aina gani ambao hauwezi hata kuhisi upepo?
Na zaidi kimfano mvua inaweza kunyesha labda masaa 7 eneo flani tu, ni kwa nn iendelee kunyesha hapo hapo tu ilhali dunia inazunguka!? Au na mawingu ya mvua nayo yanazunguka pamoja na dunia?
Haya mambo hayahitaji hasira, ukifikiria kwa makini kuna maswali mengi hayana majibu ya kuridhisha, na mwanasayansi wa kwanza aliesema dunia inazunguka alihukumiwa kifo baada ya kukataa kukanusha kauli yake!
Dunia ina milima na mabonde kijiji A wanaweza kuliona jua saa 1 asubui lakini kijiji B wakaliona saa 3 hapahapa tz sembuse huko mbali!
Shkamoo!Watu wengi sana wanatoa ushahidi dunia ni duara kuhusu meli kuonekana baharin inakuja nchi kavu. Kwa elimu niliyokuwa nayo sea level inaanzia na sifuri 0 kwa hiyo basi beach zote zilizozunguka mabara yote na visiwa sea level inaanzia sifuri 0. Inamaana kwamba bandari ya dar meli zinapofikia na kuondoka sea level ni 0. Bandari ya Zanzibar sea level ni 0 pale meli zinapofikia na kutoka.
Tuje kuangalia sifa ya maji yaliyopo kwenye sehemu flan either kwenye shimo, beseni, bwawa, kikombe swimming pool Je level ya maji haya yapoje? Kwa macho yangu level ya maji yapo sawa hakuna palipo ongezeka wala kupungua, vile vile haya maji hayawezi kutengeneza shape au sura ya dome, kwa walio soma geography siyo ya kukalili bali kuelewa Kuna feature inaudwa kuto kana na lava. Simple definition DOME is half of a sphere namaanisha nusu duara maji yaliyopo sehemu flan hayawezi kutengeneza hii shape yakiwemo maji ya bahari, ziwa e. t. c.
Tunaendelea kwenye sheet ya geography Kuna maswali unapewa unaunganisha vilele 2 vya milima kwa mstali ulionyooka kutoka point A to point B, unakuta mlima umezungukwa na mistali ya contour. Alafu urefu wa mlima unapimwa kutoka sea level(usawa wa bahari).
Kwa hiyo basi kama Bandar ya dar sea level ni 0 na bandari ya Zanzibar sea level yake ni 0 mstali utakao chora lazima uwe straight line(mstali ulionyooka). Wakati huo huo tumeangalia sifa ya maji yaliyopo sehemu kama bahari, ziwa etc.
Kumbe meli itakayotoka dar kwenda zanzibar, siyo zanzibar tu pekee itakayokwenda kwenye bandari yeyote dunia iwe America, China urusi meli itakuwa. inatembea kwenye maji yaliyo flat mleta mada kaeleza vizuri kabisa kwa Nini unaiona meli kama inaibuka kasema kuwa " inamaana kua dunia inaanza kupinda au ku curve kwa nchi 8 kwa mile moja"
Yupo sahihi kabisa.
Kwenye Geography tumeambiwa kuwa sehemu ya Ardhi iliyo didimia imesababisha kupanda kwa sehemu nyingine ya Ardhi , ime push up land kuja juu, kama milima ingevunjwa na kujazwa kwenye sehemu zilizo didimia basi Ardhi ingekua tambarare hizo ndo theory. Usisahau maji ya bahari kuwa tambarare (flat) + Ardhi(land).
HAYA MNITHIBITISHIE NYIE DUNIA NI DUARA KWA KUANGALIA MAJI YA BAHARI, nategemea maji yenye sea level tofauti.
Taratibu Mkuu wataelewa tu. Mimi binafsi nasoma taratiiibu huu uzi ili nielewe zaidi, binafsi namshkuru Mungu akili zangu huwa hazijafungwa ndani ya Box.kama kweli unataka kujua ukweli na ushahidi wa dunia tambarare, kitu cha lazima kwako ni kuwa wewe kama wewe kwa akili zako wewe, then kama ulivyofundishwa dunia ni DUARA kama mpira (mviringo) inabidi na hapa uwe tayari kufundishwa kuwa dunia ni DUARA kama sahani (tambarare)
baada ya hapo kwakuzitumia akili zako, utachanganua ipi ni ipi bila kulazimishwa na mtu wala kumkosoa mtu coz hakuna zawadi wala kombe la mshindi wa hoja na hatushindanishi hoja humu, zaidi ya kuujua ukweli kupitia mafundisho tuliyoletewa,
maswali yako na wenzako wengi yapo humu humu kwenye uzi so kama unabishana na maandishi ni ngumu kueleweshwa hata kwa ushahidi unaoutaka. kama umeshindwa kujua usiku na mchana unapatikana vp ktk dunia tambarare... fanya hivi, nenda kalale ukiamka anza tena kuusoma uzi huu kuanzia uzi wenyewe na kila aliyechangia....
NAPENDA KUKUSAIDIA TUU, MSAADA WANGU UPO KATIKA MAJIBU UTAKAYOYAPATA KATIKA MASWALI NINAYOKUPA. ILA KAMA UNAAMINI WE NI MBISHI NA HAUTAKI KUSHINDWA.. KAUSHA!!
SWALI LA KWANZA........ KUJUA KAMA DUNIA NI TAMBARARE AU DUARA MVIRINGO
kabla haujafundishwa kuwa Dunia ni Duara Mviringo, na baada ya kufundishwa hvyo. wewe kama wewe unaionaje, je ni mviringo au tambarare?... nipe ushahidi wako wewe vile unavyoiona, yaani bila kudeal na kitabu chochote kile wala elimu yoyote ile wala video wala picha, JE DUNIA NI DUARA MVIRINGO AU NI TAMBARARE?
SWALI LA PILI..... KUJUA USIKU NA MCHANA.
pamoja na nchi kutofautiana masaa na hali ya usiku na mchana... ni kwanini hakuna nchi zenye utofauti wa MASAA KUMI NA MAWILI...? yaani kama huku kwetu ni saa sita mchana, ni nchi gani itakuwa saa sita usiku? kwanini?
SWALI LA TATU.......... JUU YA KUPATA PICHA INAYOONESHA DUNIA NI TAMBARARE AU MVIRINGO.
angani ni wapi...... je picha unayoipata ukiwa katika ndege... inakuonesha nini.....utambarare au uduara? Kipi kina speed kati ya ndege na dunia?
UKIYAJIBU HAYO TUTAENDELEA KUBADILISHANA UELEWA.
Ila kabla ya yote napenda kukushirikisha kitu kimoja hivi..... hivi haufikirii kuwa kutokana na macho yetu kuwa katika hali ya uduara flani yanaweza kufanya kitu kinachokuwa mbali sana tukione katika hali ya uduara kutokana na kucover eneo kubwa la upeo. ukitumia jicho moja kuangalia na unapotumia macho yote unadhani kwanini haoni picha mbili mbili. maana yangu ni kwamba...... lens za kamera hazina utofauti na mfumo wa lens za macho yetu, ndio maana unachokiona wewe hakitakuwa tofauti na ukipiga picha japo lenzi ni ya duara ila picha itatoka mstatiri, so tufikirie kiundani kama macho yetu yanapofika ukomo wa kuona kwanini yanaform taswira ya uduara. tena hilo duara huwa ni mbele ya upeo na angani tuu ila pembeni na ardhini uduara huwa hatuuoni, huwa ni kwanini, mimi mwenyewe natafuta majibu hayo.
kwa mfano baharini, kweli meli ikiwa inakuja kutoka mbali utaanza kuiona sehemu ya juu kwa macho ila kwa darubini inaonekana yote, (kabla ya kubisha uwe umejaribu zoezi hilo) vile vile ukitazama hiyo meli kwa umbali ule ule uliouiona pindi unaangali mbele, ukiiangalia kwa usawa wa mashariki magharibi napo utaiona yote, ili kunielewa namaanisha meli inaonekanaga nusu mtu anapoiangalia kwa usawa wa mbele, lakini kwa usawa wa pembeni inaonekana yote (pitia picha ya mleta uzi).
So kama macho yetu utengeneza uduara hakuna camera itakayokwenda kinyume na macho yetu. so ushahidi wa camera ni sawa na ushahidi wa macho tuu, kwa hiyo hata watu wa flat earth wakipiga picha uduara utaendelea kuonekana labda wabuni lens zao mpya za camera zisizofanan na lens za macho yetu.
pia kwa speed inayotumiwa na dunia katika kujizungusha hata mimi nitasema hiyo live streaming ya ISS ni uongo labda wawe wameweka slow motion.
Hadi Wikipedia ni mali yao hao. . . . Internet yenyewe ni yao. . . . Kweli ambaye hakumwelewa Trump kuhusu mtu mweusi atakua anapenda kuishi uwongo kuji please!Mkuu umetoa somo zuri, ila kwemye INTRO umenichanganya! Umewaponda wazungu na elimu waliyotuletea na wanavyoendelea kutudanganya na kutuficha mambo, wakati huo huo unatuelimisha kwa kutumia lugha, vyombo na elimu hiyo hiyo ya hao jamaa..!!