Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Wasiwasi upo sehemu nyingi Tu......ila swali la msingi ni Je, hiyo picha inathibitisha vipi kwamba Dunia inazunguka?
Kabla ya kwenda kwenye dunia kuzunguka...... unaamini kwanza hiyo picha ni ya kweli?
 
Ndio maana nilikwambia hata ukipewa UTHIBITISHO utaukataa
Uthibitisho wa kwamba Dunia inazunguka au?......hapana sijapewa bado.

Sio kwamba nakataa ilimradi,...Bali kuna sababu za msingi zinazofanya nikatae.

Kwa mfano ushawahi Kujiuliza namna mvua inavyonyesha kwenye both sides of dunia tufe 👉🏼🌍 & the same time!

Tukio hilo zito ilipaswa liwe captured hasa kwakuwa kwasasa teknolojia inaruhusu.
 
Kuna uwezekano swali langu limejibiwa sehemu lakini ningependa kujua motive ya wazungu kutudanganya kuwa dunia ni duara hasa faida wanazozipata kuwaaminisha watu kuwa dunia ni duara angalia ni tambarare.

Natanguliza shukrani kwa atakayeshare majibu
hapa naomba nijaribu kulijibu swali lako kutokana na fikra na mawazo yangu.

Faida kubwa ya Muongo ni kutaka kuaminika...!! Sijui kama nimekujibu vizuri lakini.?
 
Ukinisoma ktk michango yangu mbalimbali katika huu Uzi, mimi ni muumini wa dunia Duara Sahani (Tambarare)
-Kwanza nalithibitisha hilo kwa namna ninavyojifeel kuwamo katika eneo kuuuubwa la tambarare lenye vilima mito maziwa bahari na mabonde na vyte vikiwa ndani ya uduara mkuubwa sana uliozungukwa na barafu.

-Pili nikiliangalia jua na mwezi, vyote naona vinatembea na katka ukubwa sawa nikitofautisha na nyota nyingine au maombo ya vitu vingine vya angani.

-Tatu kitabu cha Biblia ninachokitumia katika imani yangu, nikisoma habari za uumbaji, naiona dunia tambarare iliyofunikwa na kitu mithili ya bakuli liffunike sahani huku viumbe vyote vikiwa ndani yake. huku jua na mwezi vikiwa vimeumbwa kufanya kazi kwa kutembea ili usiku na mchana na majira ya mwaka yapatikane.. ni kwa mujibu wa biblia.

SAYANSI INAPONICHANGANYA NI HAPA.
-Je kuna kitu gani kingine ambacho sayansi inatuambia namna tunavyokiona na tabia zake, si hivyo kilivyo? hapa namaanisha, mimi na wewe tunaliona Jua likitembea kama mwezi lakini Sayansi inasema limesimama.. Je kitu gani kingine kipo kinyume na tunavyokiona au kuhisi kikifanya hivi kumbe sivyo... ?

HII MADA TUITUMIE KUPANUA BONGO ZETU ZAIDI KWA NGUVU ZA FIKRA ZETU WENYEWE.
Umbo la Dunia Duara Mviringo tumefundishwa madarasani, Je Kuhusu Dunia Duara Sahani zinafundishwa wapi? Je Kisichofundishwa ni cha Uongo? Mfano Dini tunazoziamini, zote tumefundishwa je ambao hawajafundishwa mpaka leo wanaishi kwenye dhambi?

Naombeni Mjibu.
Je Dunia inazunguka kwa speed gani? je NASA wamewahi kuonesha video ya Dunia ikiwa katika Speed Hiyo?
 
Na Kwa video yako na maelezo yako kama Jua linazunguka kwenye hiyo orbit embu imagine nchi zilizopo at the centre of the earth zinaona vipi Jua (orientation yake) cause all place Jua huwa linakuwa overhead Wala sio pembeni pembeni tena Kwa ku circle kama unavyoonesha hapo.

Na mwisho wa hii Dunia flat Kuna nn?
Ni nn kimeshikilia hii Dunia flat?
Katika Dunia tambarare, jua linazunguka kama coil ya dawa ya mbu. linapokua katikati pembeni ni baridi kali likiwa pembeni katikati baridi kali.. likiwa katikati ndio kina sisi wa ikweta tunakoma na jua la utosi. na ndio maana hizo inchi za katikati ya dunia kuna nyakati huliona jua muda wote mchana anausiku na kuna nyakati inkua kinyume chake.

mwisho wa dunia kuna barafu.

imeshikiliwa na nguvu kama zinazoishikilia dunia mviringo.
 
Uthibitisho wa kwamba Dunia inazunguka au?......hapana sijapewa bado.

Sio kwamba nakataa ilimradi,...Bali kuna sababu za msingi zinazofanya nikatae.

Kwa mfano ushawahi Kujiuliza namna mvua inavyonyesha kwenye both sides of dunia tufe 👉🏼🌍 & the same time!

Tukio hilo zito ilipaswa liwe captured hasa kwakuwa kwasasa teknolojia inaruhusu.
Tatizo sio KUZUNGUKA mkuu
Hata wewe unasema Jua linazunguka juu ya dunia

Jikite kwanza kwenye UMBO la Dunia
Mengine yatafuata
 
Ukinisoma ktk michango yangu mbalimbali katika huu Uzi, mimi ni muumini wa dunia Duara Sahani (Tambarare)
-Kwanza nalithibitisha hilo kwa namna ninavyojifeel kuwamo katika eneo kuuuubwa la tambarare lenye vilima mito maziwa bahari na mabonde na vyte vikiwa ndani ya uduara mkuubwa sana uliozungukwa na barafu.

-Pili nikiliangalia jua na mwezi, vyote naona vinatembea na katka ukubwa sawa nikitofautisha na nyota nyingine au maombo ya vitu vingine vya angani.

-Tatu kitabu cha Biblia ninachokitumia katika imani yangu, nikisoma habari za uumbaji, naiona dunia tambarare iliyofunikwa na kitu mithili ya bakuli liffunike sahani huku viumbe vyote vikiwa ndani yake. huku jua na mwezi vikiwa vimeumbwa kufanya kazi kwa kutembea ili usiku na mchana na majira ya mwaka yapatikane.. ni kwa mujibu wa biblia.

SAYANSI INAPONICHANGANYA NI HAPA.
-Je kuna kitu gani kingine ambacho sayansi inatuambia namna tunavyokiona na tabia zake, si hivyo kilivyo? hapa namaanisha, mimi na wewe tunaliona Jua likitembea kama mwezi lakini Sayansi inasema limesimama.. Je kitu gani kingine kipo kinyume na tunavyokiona au kuhisi kikifanya hivi kumbe sivyo... ?

HII MADA TUITUMIE KUPANUA BONGO ZETU ZAIDI KWA NGUVU ZA FIKRA ZETU WENYEWE.
Umbo la Dunia Duara Mviringo tumefundishwa madarasani, Je Kuhusu Dunia Duara Sahani zinafundishwa wapi? Je Kisichofundishwa ni cha Uongo? Mfano Dini tunazoziamini, zote tumefundishwa je ambao hawajafundishwa mpaka leo wanaishi kwenye dhambi?

Naombeni Mjibu.
Je Dunia inazunguka kwa speed gani? je NASA wamewahi kuonesha video ya Dunia ikiwa katika Speed Hiyo?
Ili kupata dhana nzima ya haya yote ni lazima tuanze na UMBO la Dunia mkuu
 
Huu utoto sasa mkuu, anadanganya ili aaminike?
Hivi unajua ni nani waliobaini dunia ni dura? Na ni wakati gani?

The way mnavyo chukulia ni as if NASA ndio walikua wa kwanza kutambua dunia ni duara
Waliobaini ni wazungu hao hao... Na je kati ya Muafrica na Mzungu, unamuamini nani katika masuala ya kisayansi?
 
Mzungu ndio nani mkuu?
Hebu be specific ni nani waliobaini dunia ni duara? Na ilikua miaka gani?
 
swali liliuliza kwanini wazungu wadanganye wapate fffaida gani.. ndio nikajibu kua muongobyeyote yule hudanganya ili

aaminike.. so mzungu refer swali nililolijibu
 
Tuachane na Motive ya kudanya dunia ni duara kwasababu HAMJUI

Turejee sasa ni nani waliobaini dunia ni duara? na ni wakati gani walibaini? Na kwanini walibaini?

Kabla hatujaja kwa NASA
 
Wasiwasi upo sehemu nyingi Tu......ila swali la msingi ni Je, hiyo picha inathibitisha vipi kwamba Dunia inazunguka?
Kumbe sasa umeshatambua kuwa Dunia ni tufe,

Kilichobaki kuelewa ni uthibitisho wa kuzunguka ?
 
Back
Top Bottom