The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Sawa zinaweza kubadirika, je zimebadirika,?Usiite watu Mavi kwa Concepts Za Kisayansi ambazo zinaweza Kubadilika..
Theory Nyingi sana Zilikuwa Zinaaminika Ila baadae Zikawa Nullified na Void
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa zinaweza kubadirika, je zimebadirika,?Usiite watu Mavi kwa Concepts Za Kisayansi ambazo zinaweza Kubadilika..
Theory Nyingi sana Zilikuwa Zinaaminika Ila baadae Zikawa Nullified na Void
Sasa mwenzako kakomea hapo kwenye sense organs 😀, na aka conclude.Firstly it started with Sense of experience, Our 5 senses provide raw sense of data. looks at the Newton examples on theories Gravitational Forces..
Kama vitu venye uzito mkubwa(Kg) ndio vinasink sasa kwann meli inaelea wakati shilling inazama? Na kimsingi meli ina kg nyingi kuliko shilling?Hakuna sehemu nimesema density inavuta vitu chini,...bali ni kwamba The denser the object, the higher the likelihood that it will sink or drop, and vice versa,.......mfano A person weighing 98 kilograms climbing onto the back of a person weighing 20 kilograms is like objects with greater weight that tend to sink or be less able to carry load, depending on their molecular density.
Nyingi sana Zimebadilika Mkuu Ni nyingi Labda kama Hujasoma Science Subjects..Sawa zinaweza kubadirika, je zimebadirika,?
I mean hii ya umbo la Dunia, je imebadirika? Mpaka ww uje hapa useme umbo la Dunia ni tambalale.Nyingi sana Zimebadilika Mkuu Ni nyingi Labda kama Hujasoma Science Subjects..
Sayansi sio porojo, mahali inaupungufu (weakness) inasema hailazimishi uongo uwe ukweli Ili kujifurahisha.Nyingi sana Zimebadilika Mkuu Ni nyingi Labda kama Hujasoma Science Subjects..
Na lastly, tujue tu ya kwamba mostly tupo limited kufanya utafiti wa kina kwenye hili swala. Kwahy tunahitaji tafiti zilizofanywa na watu wengine tuzisome tukiona zinamake sense na zina obey scientific laws then hoja hizo zitakuwa na mashiko zaidi.Nyingi sana Zimebadilika Mkuu Ni nyingi Labda kama Hujasoma Science Subjects..
Ni vichekesho mkuu, ni wazi kabisa haelewi anachozungumzaKuna wakati unatakiwa uwe serious, sawa umeamua kubishana lakn tumia logic basi Ili mjadala uwe ma mantiki.
Sasa hapo unauliza akuoneshe curvature inapoanzia unaona unamake sense kweli? Mfano wewe nikikuuliza, kwenye Mpira(⚽) unioneshe curvature inapoanzia, utaweza?
Every point kwenye huo Mpira ni curvature. Ili uweze kuelezea curvature hiyo lazima uwe na point mbili of reference.
Kabisa kaka kabisa! Nilichogundua jamaa ni mnasiaji nasiaji, anadonoa donoa tu hatumii hata common sense ilimradi tu abishaneSayansi sio porojo, mahali inaupungufu (weakness) inasema hailazimishi uongo uwe ukweli Ili kujifurahisha.
Kwa sayansi ya sasa, Dunia ni duara (oblate sphere) so kama Kuna mtu anakuja kupinga aje na sababu za kisayansi na experiment zinazothibitisha kuwa Dunia si tufe.
Lakini pia tunapaswa tujue sio Kila mtu anaweza kufanya tafiti hizi, Kwa sababu tofauti tofauti. Kwahy tupo limited na tafiti zetu na ndio maana jamaa yako, hateeb10 utafiti wake umeishia kwenye observation tu na aka conclude anachokiona ni sahihi😀, akasahau observation no hatua ya mwanzo kabisa kwenye scientific investigations.
Mfano: ukitumia observation tu, Kwa mfano ukichukua school ruler ukai submerge kwenye maji, utaona kama imepinda je, unaweza kuconclude kuwa ruler ukiweka kwenye maji inapinda?
Kwahiyo tunapojenga hoja humu tutumie logic na sababu zinazomake sense, sio unaforce Dunia iwe duara tu au flat tu, ndo hapo unakuta mtu anaforce gravity isiwepo😀 Ili tu hoja yake I make sense.
Imagine mtu anakuja na model yake ya flat earth na anaanza kwa kupinga uwepo wa gravity, vitu vyengine havimake sense kabisa ni basi tu ilimradi aongee na yeyeI mean hii ya umbo la Dunia, je imebadirika? Mpaka ww uje hapa useme umbo la Dunia ni tambalale.
Zamani ilikuwa inaaminika umbo la Dunia ni tambalale lkn baada ya gunduzi na tafiti mbalimbali wakagundua si kweli, Bali umbo la Dunia ni oblate sphere,
Sasa hizi hoja za Dunia ni tambarare unazozileta hapa wewe umetoa wapi? Je Kuna any published document mpya iliyothibitisha hicho? Au Kuna ugunduzi wowote wewe kama ww ulioufanya mpka ufikie hii conclusion? Au upo hapa Ili kujua ukweli, au upo hapa kuchangamsha ubongo?????????
Nikikuuliza maswali ya msingi utaweza kujibu?Na lastly, tujue tu ya kwamba mostly tupo limited kufanya utafiti wa kina kwenye hili swala. Kwahy tunahitaji tafiti zilizofanywa na watu wengine tuzisome tukiona zinamake sense na zina obey scientific laws then hoja hizo zitakuwa na mashiko zaidi.
Unakuta mtu amekomaa picha za NASA zime editiwa, NASA wanatudanganya😀. Sasa mtu anashindwa kuelewa kuwa image zinakuwa processed Ili zionekane kulingana na uhitaji.
Kwahiyo hatuwezi kujua exactly point where the earth starts to curve,..Si ndiyo?Kuna wakati unatakiwa uwe serious, sawa umeamua kubishana lakn tumia logic basi Ili mjadala uwe ma mantiki.
Sasa hapo unauliza akuoneshe curvature inapoanzia unaona unamake sense kweli? Mfano wewe nikikuuliza, kwenye Mpira(⚽) unioneshe curvature inapoanzia, utaweza?
Every point kwenye huo Mpira ni curvature. Ili uweze kuelezea curvature hiyo lazima uwe na point mbili of reference.
Simply put, there are pictures of spherical Earth ambazo nyinyi kwasababu zenu binafsi mmeamua msiamini. Wewe apo una picha za flat Earth?Kwahiyo hatuwezi kujua exactly point where the earth starts to curve,..Si ndiyo?
Haya tuambie umejuaje kama kuna mkunjo wa Dunia,..? ikiwa hatuna njia yoyote ya ku observe hicho unachosema.,
Umetumia njia gani ikiwa hakuna njia?!
Simple question tu, kwenye Mpira ⚽ unaweza kuonesha just a point kuwa hiyo point ndio Kuna curvature?Kwahiyo hatuwezi kujua exactly point where the earth starts to curve,..Si ndiyo?
Umbo la Dunia limeshathibitishwa muda sana, labda kama unataka kunimock au kunichallenge sawa.Utaweza kuthibitisha pasina shaka yoyote kwamba Dunia ni tufe linalozunguka?
Tuliza kichwa, sio kwamba hakuna njia. Nimekwambia huwezi kuchagua point Moja kuonesha curvature ya kitu chochote. Point is just a point. Tumia akili yako kufikria zaidi utanielewa.Umetumia njia gani ikiwa hakuna njia?!
Hili suala la kupatwa Kwa mwezi niliwahi kumuuliza majibu yake aliyonipa ni vituko tu😀😀Mwezi ukipatwa unaona kabisa kimvuli cha dunia kwenye mwezi, unaona kikoje shehe ???
Wachilia mbali kimvuli kuonekana round, dunia ingekuwa flat. Jua na dunia zimekaa vipi na iweje kimvuli cha dunia kionekane kwa mwezi? Kwamba dunia ni kama sahani alafu jua linamulika kwa chini kama tochi ama?
Kuna wakati mi hata najiuliza kama huyu jamaa anatumia kichwa, arguments zake ni za kipuuzi sana!Tuliza kichwa, sio kwamba hakuna njia. Nimekwambia huwezi kuchagua point Moja kuonesha curvature ya kitu chochote. Point is just a point. Tumia akili yako kufikria zaidi utanielewa.
Hawa ndo wale watu wa kudonoa donoa, point zake kama za mtu aliyekatwa kichwa 😂😂😂😂😂Hili suala la kupatwa Kwa mwezi niliwahi kumuuliza majibu yake aliyonipa ni vituko tu😀😀