Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Unapenda kukimbilia kukariri😃

Swali lako general sana, Kuna nguvu(Force) nyingi sana kwenye mwili wa binadamu😃:

1. Kuna nguvu ya misuli (muscular force)
2. Nguvu ya uvutano(gravitational force)
3. Nguvu ya msuguano(friction force)
4. Na nguvu ya msukumo( especially moyo/cardiac force)
N.k N.k
unaweza ukathibitisha gravitational force ndani ya mwili wa Binadamu?
 
Kwahy unauliza kitu nilichokielezea😃😃, unasomaga kweli ww??👇👇

View attachment 3192113
Hujajibu swali,..Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth kama mnavyoamini ni nini?......

Simple tu, RADIAL direction ya movement ya vitu vinapoanguka kwenye earth surface, imagine mtu aliye North pole gravity inamvuta chini yake, pia na mtu aliye sourth pole vile vile, hata alie west na east ni the same so utagundua hiyo direction ya gravity ipo radially towards the center of the earth.
Una mfano wa kitu chochote ambacho kishawahi kuvutwa na gravity mpaka kikafika at the center of the earth?
 
Si ndo maelezo yenu au? Kama sio nipe maelezo yako😃😃

Kwani aliesema hivyo kwenye hiyo model nimemuamini??

Wewe unamsimamo Gani?? Huo ndo msimamo wa flat Earthers otherwise ww sio flat earther

Sasa ndo unambie ww linazungukaje Ili nikukaange vzr
Mimi mawazo yangu hayaongozwi na kundi lolote,... ninaposema Dunia ni flat& stationary ni kwasababu observation inaonyesha hivyo na sio kwamba kuna wadau nimewasikia wakisema hivyo,..

Watu wanaoelezea movement, distance, ukubwa wa objects zilizopo angani hawajui exactly 100% kuhusu hivyo vitu aslimia kubwa ya models zina base on assumptions.
 
Maswali yangu umeacha kuyajibu, Na nliamua kuanza na maswali mepesi tu lakini kwako yamekua ni magumu na hayajibiki

Kiufupi hata nadharia yako bado haujaielewa thats why unajikuta kuna maswali kwako hayajibiki
 
maswali gani sijajibu,..
 
Simamia misingi, Huu sio mjadala

Mimi nataka kujifunza kwako kwa kuuliza maswali na unijibu kwa ufasaha ili nikuelewe vizuri,

Anyways, ulikua unamaanisha ndege kusafiri horizontally kwenye Earth surface na sio KATIKA anga ?

Lakini pia haujajibu swali langu hili na unijibu, Je una utaalamu wa maswala yanaohusu usafiri anga ?
Hapana,.. namaanisha Ndege inasafiri horizontally ikiwa angani,...unapinga hili?

Utaalamu gani specifically? kujua kwamba Ndege ina safiri horizontally/vertically inahitaji haihitaji utaalamu wowote.
 
Hapana,.. namaanisha Ndege inasafiri horizontally ikiwa angani,...unapinga hili?

Utaalamu gani specifically? kujua kwamba Ndege ina safiri horizontally/vertically inahitaji haihitaji utaalamu wowote.
Kaka, Kuna swali ulijibu umeonyesha hujui vitu vingi kuhusu nadharia yako hiyo,

Ila tu nawewe umejikuta umekariri kama wengine walivyokariri

Thats why nkikuuliza maswali kama kingo ya Dunia ilipo haujawahi kushuhudia na hautawahi,

Kuna maswali kama kufahamu uelekeo wa magimba tofauti huko angani huwezi kujibu maswali yake

Anyways kwa kuwa sisi wengine tunajua Dunia ni Tufe tunaweza kufahamu muelekeo wa magimba mengine kwenye anga, Tarehe 25 mwezi huu January toka nje utalii utaziona sayari zote 8 zimejipanga vizuri kabisa

Maswali mengine naona nsikuulize maana sitaambulia kitu kutoka kwako
 
ulicho quote na ulichojibu ni vitu viwili tofauti,..kama wewe ni smart na mwerevu jibu kile nilichouliza... ⤵️

"Hapana,.. namaanisha Ndege inasafiri horizontally ikiwa angani,...unapinga hili?

Utaalamu gani specifically? kujua kwamba Ndege ina safiri horizontally/vertically haihitaji utaalamu wowote."
 
Hujajibu swali,..Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth kama mnavyoamini ni nini?.
Soma tena

Una mfano wa kitu chochote ambacho kishawahi kuvutwa na gravity mpaka kikafika at the center of the earth?
Unarudia maswali,,
Mimi mawazo yangu hayaongozwi na kundi lolote,..
Sawa nataka mawazo yako sasa
. ninaposema Dunia ni flat& stationary ni kwasababu observation inaonyesha hivyo na sio kwamba kuna wadau nimewasikia wakisema hivyo,..
Sawa naomba mawazo yako kuhusu MZUNGUKO WA JUA
Watu wanaoelezea movement, distance, ukubwa wa objects zilizopo angani hawajui exactly 100% kuhusu hivyo vitu aslimia kubwa ya models zina base on assumptions
Nataka wewe hapo sasa, au hujui??
 
Maswali yangu umeacha kuyajibu, Na nliamua kuanza na maswali mepesi tu lakini kwako yamekua ni magumu na hayajibiki

Kiufupi hata nadharia yako bado haujaielewa thats why unajikuta kuna maswali kwako hayajibiki
😃😃😃😃😃, hajui chochote atakudanganya tu huyo....,
 
Kaka, Kuna swali ulijibu umeonyesha hujui vitu vingi kuhusu nadharia yako hiyo,

Ila tu nawewe umejikuta umekariri kama wengine walivyokariri

Thats why nkikuuliza maswali kama kingo ya Dunia ilipo haujawahi kushuhudia na hautawahi,

Kuna maswali kama kufahamu uelekeo wa magimba tofauti huko angani huwezi kujibu maswali yake

Anyways kwa kuwa sisi wengine tunajua Dunia ni Tufe tunaweza kufahamu muelekeo wa magimba mengine kwenye anga, Tarehe 25 mwezi huu January toka nje utalii utaziona sayari zote 8 zimejipanga vizuri kabisa

Maswali mengine naona nsikuulize maana sitaambulia kitu kutoka kwako
Hata Leo, saivi atoke nje aangalie juu karibu na mwezi Kuna Sayari inaonekana, na ilitabiriwa mapema sana.

Huyu hajui chochote kwanza kichwani mweupe hajui hata force. Anakwambia kutembea friction force haihusiki😃😃, mara aseme ukipuliza et hiyo ni force ya mpulizo 🤣🤣🤣🤣
 
PERSPECTIVE
Katika matumizi ya kawaida Perspective Refers to a point of VIEW or a way of looking things.

Basic Rules of Perspective
•Perspective is how three-dimensional scenes are represented on a two-dimension surface and seen by the human eye.

•Closer objects appear larger than more distant objects.

•Parallel lines appear to converge into the distance

View attachment 3191453

Mfano picha hapo juu👆, concept ya perspective ni kwamba vitu vinavyozodi kuwa mbali na tulipo vinazidi kupungua size until vinameet na Horizon.

Ukiangalia mfano hapo juu msitari wenye rangi nyekundu umeenda kumeet na horizon, lakini kamwe hautashuka chini ya ya horizon hiyo, kitakachotokea hiyo object itaendelea kudiminish untill itavanish.

View attachment 3191458
(Angalia hiyo mistari ya rangi nyekundu kwenye hizo Kona za ukuta, zote zinalingana lakini due to respective utaona line ya mbali fupi)
VIPI KUHUSU JUA?
Katika mazingira ya kawaida huwa tuna observe wakati Jua 'linazama'wakati wa jioni au 'kuchomoza' wakati wa asubuhi.
Je huwa tunaona Jua likiwa na size ndogo?
View attachment 3191461

Jibu ni hapana!!!! Tunaona Jua likichomoza likiwa na size Kubwa(Ile ile) kitu ambacho hakiendani na dhana nzima ya perspective kama FLAT EARTHERS wengi wanavyodai.

Tazama "Time Lapse" photo ikionesha sun setting. Flat Earth model inadai kwamba hii ni ILLUSION.
View attachment 3191467

Tazama picha ya pili hii👇, ikionesha taa za barabarani; unaonesha jinsi ILLUSION inasababishwa na PERSPECTIVE in the same way na unaona jinsi taa zinavyokaribia Horizon kadri zinavyoenda mbali zaidi.
View attachment 3191471
Hapa tunaona Kuna tatizo!!!!!😎🤔
Taa za barabarani tunaona zinapungua size kadri zinavyokuwa mbali na tulipo kama tu jinsi PERSPECTIVE inafanya kazi.

Kwa upande mwingne tunaona Jua halipungui size yake, linabaki vile vile popote liwapo kwenye anga.

So, If the sunset was caused by perspective the Sun would gradually appear smaller until it became too small to see at or near the horizon. Instead you can see that its size remains constant until it moves below the horizon bottom first.

HOPE YOU ALL UNDERSTAND!!!!!!!!!!!!!!

hateeb10 Chosen Rich Poor Brain
Rudi hapa hakuna kukimbia🤣🤣
hateeb10
 
SHIP VISIBILITY
HiI observation mara nyingi tunaweza kuiona tunapoenda ufukweni mwa bahari.
Utaobserve Meli iki disappear from the bottom baadae inapotea yote.

FLAT EARTHERS CLAIMS!!
Kwa mujibu wa flat Earthers ni kwamba tunaona vile Kwa sababu ya ukomo wa tunavyoweza kuona. Kwa maana kwamba Kuna distance inafikia hatuwezi kuona tena.

Okay!!😎
Just observe this👇
, View attachment 3191482
Hapo unaweza kuona Meli iliyokaribu unaonekana vizuri ukilinnganisha na meli iliyombali.

Kimsingi meli iliyombali inainekana only at the top side, na sio bottom side. Ukirejea maelezo ya Flat earth kuwa ni ukomo wa macho kuona, Sasa kwanini meli yote isipotee kutokana na ukomo wa macho badala yake inaonekana juu tu?????????

hateeb10 Chosen Rich Poor Brain
Njoo hapa hateeb10
 
Back
Top Bottom