The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unabishana tu mtu wangu? Ila anayebishana na wewe inabidi ajitoe ufahamu maana anabishana na mtu ambaye hajui kwamba hajui.Hujajibu swali,..Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth kama mnavyoamini ni nini?......
Una mfano wa kitu chochote ambacho kishawahi kuvutwa na gravity mpaka kikafika at the center of the earth?
Hahahaaaa 🤣🤣🤣,, me nimeshamalizananae bana Hana hoja tenaBado unabishana tu mtu wangu? Ila anayebishana na wewe inabidi ajitoe ufahamu maana anabishana na mtu ambaye hajui kwamba hajui.
Unajua hoja yangu hasa ni nini? sipo hapa kubishana,...nipo hapa kuomba uthibitisho wa vitu kadhaa......Bado unabishana tu mtu wangu? Ila anayebishana na wewe inabidi ajitoe ufahamu maana anabishana na mtu ambaye hajui kwamba hajui.
Yap, narudia maswali maana huyajibu unayaruka,... Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth kama mnavyoamini ni nini?Soma tena
Unarudia maswali,,
Tulikubaliana mimi ntakua nakuuliza maswali wewe, Lakini kwa sasa sikuelewiulicho quote na ulichojibu ni vitu viwili tofauti,..kama wewe ni smart na mwerevu jibu kile nilichouliza... ⤵️
"Hapana,.. namaanisha Ndege inasafiri horizontally ikiwa angani,...unapinga hili?
Utaalamu gani specifically? kujua kwamba Ndege ina safiri horizontally/vertically haihitaji utaalamu wowote."
Kwa mfano swali gani sijakujibu,? Kati ya maswali uliyoulizaTulikubaliana mimi ntakua nakuuliza maswali wewe, Lakini kwa sasa sikuelewi
Huwezi kujibu maswali kwa ufasaha, Ukiulizwa swali gumu kwako unapotezea
Kiufupi ni kuwa haujui chochote kuhusu nadharia yako na unafahamu hilo.
Nilikuuliza maswali mengi sana hujawahi kujibu hata moja kwa ufasaha.Unajua hoja yangu hasa ni nini? sipo hapa kubishana,...nipo hapa kuomba uthibitisho wa vitu kadhaa......
so,.upo free kutafsri utakavyo.
Kila muda ukitulia na unakuja humu 🤣🤣Hakuna cha kukimbia hapo nikitulia nitakurudia,
Mkuu upo serious huoni jua lina move asubuhi linakuwa mashariki mchana utosini na jioni magharibi tuache ubishi usio na tijaOkay nakujibu tena, ni hivi Nina observe hata Sasa naobserve sioni Dunia ikimove na sion Jua likimove, ila sijafanya experiment yoyote kuhusu nilicho observe.
Sasa wewe umefanya tupe majibu yako ya ulichofanya na ulifanyaje.
Kama unaona linamove record basiMkuu upo serious huoni jua lina move asubuhi linakuwa mashariki mchana utosini na jioni magharibi tuache ubishi usio na tija
Unaona sasa, Ushasahau msingiKwa mfano swali gani sijakujibu,? Kati ya maswali uliyouliza
Wewe mbona nikikuuliza maswali magumu haujibu unaanza visingizio na kujitetea,...au hutaki kuulizwa maswali?
Huyu jamaa ana matatizo sana 😅Hata Leo, saivi atoke nje aangalie juu karibu na mwezi Kuna Sayari inaonekana, na ilitabiriwa mapema sana.
Huyu hajui chochote kwanza kichwani mweupe hajui hata force. Anakwambia kutembea friction force haihusiki😃😃, mara aseme ukipuliza et hiyo ni force ya mpulizo 🤣🤣🤣🤣
Wewe umeshindwa kuonyesha Dunia iki move then una command jamaa arekodi video ya Jua?,..atleast Jua linaonekana kubadilisha position how about Earth?Kama unaona linamove record basi
Kubadilika position ni kumove ?Wewe umeshindwa kuonyesha Dunia iki move then una command jamaa arekodi video ya Jua?,..atleast Jua linaonekana kubadilisha position how about Earth?
Wewe unaejua mbona unashindwa kuthibitisha mambo madogo tu,...Thibitisha Dunia ni tufe na ina move?Huyu jamaa ana matatizo sana 😅
Kiufupi hajui chochote kile, Hata kuhusu nadharia yake hajui kitu chochote, Anaweza akabishana hata na wenzake wanaoamini Dunia ni tambarare huyu.
Tuonyeshe picha ya kingo za Dunia mjadala uishie hapaWewe unaejua mbona unashindwa kuthibitisha mambo madogo tu,...Thibitisha Dunia ni tufe na ina move?
Kama watu walipata ujasiri wa kuingiza kwenye mitaala ya elimu na kuwafundisha EVOLUTION THEORY,.. basi usijiaminishe kwamba kila unachofundishwa ni 100% truth.
-Uthibitisho wa kwanza ni usiku na mchana ( Hapa Dunia inakua inafanya rotation, Tumeshakueleza mara nyingi huko nyuma )Wewe unaejua mbona unashindwa kuthibitisha mambo madogo tu,...Thibitisha Dunia ni tufe na ina move?
Kama watu walipata ujasiri wa kuingiza kwenye mitaala ya elimu na kuwafundisha EVOLUTION THEORY,.. basi usijiaminishe kwamba kila unachofundishwa ni 100% truth.