Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwahiyo kwa akili zako kila jibu ni sahihi ilimradi umeshajibu hata kama ulijibu kitu ambacho hakikueleweka ?
Hahh kwani wewe unavyoona kila jibu ni sahihi ilimradi umejibu?,.......unalazimisha nikujibu unavyotaka wakati huo wewe umeshindwa kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka(Unaleta katuni), umeshindwa kuthibitisha gravity.........

Ship visibility nilishasema kwamba is just an optical illusion caused by refraction na mirage,..The refraction effect plays a significant role in the visibility of ships, particularly when viewed from a distance over water. Refraction occurs when light rays bend as they pass through layers of the varying densities, primarily due to differences in temperature and pressure,

Mirage Effects

  • Superior Mirage: This occurs when a layer of cold air lies below a warmer air layer (temperature inversion). Light rays bend downward, making objects, such as ships, appear higher or floating above the horizon.
  • Inferior Mirage: If the air near the water surface is warmer than the air above, light bends upward. This can cause a ship to appear distorted or displaced below its actual position.

Kama bado hamuelewi kuhusu Ship visibility basis itakuwa ni ubishi tu usio na kichwa wala miguu,.... The celebrity
 
hateeb10

1. "Jua sio kama object nyingine"
Hata kama Jua sio kama object nyingne lakin Bado litafata sheria za fizikia

2. "hatulioni actually likipungua size yake kutokana na magnification effect"
Hakuna "athari ya ukuzaji" inayofanya kazi hapa. Kama ingekuwa hivyo basi Jua lisingekuwa linapotea kabisa, 🤣🤣 lingeendelea kuonekana. Sasa kwann linapotea?

3. The sun remains the same size as it recedes into the distance due to a magnification effect caused by the intense rays of light passing through the strata of the atmolayer.
Miale ya mwanga inayopita kwenye angahewa haisababishi ukuzaji kwa njia hii unayosema wewe Badala yake, husababisha,

1. Refraction: Kupinda kwa mwanga, ambayo huathiri nafasi na umbo linaloonekana la Jua, hasa karibu na upeo wa macho.
2. Scattering: Kutawanyika kwa mwanga, ambayo huathiri rangi ya Jua na anga.

Ingawa anga lina tabaka, mwingiliano wa mwanga na tabaka hizi hains effect ya ukuzaji (magnification) ambayo hupinga kupungua kwa ukubwa wa kitu kutokana na umbali.
 
Hahh kwani wewe unavyoona kila jibu ni sahihi ilimradi umejibu?,.......unalazimisha nikujibu unavyotaka wakati huo wewe umeshindwa kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka(Unaleta katuni), umeshindwa kuthibitisha gravity.........

Ship visibility nilishasema kwamba is just an optical illusion caused by refraction na mirage,..The refraction effect plays a significant role in the visibility of ships, particularly when viewed from a distance over water. Refraction occurs when light rays bend as they pass through layers of the varying densities, primarily due to differences in temperature and pressure,

Mirage Effects

  • Superior Mirage: This occurs when a layer of cold air lies below a warmer air layer (temperature inversion). Light rays bend downward, making objects, such as ships, appear higher or floating above the horizon.
  • Inferior Mirage: If the air near the water surface is warmer than the air above, light bends upward. This can cause a ship to appear distorted or displaced below its actual position.

Kama bado hamuelewi kuhusu Ship visibility basis itakuwa ni ubishi tu usio na kichwa wala miguu,.... The celebrity
Wewe endelea kucopy unakuja kupaste hapa, Inaonyesha ni jinsi gani unajibu vitu usivyovijua
 
Majibu ushayapata,..umebakisha drama tu.

Wewe kurahisisha mambo lete video inayothibitisha Dunia ni tufe na inazunguka,.. NB; Hakikisha una zoom Australia,. kuna jambo tuhakikishe kwa pamoja.
 
Kafanya hili jaribio kwanza then urudi hapa tukukaange na tukueleweshe vizuri,

Wewe nlichokusoma huwezi kuelekezwa kwa lugha ngumu ukaelewa thats why nmeona niende kwa njia simple, utaelewa taratibu

Fanya hili jaribio kwanza, Ukimaliza kaa na utafakari alafu utarudi hapa tujadili
 
Attachments

  • instagram_video_1723849007206.mp4
    4.3 MB
Kafanya hili jaribio kwanza then urudi hapa tukukaange na tukueleweshe vizuri,

Wewe nlichokusoma huwezi kuelekezwa kwa lugha ngumu ukaelewa thats why nmeona niende kwa njia simple, utaelewa taratibu

Fanya hili jaribio kwanza, Ukimaliza kaa na utafakari alafu utarudi hapa tujadili
Hahh sasa hilo jaribio nifanye mara ngapi,...still huwezi ukatumia hiyo kama evidence.

Wewe si umesema una video zinazothibitisha Dunia ni tufe na inazunguka?? zilete basi sasa hivi tumalize utata.
 
Hiyo hoja ya ship visibility nishajibu humu mara nyingi sana,...sasa unapouliza again and again unategemea nitakupa majibu tofauti?
Nimekuuliza hujajibu huwezi kujibuu au???🤣🤣
Ulisema curvature ipo everywhere,..nikakuuliza kama hapo ulipo pia kuna curvature?? hujajibu mpaka leo.
The earth is an oblate sphere, so inawezekana nilipo pakawa flat, lakin umbo la Dunia kiujumla ni oblate sphere, na swali lako la kutaka utajiwe point ambapo Kuna curve nilikujibu vzr tu, na nikakuuliza nikikupa Mpira unaweza kunionesha point ambapo kuna curve??
 
Majibu ushayapata,..umebakisha drama tu.

Wewe kurahisisha mambo lete video inayothibitisha Dunia ni tufe na inazunguka,.. NB; Hakikisha una zoom Australia,. kuna jambo tuhakikishe kwa pamoja.
Ulivyosema kuhusu Australia, umenikumbusha hii meme 😅😅

Akili zenu ni fupi sana
 
Attachments

  • images (65).jpeg
    images (65).jpeg
    39.8 KB · Views: 4
Wewe na yeye akili zenu sawa ndiyo maana unaona nimekamatwa,... mimi naona easy tu.

Kumbuka huyo unaesema kanikamata,.. ndiyo alisema kwamba "Tokea azaliwe hajawahi kuhisi akivutwa na gravity....." lakini anaamini gravity ipo, ipo wapi hajui?
Sasa si ndio ilivyo🤣🤣
 
Hahh sasa hilo jaribio nifanye mara ngapi,...still huwezi ukatumia hiyo kama evidence.

Wewe si umesema una video zinazothibitisha Dunia ni tufe na inazunguka?? zilete basi sasa hivi tumalize utata.
Nmekwambia fanya hivyo urudi hapa tujadili,

Thats why nasema hivi weww haupo kwajili ya kujifunza
 
Nimekuuliza hujajibu huwezi kujibuu au???🤣🤣

The earth is an oblate sphere, so inawezekana nilipo pakawa flat, lakin umbo la Dunia kiujumla ni oblate sphere, na swali lako la kutaka utajiwe point ambapo Kuna curve nilikujibu vzr tu, na nikakuuliza nikikupa Mpira unaweza kunionesha point ambapo kuna curve??
Sasa mbona mnajichanganya? mwenzako Chosen Rich alisema hapo alipo pia kuna curvature (yaani sio flat) ila yeye ni very tiny so hawezi kuona,...

Atleast wewe umekubali kwamba hapo ulipo ni flat bila mkunjo wowote,.....
 
Nmekwambia fanya hivyo urudi hapa tujadili,

Thats why nasema hivi weww haupo kwajili ya kujifunza
Nataka kujifunza,..ile lete huo uthibitisho kwanza "Wewe si umesema una video zinazothibitisha Dunia ni tufe na inazunguka?? zilete basi sasa hivi tumalize utata.

NB;Usisahau ku zoom Australia tafadhali.
 
Sasa mbona mnajichanganya? mwenzako Chosen Rich alisema hapo alipo pia kuna curvature (yaani sio flat) ila yeye ni very tiny so hawezi kuona,...

Atleast wewe umekubali kwamba hapo ulipo ni flat bila mkunjo wowote,.....
Wewe kichwa yako ni ngumu kuelewa alafu unajifanya mjanja,

Nlikujibu kutokana na namna swali lako ulivyoliweka

Acha ukanjanja hapa na kuleta siasa
 
Kwahiyo na wewe unakubali kwamba hapo ulipo ni flat?

au kuna mkunjo hapo?
 
Nataka kujifunza,..ile lete huo uthibitisho kwanza "Wewe si umesema una video zinazothibitisha Dunia ni tufe na inazunguka?? zilete basi sasa hivi tumalize utata.

NB;Usisahau ku zoom Australia tafadhali.
Mbona wewe unauliza vitu ambavyo nlishakujibu na nkakuletea hapa tayari ?

Rudi kuanzia 2023 utazikuta kwenye ile mijadala 😎
 
Back
Top Bottom