Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Hapa flat sijaiona, nlipo kuna kijilima kwa chini kuna bonde 😎Kwahiyo na wewe unakubali kwamba hapo ulipo ni flat?
au kuna mkunjo hapo?
Sijaona Flat brother 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa flat sijaiona, nlipo kuna kijilima kwa chini kuna bonde 😎Kwahiyo na wewe unakubali kwamba hapo ulipo ni flat?
au kuna mkunjo hapo?
Hahh uzuri wa flatness hata ufanyeje utaiona tu,...ila curvature tokea uzaliwe hujawahi kuiona kiuhalisia labda kwenye CGI na katuni.Hata flat sijaiona, nlipo kuna kijilima kwa chini kuna bonde 😎
Sijaona Flat brother 😎
Nielekeze sehemu nzuri nkaione,Hahh uzuri wa flatness hata ufanyeje utaiona tu,...ila curvature tokea uzaliwe hujawahi kuiona kiuhalisia labda kwenye CGI na katuni.
Toka nje hapo utaiona,. panda juu ya mlima wenu huoNielekeze sehemu nzuri nkaione,
Curvature mbona naiona mara kwa mara nkiwa beach, Naona sehemu ambayo curve imeanziaHahh uzuri wa flatness hata ufanyeje utaiona tu,...ila curvature tokea uzaliwe hujawahi kuiona kiuhalisia labda kwenye CGI na katuni.
Hizi akili hata mchwa hawezi kuwa nazoToka nje hapo utaiona,. panda juu ya mlima wenu huo
Hahh curve imeanzia wapi?Curvature mbona naiona mara kwa mara nkiwa beach, Naona sehemu ambayo curve imeanzia
So madai yako ni ya uongo 😎
mchwa wanajua kutofautisha mkunjo na flatness,.. wewe hujui, sasa si bora mchwa?Hizi akili hata mchwa hawezi kuwa nazo
Jua kufuata SHE,... ? Sheria za fizikia
Imeanzia pale mbele, Umeona ?Hahh curve imeanzia wapi?
Leo hutoboi,..wakati huu tunasubiri hizo video za uthibitisho, tuambie hapo curve inapoanzia.
Hapana sijaona.Imeanzia pale mbele, Umeona ?
Alafu unachonishangaza kuhusu Dunia Duara unapinga na unasema tutumie akili ya tunachokiona kwa milango ya fahamu,mchwa wanajua kutofautisha mkunjo na flatness,.. wewe hujui, sasa si bora mchwa?
Note: Alipo na Mimi nilipo, alafu unganisha na statement ya the earth is an oblate sphere. Kwa mfano nilipo mm pametengenezwa pakawa flat kabisa(by humans)🤣Sasa mbona mnajichanganya? mwenzako Chosen Rich alisema hapo alipo pia kuna curvature (yaani sio flat) ila yeye ni very tiny so hawezi kuona,...
Atleast wewe umekubali kwamba hapo ulipo ni flat bila mkunjo wowote,.....
Kuwa hatuhisi gravity na sabab nimekupa na mifano mingine nimekupa piaa 🤣🤣Hahh ndiyo ilivyo vipi,....
Subiri Chosen Rich analeta video sasa hivi mjadala uishe,.
Uzuri Unazoita katuni hujawah kuthibitisha ukatuni wakeHahh uzuri wa flatness hata ufanyeje utaiona tu,...ila curvature tokea uzaliwe hujawahi kuiona kiuhalisia labda kwenye CGI na katuni.
Nakuambia ni illusion kwasababu hakuna curvature,...Alafu unachonishangaza kuhusu Dunia Duara unapinga na unasema tutumie akili ya tunachokiona kwa milango ya fahamu,
Ajabu tukirudi kwenye Sunrise and Sunset pamoja na Ship visibility unaleta habari za
sijui illusion, Sijui kalikwenda kakarudi hahah
😎😎😎😎😎😎???????Hahh kwani wewe unavyoona kila jibu ni sahihi ilimradi umejibu?,.......unalazimisha nikujibu unavyotaka wakati huo wewe umeshindwa kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka(Unaleta katuni), umeshindwa kuthibitisha gravity.........
Sijaona ulipojibu kwann meli zinaanza kuonekana Kwa juu tu na sio chini zinapokuwa zina approach land, 🤣🤣🤣🤣. Umekopi tu hata ww huelewi ulichojibuShip visibility nilishasema kwamba is just an optical illusion caused by refraction na mirage,..The refraction effect plays a significant role in the visibility of ships, particularly when viewed from a distance over water. Refraction occurs when light rays bend as they pass through layers of the varying densities, primarily due to differences in temperature and pressure,
Mirage Effects
- Superior Mirage: This occurs when a layer of cold air lies below a warmer air layer (temperature inversion). Light rays bend downward, making objects, such as ships, appear higher or floating above the horizon.
- Inferior Mirage: If the air near the water surface is warmer than the air above, light bends upward. This can cause a ship to appear distorted or displaced below its actual position.
Kama bado hamuelewi kuhusu Ship visibility basis itakuwa ni ubishi tu usio na kichwa wala miguu,.... The celebrity
kwahiyo hapo ulipo wewe ni flat kabisa.. mfundishe na mwenzako.Note: Alipo na Mimi nilipo, alafu unganisha na statement ya the earth is an oblate sphere. Kwa mfano nilipo mm pametengenezwa pakawa flat kabisa(by humans)🤣
Ulitoa sababu ya kwanini hatuhisi gravity? sikumbukiKuwa hatuhisi gravity na sabab nimekupa na mifano mingine nimekupa piaa 🤣🤣
Sasa nimfundishe nn🤣🤣 wakat yeye Alipo sio flat??? Mimi nipo ndani hapa Kuna vigae kabisa pamefanyiwa levelling na binadamu Ili pawe flat🤣🤣kwahiyo hapo ulipo wewe ni flat kabisa.. mfundishe na mwenzako.
vizuri sana.