SIRI: Mwanamke ambae hajui Mapishi (Kupika) hafai, na hapaswi hata kuolewa

Pole zao kina Kajala na wadada wengine wa mjini wasio na mpango
 
Huu uzi hauwahusu wanawake ukanda mzima wa pwani na wanyamwezi,
Kupika ni sanaa ukiwa mtundu na mnyumbulifu ni kitu rahisi kujua, siku hizi kuna mitandao na mashine mambo yamekuwa rahisi zaidi ila ndo mambo ya kucha ndefu, insta na boarding school,

Zamani hizo bibi yangu alinikazia(wakati ananifundisha kupika) hakikisha ukipika ladha ya chakula iwepo, viungo vingi si utamu wala ladha ya chakula, kama hamna ladha ya chakula hata kwa mume huwezi kuwa na ladha,
 
 
Unaoaje mwanamke hajui kupika?
 
Yaani,utakuta mtu anajaza mafuta kwenye mboga hadi kichefuchefu,

Mtu anajaza minyanya yaani,

wanajuaga kujaza viungo vingi ndiyo kujua kupika,
 
KWANI NI MBUSUSU INAPIKA? HAPA TUNAPIGWA!!! Na muandishi KAPIGWA!!!
 
Sipendi upishi wa kujaza viungo na mafuta mengi. Nishawahi kutafuta sababu nikampa nauli binti mmoja arudi mkoani kwao kwa mambo kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…