Siri na fumbo la kifo (Dini & Sayansi) tukishakufa tunakwenda wapi?

Kifo ndio ndoto ambayo kila mtu ataitimiza
Pia kuna maisha baada ya kifo ambayo ni either peponi kwa waliofanya ibada ipasavyo na mema pia kuna moto kwa walioishi kwa kutenda maovu na kufa bila kutubu dhambi zao
Hayo mengine ni propaganda za Sayansi na wasioamin uwepo wa Mungu
 
Sasa kama ndiyo hivyo,roho za watakatifu wa zamani tunaowasoma kwenye biblia ziliwaingia watu gani mkuu coz sion wenye vipawa vyao kwenye kizazi hiki?
 
Hakuna mimba isiyokuwa na uhai, Yani roho.
 
Shuqraani mkuu
Karibu kwenye sehemu ya pili
 
Kuna sehemu umesema baada ya kufa mtu hukumbushwa matendo mema na mabaya aliyotenda hapa duniani.
Swali: vipi kwa wale wanaopata ajali za kutisha mfano kupasuka kichwa na kusagika??
 
Mitume walifanya kosa kubwa ambavyo hawakutuandikia kwenye Biblia au kumhoji Lazaro aliyefufuliwa. Hapo tu walifanya uzembe maana alikuwa na experience.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee nimecheka kinoma
 
Mfano wa kifo ni usingizi. Baada ya kutolewa roho mtu aliyekufa anakuwa anafeel kama yuko kwenye ndoto
Ndoto ni zao na indication kwamba ubongo bado unafanya kazi, ukifa tayari ubongo unakuwa haufanyi kazi tena hivyo hakuwezi kuwa na ndoto.
 
Roho za watu waliofariki hukutana kwenye "ulimwengu wa roho" na hakuna maisha zaidi ya hapo.
 
Sasa kama ndiyo hivyo,roho za watakatifu wa zamani tunaowasoma kwenye biblia ziliwaingia watu gani mkuu coz sion wenye vipawa vyao kwenye kizazi hiki?
Ndio hayo ninasema ya kufutwa memory card Yako! Unaweza ukakuta Roho ya nabii inakwenda kuwa Kibaka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ