Siri nyuma ya sura nzuri

Siri nyuma ya sura nzuri

Hichi kisa cha huyu dada kufeel guilty ya kumuua mzazi wake kimenikumbusha hadithi moja fupi inayoitwa the tale tell's heart iliyoandikwa na edgar allan poe. ni stori ambapo jamaa anaelezea jinsi alivyomuua mzee aliyekuwa akiishi nae kwa kumvizia akiwa amelala na kumnyonga kitandani kisha mwili wake akaukata kata vipande na akauweka kwenye mifuko ya plastiki kwa ajili ya kwenda kutupa. Ila kabla ya kwenda kutupa maaskari wakatimba. Jamaa kutokana na kupaniki akajikuta anaropoka mwenyewe ameua mbele ya wale maaskari walokuja kwa mishe zao zingine tu hapo kwake. Afu kisa cha kumuua huyo mzee ni kwamba huyu mzee alikuwa na jicho moja bovu ambalo muuaji alidai linamkera kila akitazamana na huyo mzee. Hivyo jamaa akaamua ku mkill huyo mzee ili asikereke tena.
 
Binadamu tuna Visa vya ajabu, so kisa jicho mwamba Kam nyoosha mtu
 
Back
Top Bottom