Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Wabongo kwa kuwa judge watu kupitia mitandao tunastahili tuzoVillage boy kampa jumba la mamilioni ya fedha aishi hivi zile pesa tu za kununua ule mjengo toka uzaliwe kwa matumizi ya kila siku umezifikisha tuwe serious kidogo?
Si unafahamu tunaishi kwenye dunia iliyotawaliwa na mawazo ya ki feminism . Sasa haya mambo ya kutetea ujinga kwa mgongo wa u bosslady ndio matokeo yake.Pale wanawake wazima wanaposhabikia mama kama Zari eti ana kijana mzuri kushinda Dai!!!!!! Hivi mnapa bichwa kuendelea kuhangaika ktk umri huooo badala hata atulie atunze heshima yake ilobaki ndogo kama kizibo cha soda. Eti king bae hahaaaaaa hakupaswa kubishana na mondi au kutupia kila kitu jamani. Kwa hilo nawashangaa sana nyie wanawake wa Zarina Zarina
Sio kwa kusifia ujinga huo yani mama ana wtt wakubwa karibia walingane na huyo king bae wake.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji11][emoji11]umeona eehh!yaani wao sidhani kama wanafanya huu ujinga wa boss wao!!
Maana ni ujinga kwangu Mimi!
Kama kocha Mchezaji Maulid wa KitengeTena wengine wanapiga kimya kimya wasijulikane
Du Felicia mpenzi wangu mkenya kigori umenifanya dushe lisimame kwa kumkumbuka.Babes, Tatizo nyie mmesoma shule za vidumu mnakaririshwa English Ila hamjui kuitawala na kutumia unavyotaka, ndio maana mnakua vilaza na mambumbu, mtabaki kukariri hivyo hvyo , I don't blame you , I blame your parents who took you to local government school , bye Felicia
Niliwai kuongea hili zamani km huyu dogo atapigwa pesa ndefu tu na kubwagwa.Dah Ila hii inauma *****
Halafu mbaya zaidi , mtu kanunuliwa nyumba south Sasa , shoga yetu yupo bongo hata kibanda kujengewa hajajengewa kaishiwa kupangiwa na kutelekezwa anaomba omba kodi , kweli zari alisema si yeye aliyewatuma kuzaa na wanaume bila kutumia akili , wapambane kulipa kodi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]π€£π€£π€£
Ila zari shikamoo, sijui alimshika wapi domo mpaka kumkabidhi nyumba , yani domo na ubahili wote ule ***** kwa zari kanyooka, zari shikamoo, inabidi tumuombe aisee atufunze kuzaa na wanaume za watu kwa kutumia akiliπ€£π€£π€£π€£
Katoto ka 6 kananukia,muhanga wetu huyu anayefatia
ππππmjinga sana weyeHamisa anataka SAA ya almasi Zari anajali Muda
You brake the law? Tumia kiswahiliNenda kule jukwaa la elimu mkuu Ndo panakufaa, sitaki ushauri wako najua Ninachokiandika, Mimi sijajifunza English Jana , I break the law coz najua sio kwa kwamba sijui , sawa?
Eti zari atapata wapi pesa , mxieew nyie ndo mmemjua zari juzi ***** zenu, zari kaanza kushika pesa wakat domo bado hajazaliwa mbwa wewe
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]umeona eeehh!!cheating ndo ile ile haijalishi na kudanga ndo kule kule tushamjua tabia zake za kidangaji tuuu!!
Asee dai mvumilivu kwa kweli
Pale wanawake wazima wanaposhabikia mama kama Zari eti ana kijana mzuri kushinda Dai!!!!!! Hivi mnapa bichwa kuendelea kuhangaika ktk umri huooo badala hata atulie atunze heshima yake ilobaki ndogo kama kizibo cha soda. Eti king bae hahaaaaaa hakupaswa kubishana na mondi au kutupia kila kitu jamani. Kwa hilo nawashangaa sana nyie wanawake wa Zarina Zarina
HahahaBibi wee heshima pesa mjini na zari anazo , tafuta pesa uheshimiwe mujini , hata ukikaa uchi utaambiwa mwacheni kuna joto Sasa hivi π€£π€£
Niliwai kuongea hili zamani km huyu dogo atapigwa pesa ndefu tu na kubwagwa.
That bitch,toka alipochomoka kipindi Ivan yuko hoi kaenda benet i jino kwa jino akacheza makaratee akalamba urithi wote.
Nikaona mtandale hapa akae sawa.
Wabongo huwa tuna shobo hatari,sasa unamsifia Zari kucheat na Peter ambaye ni mume wa mtu wakati Zari ndo wa kwanza kuponda watu wanaodate na waume za watu insta?#WabongoHuwaTunaTatizoLaKushobokeaWageni#Wazuri balaaaa.mpaka analia lia redio. Cheki midomo yummmyyy. Auze banaaa asibabaishweeeeView attachment 1079895
πππππHahaha