Siri Nyumba ya Diamond South Africa

kikubwa tulichokijua leo ni kuwa Zari ni mdangaji na sio boss ledi kama tulivyoaminishwa!yani anagawa kama pipi adi kwa trainer [emoji3]!mambo ya nyumba watajuana wenyewe
Alishaandika mwenyewe Instagram kuwa yeye ni changudoa mzee. Sasa mimi sioni jipya hapo. Huenda Domo akawa anahofia methali hii. Wapiganapo fahali wawili ziumiazo nyika.

Kingine duniani tunapita tu, kama analala kwa raha zake madale why atafute stress nyingine S.A?
 
Laki
Kama zari angekua wakufulia angefulia kipindi anaachana na Ivan bana , Sasa mtu Ana vyuo South na miradi kibao , Ndo aje kufulia kisa kaachana na mtandale, mxieew watasubir sana
Lakini wakati wameachana na Ivan alikuwa kafulia,mi nilikuwa namjua kupitia blog ya Sinta,alikuwa anadanga hatari,hata wakati anakutana na Diamond kwenye ndege alikuwa anakuja kwa Katunzi ndo alikuwa basha lake la bongo,Sinta na Le mutuz ndo walikuwa wanamuunganishia kwa mapapaa ya mujini
 
Changudoa mwenye akili ya kijasusi. Ana akili za kina Cleopatra, yeyote akimtaka atanasa tu.
Bwahahahahahaaa lowlife wameishia kupiga kelele redion na misukule ya domo na pugi ipo inashangilia mitandaon. Zari maji marefu
 
Ahahah , huyu mwanamama ni mafia, she uses her beauty and brain to crook rich men , sio wengine wanatoa papa hovyo bila kuwa na malengo, walisema Ivan alivyokufa atapokonywa kila kitu , look where she is , CEO Na bado Ana miradi na pesa kibao🤣
Mtandale hapa asilalame maana kapigwa hela ya chips mayai tu sema endelevu. Eti nimegoma sipeleki hela ya matumizi,asubiri sammans tu na kulipa kwa mkupuo. Mpk wale watoto wako 18 sijui atakua anaimba nini na kisheria Zari anachukua chake kila mwezi,nafwa mama nangai.
Eti mwanasheria wangu,hao malowyar wasomi wa kubip watashindana na ma lawyer wa South,kwanza lugha tu itabidi lifunguliwe darasa pale.
we tulia dogo hapo umeingia choo cha kiume na kike sikilizia sindano tu.
 
U see sasa nashangaa watu kulia lia wakati wanafahamu ukweli.
 
Maneno bila picha hayanogi leta basi ushahidi kuwa zari alicheat na peter akiwa mume wa mtu.

#shobolangulinawaumizasanajamanipoleniwagenindiowanaotufundishaakilikubwa#
Wabongo huwa tuna shobo hatari,sasa unamsifia Zari kucheat na Peter ambaye ni mume wa mtu wakati Zari ndo wa kwanza kuponda watu wanaodate na waume za watu insta?#WabongoHuwaTunaTatizoLaKushobokeaWageni#
 
Hahahaaaa....side chick wa psquare

Sio rahisi atii yeye ndo maana kaweza kudanga maana si kwa kudanga huko mpk na matrainer...hahaaaahaaa...sio silka yetu siye kudanga

Nyumba kahifadhiwa bwana daimond kaweka wanawe pale!!
Kama kudanga rahis dangen na nyie mnunuliwe nyumba kama ni rahis, sio kuhangaika ku rent na kuomba omba
 
Bibi wee heshima pesa mjini na zari anazo , tafuta pesa uheshimiwe mujini , hata ukikaa uchi utaambiwa mwacheni kuna joto Sasa hivi [emoji1787][emoji1787]
Hakuna cha heshima wala nini!mnamjaza ujinga mtu mzima hovyooo!!!!

Side chicks wa Psquare!!!looh
 
Wabongo huwa tuna shobo hatari,sasa unamsifia Zari kucheat na Peter ambaye ni mume wa mtu wakati Zari ndo wa kwanza kuponda watu wanaodate na waume za watu insta?#WabongoHuwaTunaTatizoLaKushobokeaWageni#
Hahaaa...kunywa fanta kwa tarimo hapo!
 
Hahahaaaa! Asili ya watanzania kuchukiana sisi kwa sisi ndo shida ilipo!

Anayoyafanya wangefanya kina Sema,Hamisa wangetukanwa mpk wazazi wao but frankly speaking ni mjinga yule mama na wajinga ndo wanamshabikia

Diamond amemnyoosha maana walikua wanamsifia sana upuuzi wake na hata kipindi yuko na dai bado alikua analiwa na Ivan
Sio kwa kusifia ujinga huo yani mama ana wtt wakubwa karibia walingane na huyo king bae wake.
 
Zari bosslday? Hebu nitajieni biashara 3 za Zari mnazozijua?

Yule ni mdangaji tu. Ila ni international level. Super classic malaya.
Kama Liverpool na Mbao FC....zote ni timu za mpira tofauti ni ligi au sio...
 
Kwa nini usingeandika kwa Kiswahili tu kuliko kijidhalilisha kwa kuandika Kiingereza kibovu kiasi hiki?

Zari she??? Kweli unaweza kutumia noun na pronoun kwa mpangilio huu???
 
Wabongo huwa tuna shobo hatari,sasa unamsifia Zari kucheat na Peter ambaye ni mume wa mtu wakati Zari ndo wa kwanza kuponda watu wanaodate na waume za watu insta?#WabongoHuwaTunaTatizoLaKushobokeaWageni#
Tatizo kile kiingereza anachoongea Zari kinawachanganya wabongo
 
Punguza povu mama ww ni msemaj wa zarina
 
Zari ameshati...w...ameachwa...nyumba issue ndogo sana... hakuna kitu mwanaume ana feel proud kama kuti...a na kuacha....ni raha sana asikwambie mtu...unabinuliwa binuliwa unaachwa vile vile....
 
Ahahah , huyu mwanamama ni mafia, she uses her beauty and brain to crook rich men , sio wengine wanatoa papa hovyo bila kuwa na malengo, walisema Ivan alivyokufa atapokonywa kila kitu , look where she is , CEO Na bado Ana miradi na pesa kibao🤣
Huyo ni jambazi...ana target za hatari...na amefanikiwa...amejisogeza kwa Ivan....kazaa nae kakomba mali on death.....hatuombei mabaya....domo akitoweka anakuja kukomba na za huko tz kwa niaba ya watoto...hizo ni long term plan....she is a real bitch...
 
Uzuri zari hua anaweka matukio yake wazi. Hiyo miaka yupo na Ivan na wana mtoto mmoja, Ivan alikua kapauka zari anawaka.
Enzi hizo wote wamechalala. Kama uCEO wa hizo college alikua nao tangu marehemu Ivan yupo hai. Maisha yake ndivyo yako hivyo siku zote. Hata asisingiziwe urithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…