Siri Nyumba ya Diamond South Africa

Kwa jinsi Zari tunavyomjua kwa kauli hiyo ya dai lazima angejibu with evidence,so km hajajibu mpk sasa daimond ndie mshindi ,docs zipo kwa bi Sandra,Tandale hatoki boy remember[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Tatizo team Zari wanamuona boss wao mjanja sanaa kumbe dai ndo alimtia jeuri ya kua mama mwenye nyumba alikua mpangaji tu

Nna hakika Kigoma hatoki boy hivi kirahisi documents uandike jina la hawara?kirahisi rahisi tu?huo ujinga sio kwa bi sandra
 
Apokonywe Mali walizotafuta na mumewe from scratch... Muwe mnaandika vitu mkiwa na akili timamu.. Walitafuta wote toka wanaanza unadhani alimkuta Ivan na hela... [emoji57] [emoji57] smh
 
Apokonywe Mali walizotafuta na mumewe from scratch... Muwe mnaandika vitu mkiwa na akili timamu.. Walitafuta wote toka wanaanza unadhani alimkuta Ivan na hela... [emoji57] [emoji57] smh
Jinsi ulivyoandika mtu anaweza sema ulikuwepo kipindi wanazitafuta hizo mali kumbe source ni gossip,rumours na hearsay.
 
It's either wanashare , Ila Nina uhakika nyumba inawahusu wote wawili na wamechangia, kumbukeni tu zari she was financially stable even before she dated domo, unlike hamisa mobeto ambaye tunamuona kila siku anahangaika kodi ya nyumba.
Zari alikua anaishi kwa kupanga nyumba
Ni Diamond alieona kuna umuhimu wa kununua nyumba kwa sababu ya mtoto wake
Diamond hawezi kugombea nyumba dola laki moja na hamsini,ameshavuka huko
 
Kwa jinsi Zari tunavyomjua kwa kauli hiyo ya dai lazima angejibu with evidence,so km hajajibu mpk sasa daimond ndie mshindi ,docs zipo kwa bi Sandra,Tandale hatoki boy remember[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
We endelea kuota, domo hajui aanzie wapi kudai chake. WAMEPIGWA MARUFUKU KISHERIA YY,MAMA NA KIMADA WAKE, MJOMBA DJ ROMMY SIJUI,MENEJA WOTE ,WATUKUU NA VILEMBWE, WATOTO WA HAMISA NA MAMA YAO NA BABU TALE NYONGEZA.
MSIKANYAGE HAPO KWA MADIBA MKAITA KWA DOMO.
MKITAKA UGOMVI KISHERIA NENDENI SI O KIMDUNDIKO.
 
Zari alikua anaishi kwa kupanga nyumba
Ni Diamond alieona kuna umuhimu wa kununua nyumba kwa sababu ya mtoto wake
Diamond hawezi kugombea nyumba dola laki moja na hamsini,ameshavuka huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana sikujui ila nna uhakika hauwezi kua tajiri kwa mentality hii
 
Hahahaaaa...kama ulikuwepoo...!!hongera lakinii!!!
 
hawezi mpokonya nyumba maana haimiliki pia 100 percent.
pale aliimbishwa tu aweke dola kadhaa wanunue nyumba ya watoto.akaingia king km aliweka 100,000usd anajua yeye,
wakakaribishwa wote kunyambanyamba mle,
kisha stop msije tena(km vile hela yenu imekwisha)😳.
 
Hapo ndipo utakapo jua kauli za mwanaume huwaga nzito sana na ndio maana tunapenda kukaaga kimya kujifanya wajinga ili kulinda hadhi za wenza wetu.

Kipindi Gardiner kaachana na Jide ,Jide kila siku kumponda kwenye social network na kumuongelea vibaya Gardiner mpaka kumwimba katika Ndi Ndi Ndi lakini jamaa akakaa kimya,ila siku yalipo mzidia ,Gardiner post yake ya maneno machache (KUKOJOZA) ,kulilipuka humu JF,Inst,FB mpaka Kigwangala akamtaka Gardiner amwombe msamaha Jide lakini Gardiner akakaza.

Leo Diamond ,Zali kamwongea zaidi ya mwaka mzima kwenye Insta,Snapchat kutwa kumponda Mondi,interview za nyuma Mondi kila akiulizwa maswala ya Zari anapotezea,ila interview ya masaa matatu ya Juzi Diamond anaonekana mkorofi na ndio maana mara nyingi wanaume tunashauriwa kupotezea sababu kauli zetu huo nzito sababu kiasili sisi wanaume ndio wenye mamlaka hapa duniani.
 
Hatwariiii hatwariiii bibi Zarina amewehuka sasa kila siku nikutupia maisha yake na king bae hahahahah na vijana wake kina Pinto wanapita wanatazama hahahha haya maadili si ya kiafrica wawaaachie wazungu ila sie kina banyalukolo,baganda ba burundi ba tanzania sio zetu hzo unaonekana malaya wa next level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…