Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Yule Zari ni mdangaji Tu. Ila ana nyumba 3 za Ivan na 1 ya diamond. Ndio maisha ya wadada wa Mjini
Kama ndivyo Diamond hataipata tena hiyo nyumba!..sio yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Zari ni mdangaji Tu. Ila ana nyumba 3 za Ivan na 1 ya diamond. Ndio maisha ya wadada wa Mjini
[emoji3][emoji16][emoji16]mjini hapa shauri zakoo!utauzwaaakumbe wewe ni demu??
Hujajibu swali mkuu.[emoji3][emoji16][emoji16]mjini hapa shauri zakoo!utauzwaaa
Tatizo team Zari wanamuona boss wao mjanja sanaa kumbe dai ndo alimtia jeuri ya kua mama mwenye nyumba alikua mpangaji tuKwa jinsi Zari tunavyomjua kwa kauli hiyo ya dai lazima angejibu with evidence,so km hajajibu mpk sasa daimond ndie mshindi ,docs zipo kwa bi Sandra,Tandale hatoki boy remember[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ajichungulie yeye Kwanzaa!!!!Hujajibu swali mkuu.
Wewe ni mwanamke ?
Tatizo team Zari wanamuona boss wao mjanja sanaa kumbe dai ndo alimtia jeuri ya kua mama mwenye nyumba alikua mpangaji tu
Nna hakika Kigoma hatoki boy hivi kirahisi documents uandike jina la hawara?kirahisi rahisi tu?huo ujinga sio kwa bi sandra
Yaani wameumbuka vibaya mnooo...ujue!km ana nyumba kweli nnavomjua yule mama angehama haki tena!maana si kejeli zile...Umeona eeh
Apokonywe Mali walizotafuta na mumewe from scratch... Muwe mnaandika vitu mkiwa na akili timamu.. Walitafuta wote toka wanaanza unadhani alimkuta Ivan na hela... [emoji57] [emoji57] smhHuyo ni jambazi...ana target za hatari...na amefanikiwa...amejisogeza kwa Ivan....kazaa nae kakomba mali on death.....hatuombei mabaya....domo akitoweka anakuja kukomba na za huko tz kwa niaba ya watoto...hizo ni long term plan....she is a real bitch...
Jinsi ulivyoandika mtu anaweza sema ulikuwepo kipindi wanazitafuta hizo mali kumbe source ni gossip,rumours na hearsay.Apokonywe Mali walizotafuta na mumewe from scratch... Muwe mnaandika vitu mkiwa na akili timamu.. Walitafuta wote toka wanaanza unadhani alimkuta Ivan na hela... [emoji57] [emoji57] smh
Zari alikua anaishi kwa kupanga nyumbaIt's either wanashare , Ila Nina uhakika nyumba inawahusu wote wawili na wamechangia, kumbukeni tu zari she was financially stable even before she dated domo, unlike hamisa mobeto ambaye tunamuona kila siku anahangaika kodi ya nyumba.
We endelea kuota, domo hajui aanzie wapi kudai chake. WAMEPIGWA MARUFUKU KISHERIA YY,MAMA NA KIMADA WAKE, MJOMBA DJ ROMMY SIJUI,MENEJA WOTE ,WATUKUU NA VILEMBWE, WATOTO WA HAMISA NA MAMA YAO NA BABU TALE NYONGEZA.Kwa jinsi Zari tunavyomjua kwa kauli hiyo ya dai lazima angejibu with evidence,so km hajajibu mpk sasa daimond ndie mshindi ,docs zipo kwa bi Sandra,Tandale hatoki boy remember[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana sikujui ila nna uhakika hauwezi kua tajiri kwa mentality hiiZari alikua anaishi kwa kupanga nyumba
Ni Diamond alieona kuna umuhimu wa kununua nyumba kwa sababu ya mtoto wake
Diamond hawezi kugombea nyumba dola laki moja na hamsini,ameshavuka huko
Hahahaaaa...kama ulikuwepoo...!!hongera lakinii!!!We endelea kuota, domo hajui aanzie wapi kudai chake. WAMEPIGWA MARUFUKU KISHERIA YY,MAMA NA KIMADA WAKE, MJOMBA DJ ROMMY SIJUI,MENEJA WOTE ,WATUKUU NA VILEMBWE, WATOTO WA HAMISA NA MAMA YAO NA BABU TALE NYONGEZA.
MSIKANYAGE HAPO KWA MADIBA MKAITA KWA DOMO.
MKITAKA UGOMVI KISHERIA NENDENI SI O KIMDUNDIKO.
hawezi mpokonya nyumba maana haimiliki pia 100 percent.Mwanaume aliyekamilika hawezi mkomoa mwanamke aliyemzalia WATOTO hata kama huyo mwanamke atamtukana matusi ya kupenya mpaka kwenye DAMU..1st born katoka kwa zari 2nd born Zari ..Daimond akimpokonya ile nyumba atakua DHAIFU kuliko lile neno la ASSAD alilolimaanisha kwa bunge.