Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

Acha upumbavu.. kafunge ofisi kabla chadema hawajaja kurudisha form.
 
Kuna haja ya kutoa adhabu kali (ban lefu) kwa wote wanaoleta humu thread zilizojaa uongo bila evidence yoyote. Kuna haja ya kuwa na kamati ya "Haki, nidhamu, mamlaka na madaraka ya JF" ili watu aina hii waonjeshwe joto la jiwe
 
Msomi nguli barani Afrika, anaeleza ukweli ulivyo, I hope itakusaidia
 
Kuna haja ya kutoa adhabu kali (ban lefu) kwa wote wanaoleta humu thread zilizojaa uongo bila evidence yoyote. Kuna haja ya kuwa na kamati ya "Haki, nidhamu, mamlaka na madaraka ya JF" ili watu aina hii waonjeshwe joto la jiwe

It will never happen, kwenye uongozi huu na sheria za mitandaoni. Europe huwezi kuandika kwenye magazeti comments bila kuwa na identified e-mail na jina kamili, then wanafuatilia. Tanzania bado sana shughuli hiyo.
 
Huna lolote ! mnafiki mkubwa wee !
 
Hovyooooo!!!
 
LETE USHAHIDI vinginevyo huu ni uharo kama uharo mwingine wa misukule ya Lumumba.
 
Eti tunamngoja.. wewe nani mpaka umngojee... tukiwaita msiojulikana mnalialia shwain nyie
hii ndo kazi kubwa mliojaza vichwani mwenu kuteka kutesa wananchi ila kuendesha nchi mmefeli
 
Ukisikia Tanzania Ina wapumbavu wengi basi wewe Papaa Muu ndiye mmoja wanaotuponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…