Siri nzito kuhusu unyayo wako hapa ukiweza tu basi unafanikiwa hakika ni muujiza

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
14
Reaction score
110
Siri nzito kuhusu unyayo wako hapa ukiweza tu basi unafanikiwa hakika ni muujiza

Mwanadamu ni kiumbe mwenye siri nyingi na ambaye pia ameumbwa na siri nyingi

Unyayo wa mwanadamu ni waya wa kiroho unaobeba fadhila za dunia na kuziingiza ndani yetu kimwili na kiroho.

Kumbuka unyayo ni sehemu ya kukanyagia na unaikanyaga ardhi ambayo ina kila kitu kuanzia utajiri, nguvu za kiroho na pia ni makazi yetu ya umilele, basi ikiwa utakanyaga vyema hakika kila kitu huwa kweli na ikiwa utakanyaga vibaya katika dunia hii basi hakika ni maangamizo makuu.

Watu wasiokuwa na uvungu wa unyayo kwenye kuoa au kuolewa ni mlango wa nane yaani hawana nyota ya bahati...

Nyota za watu huvurugwa kupitia unyayo, taarifa za watu huibiwa kupitia unyayo ambapo kila kitu huwa wapo, nguvu za tendo la ndoa huibiwa kupitia unyayo ambapo mtu akichukua udongo wa mahala ulipokanyaga basi huvuruga kila kitu chako kimaisha hata kimahusiano, ni hatari sana

Mtu huiba talanta yako na matarajio yako ni hapo hapo anapoweza kuudhulumu hadi uhai wako

Kumbuka unyayo huingiza nguvu ndani yetu na huo huo unyayo kumbuka unabeba kila kitu chetu hivyo wachawi wanaweza tumia unyayo kuweza kutudhulu vibaya kwa kuchafua kizazi chetu,maisha yetu na matumaini yetu

Katika unyayo kuna jicho la kiroho linalozunguka likiwa na miale ambao husaidia sisi tutazame na ndilo lihusikalo na bahati zote za dunia

Huwezi kuikwepa dunia na ikiwa ardhi na udongo upo kila mahala basi tambua wewe umeunganishwa na dunia hii yote na kila kitu kipo humo ndani yako.

Nguvu ya uyanyo ni kubwa sana, ikiwa una unyayo imara utatengeneza maisha bora kwako na kizazi chako.

Umewahi kujiuliza kwanini wachawi huwa wanachota mchanga mahali zilipokanyaga nyayo za mtu?

Miguu yako ina maana kubwa Sana na umuhimu wa kipekee katika ulimwengu wa roho na hii ni kwa pande zote mbili ulimwengu wa roho na kawaida yaani ulimwengu wa nyama

Shetani anazitumia sana siri nyingi za ulimwengu wa roho ambazo wanadamu wengi wamefichwa na wanaofunuliwa ni wachache sana ndiyo maana Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Upo muunganiko mkubwa sana kati ya nyayo za miguu yako na nafsi yako katika ulimwengu wa roho. Nyayo zako zimebeba taarifa zako zote hasa za asili yako na muunganiko wako wa kiroho na kimwili pia.

Mchawi anapopata nyayo zako anaweza kuelewa kila kitu kinachohusiana na maisha yako na kama hauna ulinzi wa kiroho anaweza kufunga kila kitu katika maisha yako

Nyayo zako zinapokanyaga juu ya ardhi zinaacha taarifa zako hapo na ndiyo maana ardhi ya kwako/ nyumbani kwenu inakutambua na inakusikiliza chochote utakachoiambia au hili nalo haulifahamu nije kukufafanulia siku nyingine?

Na hapa ndipo unaelewe laana aliyopewa kaini inavyofanya kazi ( kulaaniwa juu ya ardhi).

Yaani ukilaaniwa juu ya ardhi kwa kutumia nyayo zako zinazobeba taarifa zako basi kila utakapokwenda ukishakanyaga tu mguu wako katika ardhi nyayo zako zinatoa taarifa katika ardhi hiyo "huyu mtu ameelaaniwa juu ya ardhi" Kwahiyo hata ufanye nini uende wapi hutafanikiwa mpaka laana ivunjwe..

Kwahiyo nyayo zako zinakuunganisha wewe na ardhi na ulimwengu wako wa kiroho hivyo lazima kujilinda ili kila ukanyagapo pawe pema

Umewahi kujiuliza kwanini wafuasi wa mchungaji mmoja hapa Tanzania huyakanyaga mafuta ya upako wakiwa wamevua viatu??

Ni ukweli kuwa Mungu anapenda usafi , lakini umewahi kujiuliza kwa kina kwanini manabii wote pamoja na Yesu na Wayahudi walikuwa wanavua viatu walipokuwa wanakaribia mbele za Mungu hata kama ni porini?

Katika kitabu kimoja ..Mungu anamwambia Musa "vua viatu maana mahali hapa ni patakatifu". Ilikuwa ni lazima connection ya unyayo isome kwenye ardhi ipeleke taarifa kwenye ulimwengu wa Roho.

NYAYO ZAKO ZIMEBEBA VITU GANI?

Mchawi anapotaka kuiba muda wako na mafanikio yako na wakati wako huwa anaanza kukufunga miguu hasa katika unyayo.

Anakufunga unyayo wako kwasababu katika unyayo wako ndio kila kitu kipo hapo taarifa zako bahati yako na mafanikio yako huanzia kwenye unyayo na viganjani.

Katika nyayo za miguu kuna vitu 5 ambavyo wachawi wanalenga kukuondolea katika maisha yo

🔅1. Kibali

Inachafuliwa nyota yako ili usikubalike na watu bila sababu kila unapoenda unachukiwa huku ukiandamwa na magonjwa na uchungu mwilini kama unataka kujifungua hasa kwa wanawake.

Nyayo zako zimebeba kibali chako cha maisha yako

🔅2. Heshima

Unaondolewa heshima uwe mtu wa kudharauliwa katika jamii na kuonekana hufai.

Ndiyo maana hata kimila vijana huinama na kuwashika miguu wazee, nao wazee huwashika kichwa vijana.

🔅3. Hatua

Unafungwa miguu usipige hatua yoyote ya maendeleo au mafanikio

Miguu ndiyo inakufanya utembee huko na huko kutafuta riziki . Ukiishafungwa maana yake hutapiga hatua yoyote utakaa ndani tu ukiumwa ama uvivu au kila ufanyalo halitaonekana ama ukipata pesa inatumika bila kujua umetumia vipi.

🔅4. Maamuzi

Wanapokufunga miguu wanakufunga ufahamu wako wa kufikiri usiweze kufanya maamuzi ya maana ya kusonga mbele, unapanga mipango mingi mizuri lakini hautekelezi.

Hata ukipata wazo zuri kiasi gani utaishia kulisema tu na kuliweka kwenye mipango miaka inaenda

🔅5.Umiliki na utawala

Ukifungwa miguu unapoteza umiliki wa mali na ardhi unayoikanyaga. Hutamiliki mali na kama ulikuwa nazo utaanza kufilisika.

Haya ni mambo ambayo roho ya umaskini inapomuingia mtu huwa inamuondolea na hivi vyote vinaanzia kwenye nyayo zako.

Karibu ujifunze zaidi mambo ya kiroho na nk ili kuwa salama
 
Chai
 
Hakuna chochote! Ushirikina tu
 
Na wazungu Wana amini hivyo??any scientific evidence??
 
Mchungaji mmoja akasema umelishwa uchawii na umeoshwa uso kwa maji ya maiti na nyota ya utajiri imebebwa.....

Tuma sadaka 10k kuombewa na kununua maji ,

Rabbon nahitaji maombi yako mtumishi wa Mungu 🙏
 
Back
Top Bottom