Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
Mkuu umezungumza jambo jema Sasa tunaomba Jinsi ya kujiondoa na vifungo hivyo vya nyayo! Maana huku mtaani watu wana hila sana wanachota sana nyayo za watu na kuharibu nyota za watu.
Tupe na namna ya kujifungua na kurudisha hizo karama zote..Kibali, kuheshimiwa, kumiliki na kutawala e.tc
Tupe na namna ya kujifungua na kurudisha hizo karama zote..Kibali, kuheshimiwa, kumiliki na kutawala e.tc