Siri nzito sakata la Okrah na Dejan ndani ya Simba

Vontec

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
245
Reaction score
386
Anaandika Shaffi Dauda

Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.

Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani vipi ya nyuma ya camera?? Iko sawa?

Matokeo ya mpira wa miguu yanapatikana na mambo mengi sana, matokeo ya mpira wa miguu moja wapo ni harmony na upendo baina ya wachezaji, hii haina picha nzuri tena kwenye mchezo tu wa kirafiki.

Time will tell.
Nilifanikiwa kudownload video ya kwanza.

Okrah itakuwa kuna neno alitamka
Yes inawezekana ikawa hivyo, lakini pia uenda kuna matabaka ndan ya timu unajua mzungu kulalamika sio mara moja kuna mechi moja hiv yeye na peter banda ten mzungu alilalamika na hapo kisa ni pasi akupewa inawezekana kuna ka hali cha kumtenga mzungu hapo 🙆🏻‍♂️
 
Anaandika Shaffi Dauda

Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.

Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani vipi ya nyuma ya camera?? Iko sawa?

Matokeo ya mpira wa miguu yanapatikana na mambo mengi sana, matokeo ya mpira wa miguu moja wapo ni harmony na upendo baina ya wachezaji, hii haina picha nzuri tena kwenye mchezo tu wa kirafiki.

Time will tell.
Hiyo video iko hapo chini?
 
Lakini unaweza ukawa ni ugomvi wa uwanjani tu na umehusisha wachezaji wawili tu sio timu nzima! Na usikute mmoja badala ya kumpa pasi mwenzie yeye akajua nikipiga muwa hapa hii ni kamba akakosa so ni kawaida sana!!! Hapa najaribu kuwatetea Makolo maana mpira una mambo mengi tu!!!😀😀😀🚶‍♂️
 
Yes inawezekana ikawa hivyo, lakini pia uenda kuna matabaka ndan ya timu unajua mzungu kulalamika sio mara moja kuna mechi moja hiv yeye na peter banda ten mzungu alilalamika na hapo kisa ni pasi akupewa inawezekana kuna ka hali cha kumtenge mzungu hapo 🙆🏻‍♂️
True.
 
Anaandika Shaffi Dauda

Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.

Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani vipi ya nyuma ya camera?? Iko sawa?

Matokeo ya mpira wa miguu yanapatikana na mambo mengi sana, matokeo ya mpira wa miguu moja wapo ni harmony na upendo baina ya wachezaji, hii haina picha nzuri tena kwenye mchezo tu wa kirafiki.

Time will tell.
Hiyo video iko wapi?
 
Mnayakuza tu! bongo uchochezi mwingi hakuna jambo zito la kufanya watu mfuatilie hadi mkose usingizi...
Hahah! Leo Makolo mnateseka vipi kuhusu Jemedari yeye daily na yanga na manara kuisakama yanga tu hata yaukweli yeye anakataa iweje huyu Shaffi!!, kawaduwaza mmebakia kulalamika, mmenywea na mmekua wadogo Kama pilitino na uzuri Kuna hadi vidhibitisho namnakataa Manyonyo bhana 😀 😀
 
Na inawezekana Kuna baadhi ya wachezaji wameweka mpango mkakati wa kutompa pasi dejan.. Dejan ananyota kali sana maana kila akicheza stori ni yeye sasa wanaona akifunga atawafunika mazima... Hawampi pasi huyu jamaa... Huu ni ubaguzi.
 
Back
Top Bottom