Mpaka leo ujajua kuwa Papa wa Wakatoliki amesomea na anatambua mambo mengi ya kiislam zaidi yako? Waliosomea mambo ya theolojia wanajua mambo mengi sana yanayohusu dini mbalimbali hapa duniani.
Wengine wanaslim na kuokoka just for leisure ili kuona upande mwingine wa maisha.
Mfano mimi nimepitia Sabato, KKKT, Catholic, Lutheran, makanisa ya walokole, Mennonite, Uislam na makanisa madogomadogo mengi ya mitume mbalimbali...wokovu nilipata Enzi hizo.
Ninatambua sana another life from the other side of the mountain. Wajinga watadanganywa sana kwenye hizi dini isipokuwa imani yako dhidi ya binadamu mwenzio ndicho cha muhimu.