Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwa sisi ni la ajabu sana... Yaani hizi habari tunaambiana kila sehemu kila msikiti na vijiwe.... NATO sasa inakuwa ya kiislamu. Mtakoma nyie makafir.Sasa Cha ajabu ni Nini hapo?
Si ni jambo la kawaida TU Kwa mtu kuhama dini?
Inaelekea, hii dini yenu ni kama ukoma, MTU akijiunga nayo inakuwa jambo LA kushangaza! What is so special for one to be a muslim? Kama watu huwa, wanajitangaza kuwa Gays! Nk, why is it a big deal kuwa Muslim? Its like you Muslim people you don't expect(i know why) for whites(Caucasian) to convert into Muslim.Wakati huu, Siri ya Kigogo wa NATO kua Muislam ipo wazi na sio siri tena. Mkurugenzi wa Habari wa NATO, Dk Murad Wilfried Hofmann. Dr Hoffman, aliukubali Uislamu na kutamka shahada katika Kituo cha Kiislamu cha Colonia kinachoongozwa na Imam Muhammad Ahmad Rasoul. Alizaliwa katika familia ya Kikatoliki ya Ujerumani tarehe 3 Julai 1931.
Alihitimu kutoka Chuo cha Umoja huko New York na kisha kumaliza jina lake na shahada ya udaktari katika sheria na sheria kutoka Chuo Kikuu cha Munich, Ujerumani mnamo 1957.
Kwa kuongezea, Hoffman alikuwa msaidizi wa utafiti juu ya Mageuzi ya Utaratibu wa Kiraia wa Shirikisho. Mwaka 1960, alipata shahada ya LLM kutoka Shule ya Sheria ya Harvard.
Mwaka 1983-1987 aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa habari wa NATO mjini Brussels. Baadaye, alipewa jukumu la kuwa mwanadiplomasia wa balozi wa Ujerumani nchini Algeria.
Hata hivyo, kabla ya kuwasili Algeria, Hoffman alikuwa amesilimu. Na aliufanya Uislamu wake kuwa wazi baada ya kuandika kitabu kiitwacho Der Islam als Alternative.
Baada ya kitabu hiki kuchapishwa, Ujerumani ilishtushwa na habari zake za Kiislamu. #convertingintoislam #nato #islam siri za islamic ni chaneli ya YouTube ambayo inatoa historia na hadithi mbalimbali, kuanzia hadithi za Mtume Muhammad, marafiki zake na mitume wa Allah.
Kituo hiki pia kinafunua historia mbalimbali za Kiislamu za Indonesia na ulimwenguKituo hiki pia kinatoa mazoea mbalimbali katika UislamuKusaidia kituo hiki na kupenda na kujiungaTunakushukuru kwa msaada wako.
Hii ilifanywa siri kwa miaka mingi sana, sasa ipo wazi.
View: https://youtu.be/UBhMiGMxhQM?si=F2URK5cKt7mDHlhU
Sina shaka hata chembe ndg yngHuna hata uhakika na Hilo,unaongea ukiwa na shaka
ThibitishaYaani mambo ya dini bana, ni kweli tulirithishwa na mababu zetu, ivi watu hasa waafrika hamjagundua kuwa mlilishwa matangopori?
Yohana 17:3Sina shaka hata chembe ndg yng
Bibilia haisomwi kama gazeti na kama wewe sio mkristo hautakuja kuielewa, ni kitabu kilichoandikwa kwa ajili ya watu maalum, sio kwa kila mpagani,Yohana 17:3
Wakujue wewe Mungu wa pekee na yesu kristo uliyemtuma
Mungu yesu katumwa na Mungu!?..Mungu wa pekee maana yake nini?!
Ushatafuta kichaka!?..Kama moagani hawezi elewa,hao wazee wako walibatizwa vipi?!Bibilia haisomwi kama gazeti na kama wewe sio mkristo hautakuja kuielewa, ni kitabu kilichoandikwa kwa ajili ya watu maalum, sio kwa kila mpagani,
Mtume Mudy atakucheka kuoa mzee... maana alishamcheka mtu alieoa msichana mwenye miaka 30, ushauri wake akasema kwanini asioe binti mtoto ili awe anacheza cheza na mkewe mdogoHata mimi nikipata bi mrembo wa kiislamu nitasilimu tu.
Haya fanya homework yako!
Allah amesikia maombi yenu....sasa nikuwatolea macho tu wale dada zenu bikira 72 mkawale kirafi kabsa kule peponi. Sawa sheikh?Safi sana kwa hiyo sasa NATO inakuwa y Waislamu. Itasaidia sana shida za waislamu kuisha. Na hata George Bush na Bill Clinton nao wamesilimu. Yaani sijui lini tufanye sherehe....
Mi nilidhani Ursula Van der LeyenNilidhani ni Jens Stoltenberg ndiyo kasilimu..
Cha ajabu maana hivi sasa anaijua haki na kuachana na gizaSasa Cha ajabu ni Nini hapo?
Si ni jambo la kawaida TU Kwa mtu kuhama dini?
Na wewe ukaingie katika moto wa Jahannam?Allah amesikia maombi yenu....sasa nikuwatolea macho tu wale dada zenu bikira 72 mkawale kirafi kabsa kule peponi. Sawa sheikh?
Hivi ukiwa msabato ni lazima uwe chizi?Sisi kwetu siyo habari!
Huyo amehama kutoka chumba kimoja kwenda kingine cha Nyumba ile ile!
Ukatoriki na Uislam ni pacha katika ulimwengu wa roho! Ni Matawi mawili ya 666!
Taratibu za kuabudu za dini hizo ni moja, (Walawi 26:1)
Jens Stoltenberg is nothing, Washasilimu zaidi na zaidi na wanaendelea, Uislamu si dini inayoangalia status ya mtu ni once ukigundua ukweli ata mfalme unatakiwa ulete shahada.Nilidhani ni Jens Stoltenberg ndiyo kasilimu..
Jifunze definition ya neno ''dini hasa ya kiislam'' utaelewa hata kama wewe huna diniWe maza nae stori zako hua ni watu kusilimu tu! Hivi mtu kuhama dini nayo hua ni issue sana? Huoni unaidogosha dini yako? Yaani mtu mmoja kuhamia dini flani nayo ni habari ya kufungulia uzi tena jukwaa la kimataifa?