Siri nzito ya NATO imevuja; Kigogo wa NATO asilimu

Wewe unangoja nini kusilimu?
 
We maza nae stori zako hua ni watu kusilimu tu! Hivi mtu kuhama dini nayo hua ni issue sana? Huoni unaidogosha dini yako? Yaani mtu mmoja kuhamia dini flani nayo ni habari ya kufungulia uzi tena jukwaa la kimataifa?
Mbona umewahi mbiombio kuja kuchangia mada?

Wewe unangoja nini kusilimu?

Wacha uoga.
 
Kwahiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…