Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Etii? Huyu huyu anayetuhubiria hii kazi ni ngumu aombewe? Au ndio kusimika Nyanza Republic?

Ngoja tuone akili za FISIEMU,hawataki katiba mbovu ya nchi ifanyiwe marekebisho ila wapo tayari kuifumua na ya chama chao ili kukidhi tu kuhodhi chama na utawala pasi na maslahi ya Taifa!!
 
JAMANI CHADEMA TUJADILI MAMBO YETU KWANI KUSHABIKIA VITU VYA CCM HAVITUSAIDII LABDA KAMA TUNAAMINI CCM NDIYO BORA KULIKO SISI
Na uipo jadili ya ccm lazima siasa ikushinde mapema sana
 
Wenzenu wanabadilishia katiba kwenye vikao vya chama, nyie mnabadilishia stationery!!
Kweli maono ni macho, kama una makengeza, hauna maono...
Cha ajabu Wao wanataka kuonyesha watanzania kuwa ndio mfano wakuigwa!!
Mkapa kamuacha Mbowe, Jk kamuacha Mbowe,
na hata Magu atamuacha Mbowr!!
Kifungu cha ukomo wa Mwenyekiti kilifutwa
Chumbani
wamekaa kama mke na mme
wana amua maamuzi ya Chama kizima!!

MKIONGOZWA NA ZERO
NANYI LAZIMA MUWE MA ZERO
 
sasa mbona ni kawaida tuu,hata wakiondoa kuna tatizo gani maana marais karibia wote walioteuliwa walitimiza miaka 10 sasa kwanini uone kwa huyu ni udikteta??
 
ukisoma kichwa cha habari unaweza jua ni habari nzito ukifungua ndani umbeya tupu. mwanahabarihuru jipange tafuta habari iliyoshiba sio habari za udaku
 
Back
Top Bottom