Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona na nyie mnamuandama mwenyekiti wao kuwa aondoke na ni Mr.zero?Hivi CCM wakiharibu si ndio ushindi wenu? Kelele za nini wakifanya mabadiriko ya kujiharibia? Agizeni popcorns muendelee kusubiri ushindi wenu 2020.
Hilo linatakiwa kufanyiwa marekebisho , sio siri. Linaharibu taswira ya chama.Cha ajabu Wao wanataka kuonyesha watanzania kuwa ndio mfano wakuigwa!!
Mkapa kamuacha Mbowe, Jk kamuacha Mbowe,
na hata Magu atamuacha Mbowr!!
Kifungu cha ukomo wa Mwenyekiti kilifutwa
Chumbani
wamekaa kama mke na mme
wana amua maamuzi ya Chama kizima!!
MKIONGOZWA NA ZERO
NANYI LAZIMA MUWE MA ZERO
Hivi wewe huwa ni tarumbeta la Act au la lumumba?Ya ccm wewe yanakuhusu nini!!
Mbona Chagadema walibadili katiba wakatoa ukomo wa Mbowe!!
Katiba ya zamani ilitoa haki ya mwanachama kwenda mahakamani
kwanini Mr. ZeRO aliondoa !!
Najua kusimamia ukweli halisi na sio unafiki na kujipendekeza kwa wenye vyeo, lakin pia natumia akili yangu zaid kuliko kusubiri kuunga mkono atakacho kisema fulani,Kipi unachokijua wewe unayethink big
hahahahah, wewe unashadadia nini? Yaani kuna watu mwaka huu lazima muende sero na Mr. Dj, a.k.a Mr Zero.Dada una roho ya shetani
Kwanini Mnaukubali Ujinga Wa Mbowe kubadili katiba kufuta ukomo wa yeye kugombea!!Kuna mda tu mtapata akili kamili is a matter of time 'ukiona mtu anaukubali ujinga katika maisha yake yote basi kwa hakika mtu huyo alizaliwa na ujinga huo.
Huyo Bashite ndio nani!!Mkuu Motojuu unamaanisha kuwa wakiongozwa na BASHITE na wao lazima wawe BASHITE sio!!!....NILIJUA TU.
Haya ni mawazo ya kizamani sana kuhusisha chadema na ukabila, kwa analysis naona chadema sasa ipo beyond ukabila. Ni chama cha utaifa zaidi na uzalendo. Ni vyema tukaepuka upofu wakati tukiona kitu kizuri kwa taifa kinacholeta matumaini kinakua. Ona vijana kama kina wema wanavyopata matumaini.Ya ccm wewe yanakuhusu nini!!
Mbona Chagadema walibadili katiba wakatoa ukomo wa Mbowe!!
Katiba ya zamani ilitoa haki ya mwanachama kwenda mahakamani
kwanini Mr. ZeRO aliondoa !!
Ya ccm yanakuuma vipi!!Wakimaliza ya kwao watahamia ya kwetu wote.
Huu ni wakati wa kuondoa kuoneana soni,kuna watu tukiendelea kuwaonea haya wanaipeleka nchi pabaya.
Mimi si mfuasi wa mbowe wala kundi lake usikalili kiwa kila msema ukweli ni mfuasi wa mbowe , ukizoea kukaa katika giza huwezi kuyaona ya nuruni , ni wajinga pekee wanao amin kila anaye pinga ujinga ni mpinzani hadi huwa najiuliza kuwa mwanachama lazima uungane na ujinga??Kwanini Mnaukubali Ujinga Wa Mbowe kubadili katiba kufuta ukomo wa yeye kugombea!!
Haya ni mawazo ya kizamani sana kuhusisha chadema na ukabila, kwa analysis naona chadema sasa ipo beyond ukabila. Ni chama cha utaifa zaidi na uzalendo. Ni vyema tukaepuka upofu wakati tukiona kitu kizuri kwa taifa kinacholeta matumaini kinakua. Ona vijana kama kina wema wanavyopata matumaini.
Hakuna kitu (Mabadiriko)Mkimaliza Kufanya mabadiriko katiba ya CCM, tunasubiri Marekebisho ya katiba ya Jamhuri!
Ukitumia nguvu kubwa kupambana na ukweli utachoka bure kuna mambo yakupasa usiwe msemaji.Huyo Bashite ndio nani!!
Zero Maarufu Duniani ni MBOWE PEKEE