Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

CHADEMA WENZANGU TUWE SERIOUS..HIVI WAKIHARIBIKIWA CCM SI INAKUWA RAHA YETU .
Waharibikiwe mara ngapi? Matatizo yao hayatuhusu .hatma ya chama chao ipo mikononi mwao hili zigo la misumari wanalo .
 
wafanya hata miaka 100,ninachojua hamna marefu yasiyokuwa na ncha na kila chenye mwanzo huwa kinamwisho,inaweza isiwe leo au kesho lakini ipo siku CCM nao watakuwa chama cha upinzani.
Ni kama ilivyokuwa Idadi wa wabunge wa upinzani Bungeni,alikuwa 1 wakaja 2 wakaenda 10 mpaka sasa wapo zaidi ya 100
Haba na haba hujaza kibaba
 
JAMANI CHADEMA TUJADILI MAMBO YETU KWANI KUSHABIKIA VITU VYA CCM HAVITUSAIDII LABDA KAMA TUNAAMINI CCM NDIYO BORA KULIKO SISI
Anza kuwakataza CCM waache kujadili mambo ya chadema.
 
Na akimaliza kurekebisha ya ccm inafatia kuondoa ukomo wa kugombea urais. Km m7, kamee na kurunzi
 
Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Mchakato wenu kumpata Mgombea 2020
ulifanyika lini!!
Ukiwa mfuasi wa Chagadema lazima
mshipa wa Kumbukumbu ukitoke!!
 
Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Ikiwa wataipitisha hii hatari yake ni kuwa wakiwa nje ya madaraka ya urais kuna kipindi watalazimika kutokuwa na mgombea kwa mujibu wa katiba yao.
 
Hivi CCM wakiharibu si ndio ushindi wenu? Kelele za nini wakifanya mabadiriko ya kujiharibia? Agizeni popcorns muendelee kusubiri ushindi wenu 2020.
Kuna kitu hukijui mkuu think big!! Watanzania wengi upeo mdogo sana wa kuchuja mambo.ndio maana ni wepesi wa kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu
 
Hahaha Magu si ZERO WENU
yule alie futa ukomo wa Mwenyekiti CHAGADEMA!!
Kuna mda tu mtapata akili kamili is a matter of time 'ukiona mtu anaukubali ujinga katika maisha yake yote basi kwa hakika mtu huyo alizaliwa na ujinga huo.
 
Kazi kweli kweli.....

Wahenga walisema....
......Maumivu ya kichwa huanza polepole......

Wakimaliza ndani ya chama watakuja kwenye katiba ya nchi. "Kutokana kutumika fedha nyingi nyakati za uchaguzi, sasa chaguzi zitakuwa zikifanyika kila baadae ya miaka 10, na fedha tutakazo okoa tutanunua Meli.. Ooh.... No... hapana, tunanunua ndege" mwisho wa kunukuu.

Hapo nimenukuu mawazo yangu.
 
sasa mbona ni kawaida tuu,hata wakiondoa kuna tatizo gani maana marais karibia wote walioteuliwa walitimiza miaka 10 sasa kwanini uone kwa huyu ni udikteta??
Kila baada ya miaka mitano wanachama wapewe nafasi ya kuchagua tena otherwise tubadilishe na muhula wa rais kukaa madarakani iwe ni miaka 10 badala ya 5
 
Kuna kitu hukijui mkuu think big!! Watanzania wengi upeo mdogo sana wa kuchuja mambo.ndio maana ni wepesi wa kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu
Kipi unachokijua wewe unayethink big
 
Hakika ccm ni chama makini sana.sio wale wanaofanyia mikutano yao chumbani kwa mbowe.
 
Back
Top Bottom