Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Sasa mnabadiri Katiba yenu ili kusiwe na uchaguzi baada ya miaka mitano kwisha, ikifika miaka kumi mtabadri na Nchi muongeze kipindi kingine cha miaka 10.Huyu amefika wakati utaongea.
 
Ya ccm wewe yanakuhusu nini!!
Mbona Chagadema walibadili katiba wakatoa ukomo wa Mbowe!!
Katiba ya zamani ilitoa haki ya mwanachama kwenda mahakamani
kwanini Mr. ZeRO aliondoa !!
Malaya wa Ki siasa
Mara ACT mara CCM
Utakuwa ushazalishwa watoto wengi sana wewe
 
Bila shaka utakuwa uamuzi wa busara, kama kifungu hicho kipo kwenye mabadiliko hayo, na wajumbe wa Mkutano Mkuu wataridhia. Maana, kipindi cha Urais huwa ni viwili, vya miaka mitano mitano. Hivyo basi, kama mteuliwa wa kugombea Urais kwa tiketi ya chama, atakuwa ameshinda uchaguzi, ni sahihi apewe na chama nafasi ya kutetea Urais. Siyo Tanzania peke yake vyama vya siasa hufanya vile.

Lakini hoja yako wewe Mwanahabari Huru ni ya umbea. Washauri wanachama wenzako kupigania uchaguzi huru na wa haki katika chama chenu ili mwondokane na wingu la tuhuma za kupeana vyeo kikanda na kujuana ndani ya chama chenu. Tunaona na kusikia vilio vyenu vya kunyimwa nafasi za uongozi ndani ya chama.

TOENI BORITI MACHONI KWENU KWANZA
Hahaha hii nzuri
japo hawa hawapendi ukweli
 
JAMANI CHADEMA TUJADILI MAMBO YETU KWANI KUSHABIKIA VITU VYA CCM HAVITUSAIDII LABDA KAMA TUNAAMINI CCM NDIYO BORA KULIKO SISI
Kuwa makini ndugu..
Hujui wakitoka huko wanaelekea wapi.
 
Unaona sasa!
Wasalimie kada wenzio wa kijani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunawatakia mabadiliko mema ya "katiba" yenu.
Tukutane 2020.
Wenzenu wanapanga ushindi 2020 mnashangaa tu, ikifika Julai 2020 ndiyo mwenye chama "anawateulia" mgombea kwa falsafa yake ile ile ya gia angani.
Mtaangukia pua vibaya saana, na kama kawaida, kura zitakuwa zimeibwa!!
Hahahaaa!!! CHADEMA buana..
.
 
Cha ajabu Wao wanataka kuonyesha watanzania kuwa ndio mfano wakuigwa!!
Mkapa kamuacha Mbowe, Jk kamuacha Mbowe,
na hata Magu atamuacha Mbowr!!
Kifungu cha ukomo wa Mwenyekiti kilifutwa
Chumbani
wamekaa kama mke na mme
wana amua maamuzi ya Chama kizima!!

MKIONGOZWA NA ZERO
NANYI LAZIMA MUWE MA ZERO

Hiyo ndiyo Chadema
 
Back
Top Bottom