Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Sasa tatizo nini, si wa CCM, we unakuhusu nini kama ni Chadema, kumbe kadi unayo ya Chadema ila moyo wako uko CCM
 
Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Bora wabadili katiba yao huko huko. Sisi tutawasubiri ktk sanduku.
Laiti wangejua wangeacha kama ilivyo ili wapate kichwa kingine 2020.

Jahazi la sasa halina nahodha
 
Wenzenu wanabadilishia katiba kwenye vikao vya chama, nyie mnabadilishia stationery!!
Kweli maono ni macho, kama una makengeza, hauna maono...
Unajua maana ya stationery???????????????
 
Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Eeeh ina maana hakubaliki ndani ya chama?
Inawezekana asipitishwe kugombea 2020?
Je watapiga kura kukubaliana na mtazamo huo?
Ikishindikana itakuwaje?

Nitacheka sana maana utaanza kukataliwa na watu wako wa ndani, halafu sieeeeeeee
 
Naona hatari mbele... Mtakatifu akimaliza ndani ya chama chap chap kwenye ile ya 1977 yenye viraka viraka!
 
Ya ccm wewe yanakuhusu nini!!
Mbona Chagadema walibadili katiba wakatoa ukomo wa Mbowe!!
Katiba ya zamani ilitoa haki ya mwanachama kwenda mahakamani
kwanini Mr. ZeRO aliondoa !!
kwakuwa chadema walifanya.........................basi ni halali hata kwa ccm!...........ndo maana hatuendelei
 
Duuh mjomba uko bize hapa hatari!! Hivi ni wikiendi tu au ndo maamuzi ya mama Kairuki yamekuathiri?
Umeulizwa swali, toa jibu.
Mbona unakwepa kama Bashite mwenzio?

Ya mama Kairuki utasubiri sana.
Mimi sichumii tumbo.
Wachumia tumbo hulia lia wakiombwa vyeti halali.
 
Umeulizwa swali, toa jibu.
Mbona unakwepa kama Bashite mwenzio?

Ya mama Kairuki utasubiri sana.
Mimi sichumii tumbo.
Wachumia tumbo hulia lia wakiombwa vyeti halali.
Duuh!!
Haya, sielewi maana yake...
 
Back
Top Bottom