Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

7cf6fd8cf70068f23d8d2928d0d8c995.jpg

watishe nyumbu wenzio wa lumumba, bashite alipata zeroo, yaani F zote, yaani hakupata vema hata moja
 
Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Akifanikiwa kuwarubuni na akafanikiwa kurudi ( Mungu apishe mbali ) , baada ya miaka 10 atakataa kuondoka ( Kagame style ) .
 
Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Bila shaka utakuwa uamuzi wa busara, kama kifungu hicho kipo kwenye mabadiliko hayo, na wajumbe wa Mkutano Mkuu wataridhia. Maana, kipindi cha Urais huwa ni viwili, vya miaka mitano mitano. Hivyo basi, kama mteuliwa wa kugombea Urais kwa tiketi ya chama, atakuwa ameshinda uchaguzi, ni sahihi apewe na chama nafasi ya kutetea Urais. Siyo Tanzania peke yake vyama vya siasa hufanya vile.

Lakini hoja yako wewe Mwanahabari Huru ni ya umbea. Washauri wanachama wenzako kupigania uchaguzi huru na wa haki katika chama chenu ili mwondokane na wingu la tuhuma za kupeana vyeo kikanda na kujuana ndani ya chama chenu. Tunaona na kusikia vilio vyenu vya kunyimwa nafasi za uongozi ndani ya chama.

TOENI BORITI MACHONI KWENU KWANZA
 
Kwa kuwa imeshindikana kuiondoa madarakani CCM kwa njia ya kura hata pale ilipoonekana kupoteza kabisa mvuto, haitakuja kuondolewa madarakani bali itafanya kufa. Huu ndio mwanzo wa kufa kwake. Wenye mawazo tunajua hili. Hata Muungano ndio unaishiaishia hivo
 
Akimaliza kubadili ya hicho chama kilichooza aje ba ya nchi aondoe ukomo awe kama Mugabe,kagame na Nkurunzinza.
 
Ya CCM waachieni CCM, nyie jadilini mambo ya kitaifa.
 
sasa mbona ni kawaida tuu,hata wakiondoa kuna tatizo gani maana marais karibia wote walioteuliwa walitimiza miaka 10 sasa kwanini uone kwa huyu ni udikteta??
Kama wenzake walifanikiwa bila kubadili katiba , yeye anaogopa nini ?

Nitawashangaa sana wanaccm kama watakubaliana na ujinga huu !
 
CHADEMA WENZANGU TUWE SERIOUS..HIVI WAKIHARIBIKIWA CCM SI INAKUWA RAHA YETU .
Hapana, sio raha yetu. Ni hatari sana chama kilicho madarakani kikiharibikiwa kwa mtindo unao weza kuleta machafuko.
Hebu fikiria mgogoro kama wa CUF uwe ndani ya ccm! Hakika lazima nchi igeuke kuwa kama Sudan.
Upinzani huwa una furahia Sera za watawala kushindwa sio wao kukunjana. Wakikunjana na kuzipiga ngumi wote tutajikuta katikati ya ugomvi maana ni rahisi hata vyombo vya dola Ku side na makundi hayo
 
acha waoane....Magu mwisho wake 2020 labda akatawale Rwanda
 
Aisee kweli hii ni siri nzito, sizonje anahofia wanaweza kumtoa 2020
Ye ye si alisema urais ni mgumu na kwamba angejua asingerichukua form? Sasa vipi tena anataka kuongeza muda wakati anajua kuwa kazi hiyo ni ngumu? Au utamu umeishakolea? Hapo hata mimi napinga.
 
Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Sasa hapo shida iko wapi. Maana hivyo ndivyo ilivyokuwa ikitendeka toka awali. Wewe chadema una matatizo gani. Unakosa usingizi kuwafatilia ccm badala ya kujiuliza kwanini Mwenyekiti atuhumiwe pamoja na akina chid Benz?
 
Ya ccm wewe yanakuhusu nini!!
Mbona Chagadema walibadili katiba wakatoa ukomo wa Mbowe!!
Katiba ya zamani ilitoa haki ya mwanachama kwenda mahakamani
kwanini Mr. ZeRO aliondoa !!
Kwani wanaotawala Tanzania ni nani na Chadema wako nchi gani?Maamuzi yeyote ndani ya chama cha mapinduzi ,mazuri au mabaya yanaathiri watanzania wote.Hayo maamuzi yenu mabovu yafanyeni mkishatoka magogoni,enyi CCM!
 
Back
Top Bottom