Wenzenu wanabadilishia katiba kwenye vikao vya chama, nyie mnabadilishia stationery!!
Kweli maono ni macho, kama una makengeza, hauna maono...
Akili za bata hizo jitambue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzenu wanabadilishia katiba kwenye vikao vya chama, nyie mnabadilishia stationery!!
Kweli maono ni macho, kama una makengeza, hauna maono...
HV ITV Wamerusha ile habari[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12]Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
ati Mr ZeRO? mwache David Albert Bashite akapumzike sauzi.Ya ccm wewe yanakuhusu nini!!
Mbona Chagadema walibadili katiba wakatoa ukomo wa Mbowe!!
Katiba ya zamani ilitoa haki ya mwanachama kwenda mahakamani
kwanini Mr. ZeRO aliondoa !!
ati Mr ZeRO? mwache David Albert Bashite akapumzike sauzi.
Hivi unafahamu mchakato wa kubadilisha katiba ya nchi???? Kabla ya kuandika kitu chochote fanya kautafiti japo kidogo.Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
wacha kuwatukana wakazi wa dar maana David Albert Bashite ni ZERO.Cha ajabu Wao wanataka kuonyesha watanzania kuwa ndio mfano wakuigwa!!
Mkapa kamuacha Mbowe, Jk kamuacha Mbowe,
na hata Magu atamuacha Mbowr!!
Kifungu cha ukomo wa Mwenyekiti kilifutwa
Chumbani
wamekaa kama mke na mme
wana amua maamuzi ya Chama kizima!!
MKIONGOZWA NA ZERO
NANYI LAZIMA MUWE MA ZERO
wacha kuwatukana wakazi wa dar maana David Albert Bashite ni ZERO.
matumaini yangu kwa Chama cha Democrasia na Maendeleo yaliishia pale ambapo kiliamua kuahcana na demokrasia ya kubadilishana uongozi na kuamua kuwa chenye Mwenyeekiti wa Maisha ambaye iwapo angepata Urais kipindi anagombea na ukizingatia mchakato wa Katiba ulikuwa umepamba moto, basi ni wazi kuwa kipengele kimoja wapo kingebadilishwa na kumfanya kuwa rais wa maisha. Sema haya mambo ya kufa na tai au collective responibility yanakulazimisha mtu uwe mnafiki. Dah tumshukuru Mungu wakati mwingine ana makusudi yake na hii nchi. Any way upofu sio wa macho tu a=hata ufahamu ni upofu pia.Bashite
And what about quorum?Venue a matter?
Sema twafaa tz sio mwafaaccm kwasababu wanaharakati wa ccm wangeweza kumpumzisha 2020 lakini kwa badiliko hilo automatically ni hadi 2025. Sasa si unajua akishapita kule huku kwingine ni goli la mkono tu ili aendelee kuinyoosha tz hadi 2025. Kwa hiyo sema twaafaa!Aisee kumbe sizonje anataka kuwa dikteta mpaka ndani ya chama, mwafaaaa ccm
Hivi nyie ni vyama vya upinzani ama tawi la CCM?Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Hahaha Magu si ZERO WENU
yule alie futa ukomo wa Mwenyekiti CHAGADEMA!!
Bashite
magu na bashite walipata zeroo